Hebu tutafakari picha hii

Facts1

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
307
28
Message, Messenger and Mode of Message

mashujaa23.jpg
 
Ni kweli swali hili ni zito! Raia tunaambiwa kazi kubwa ya polisi ni ulinzi wa raia kwahiyo inapotokea polisi hao kufanya mambo ya kihuni na kuangamiza raia kwa silaha za kivita hapo kuna tatizo kubwa. Kwa sasa raia hawana imani tena na polisi. . . Siku mbili zilizopita nilikwenda mlimani city muda wa asubuhi kwenye ATM ya bank moja pale. Nilipomaliza kupata huduma nikaelekea kwenye gari na nilipofunga mlango WA gari akaja askari mmoja akiwa na silaha begani. . Akaniambia kaka samahani naomba unisaidie japo hela kidogo nipate chai. Nikamuangalia Yule askari alafu nikakumbuka jinsi walivyfanya mambo ya kihuni kuld Arusha then jibu lililonitoka ni kumwambia Sina hela! Naye akaondoka kwa unyonge.
 
I once said in this forum that The scales of justice are unevenly balanced in this countries. The whole thing is "KLEPTOCRACY" (rule by the thieves), few corrupt, undemocratic rulers are using their position to embezzle, loot our resources and apart from that kill the innocent civilians exercising their constitutional right. The killing is worked out on pretext of maintaining peace and order and using "Intelligence Unit advice", while these morons are actually safe guiding their fishy and corrupt positions. CCM gotta know that come what may, changes are bound to come. The power of the people (public) is stronger than the power of few controversially elected rulers and so morons.
 
Katika mapamabano hatutakiwi kuwa na nyoyo laini, for sure tunasikitika ila tunatakiwa kuongeza wigo wetu wa kupambana na udhalimu, hii haina tofauti na ilivyokuwa Msumbiji, Afrika Kusini, Sahara Magharibi kitu muhimu ni kuzidi kuwaelimisha Watanganyika jinsi tunavyodhulumiwa na CCM badala ya kulia, at last tutashinda na kukombo anchi yetu tuliyopata uhuru toka kwa mkoloni kisha kutawaliwa na "mkoloni mpya" CCM. Mapambano yetu ni katiba, maendeleo, utawala wa sheria, uwajibikaji, haki za binadamu na uhuru wa kujieleza. Tusikitike ila tuzidishe harakati!
 
Ni kweli swali hili ni zito! Raia tunaambiwa kazi kubwa ya polisi ni ulinzi wa raia kwahiyo inapotokea polisi hao kufanya mambo ya kihuni na kuangamiza raia kwa silaha za kivita hapo kuna tatizo kubwa. Kwa sasa raia hawana imani tena na polisi. . . Siku mbili zilizopita nilikwenda mlimani city muda wa asubuhi kwenye ATM ya bank moja pale. Nilipomaliza kupata huduma nikaelekea kwenye gari na nilipofunga mlango WA gari akaja askari mmoja akiwa na silaha begani. . Akaniambia kaka samahani naomba unisaidie japo hela kidogo nipate chai. Nikamuangalia Yule askari alafu nikakumbuka jinsi walivyfanya mambo ya kihuni kuld Arusha then jibu lililonitoka ni kumwambia Sina hela! Naye akaondoka kwa unyonge.

Nilishuhudia kwa macho yangu polisi wa Arusha walioshiriki katika kuzima maandamano baada ya habari feki za kiintelijensia pale police mess Arusha wakinawa mikono na kutolewa nje baada ya kuambiwa kwamba hawajalipiwa chai na mkubwa wao akiwa pembeni akijiburudisha bila aibu. Baada ya dakika chache wakarudishwa tena ndani ili kupata chai yao shame on them ningekuwa mimi nisingerudi tena. Ninawe mikono ikauke halafu niambiwe hamna chai baada ya muda niambiwe chai ipo. Nilijiuliza maswali mengi sana moja HAWA POLICE NI WAJINGA KIASI GANI MPAKA MKUBWA WAO ANAWANYIMA HAKI YAO TENA YA MSINGI KABISA. Fungu la chai lilikuwepo kwa nini kuwepo na majadiliano. nilijaribu kutafuta jna la huyo polisi bwana Chai sikulipata.
 
Back
Top Bottom