Hebu tufundane leo......

kumfanya mwanaumae asicheat sio kuwa mzuri kitandani tu, zipo ishu nyingi sana hapo...mwanaume anaweza kuridhishwa vzr tu kitandani lakini kwa tamaa zake na tabia yake ya kurukaruka na kutaka kujaribu hapa napale anaanza kucheat...nipm nikueleze..
 
@preta,

naomba nitoke nje ya mada kidogo, linapokuja swala la kitandani si tu wanawake wanatakiwa kuwa watundu, hata wanaume pia....... Eiyer alichokoza kuhusu kiuno...... umeona wanaume wanadhani kiuno ni mwanamke tu ndo anatakiwa kukizungusha hapa point ni kuwa ili kushika na kulinda penzi kitandani pia kubnahitajika ubunifu na utundu........


tukienda kwenye tabia za nje sasa.....
wanawake wa siku hizi wanajua kubandika kopi tu....yes kama ulivyosema kujiweka/ona classic, hawafahamu sura si chochote, mavazi si lolote kulinganisha na ujuzi wa kitandani....

sasa tufanyaje? tupeleke vijana wetu jando na unyagoni?
siku hizi hakuna shangazi wa kuzungumza na mabinti zetu...
na hakuna mapori ya kuwafanyia jando vijana wetu..... akizaliwa miezi kazaa unamkata then basi.....

ila nimependa ujumbe ulioufikisha leo kwa wanawake.....
wanawake wa siku hizi wako kimaslahi zaidi atataka nyumba, gari, pesa kujirusha club kwa sana kitandani zero.......wanasahau mapenzi ni sanaa, mwili wa mwenza wako unapaswa uujue vilivyo, unajua ukimshika wapi atasisimka, wapi midadi itampungua wapi "ata-preeze" mapema....... na mwanamke ukijua hivyo hata kitandani hupati shida,
akielekea kumaliza kabla hajafika unajua umfanye nini ili safari ihairishwe, vivyo hivyo wanaume, mnapaswa muijue miili ya wapenzi wenu vilivyo na kujua jinsi ya kucheza nayo.......

usione wanandoa wanatunziana ukadhani mchezo...wanafikishana hao



{by the way nadhani somo lako haliwahusu wanaume ambao wakiona sketi tu wana"preeze"}

Good addition ila nimependa hapo kwa red kumbe mzigo waweza kurudishwa?
 
Nakubaliana na wewe Badili Tabia. Hii tabia ya kuwatupia lawama wanawake pale mapenzi ya yanaposhindikana au kwenda mrama.

Cha ajabu na wanawake tunakubali kutupiwa huu mzigo wa lawama na kuanza kujilaumu hata pale makosa yanapokuwa si yetu.

Hebu niambie, kama wewe si mzuri kitandani hilo ni kosa lako kweli? au pale unapokuwa huna uwezo wa kupata mtoto.

Wakati umefika wa wanawake kupigania kutatua matatizo ya kmapenzi kwa pamoja. Kama uhusiano umeshindikana basi, lakini isiwe lazima sababu iwe ni mwanamke, ooh kwa vile si mzuri kitandani, kwa vile hajui kupika, hawezi kuzaa, hajui kujiremba etc.

Wakati huo huo, mwanamke akitaka kumuacha mwanaume kutokana na kutokuwa mzuri kitandani, au mchafu, au hazai atalaumiwa mwanamke, ooh eti si uvumilivu, ana tamaa, malaya, hana subira, roho mbaya, hana huruma etc.
 
Kimey,
njoo ukague mwenyewe banaa, ukisubiri Asprin akukagulie itakula kwako......
Hehehehe..... mwambie kabisa nami nikikagua huwa sijui kuacha.... itakula kwake mazima......

@freema,
ni wajibu wa kila mmoja kwenye mahusiano, kumbuka mahusiano ni mwanaume na mwanamke......
kama mwenzio hajui akufanyie nini ni vyema ukamfundisha...mwelekeze akushike wapi...
muelekeze akufanyie nini.....
nawe ukielekezwa jifunze......
jaribuni style mpya, mbinu mpya utundu mpya kila leo....
badilini sehemu hata mnazofanyia.... siku nyingine malizaneni kwenye gari...... au mahotelini...kama mko wenyewe na kuna ukuta hata garden mnaweza malizana huko....point ni kuwa mfanye sehemu tofauti tofauti ili kuweka ladha na kumbukumbu mpya........


taabu itakuja pale wenza wakishindwa kusomana, pale mwenza anapoelekezwa na kugomba "umejifunzia wapi" nk nk
mapenzi si lelemama, loh
Khaa! Leo nimekukubali. Nimevimbiwa!
 
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......

Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...
Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..
The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......

Mwenye masikio na asikie......



Preta,
Kina mama wa kileo wako busy sana na mambo ambayo hayawasukumi kina baba kujisikia kuvutiwa upande wao...somo lako zuri kweli.
Ila sasa sisi wengine hatujui ku compromise .....kisichovutia hakivutiii tu. Ndo basi imekula kwetu!!
 
aisee....mimi mshaniharibia siku..
kuna mambo huwa napigana nayo kuyafuta katika moyo wangu...
ni memory mbaya sana natamani kuidelete.....
naona kwa leo nisign tu out....

I'm with you on this one...............well he didn't dump me but i found out he was cheating.........the rest is history
 
Preta amenikumbusha mbali sana,dah!we binti kiboko!nakumbuka huko nyuma niliwahi kujiuliza kwanin wale ambao nawaona ni warembo hawako ktk machaguo ya wanaume waoaji?majibu nlipata mengi mosi wanaume wanaume wanaogopa pressure za kutafuniwa,pili wanawake wengi wazuri hujisikia hivyo akishakua na hakika kuwa unampenda hana la zaidi ktk kuboresha mahusiano,tatu wengi wao wanamioyo midogo ni narrow minded kimaisha,nne wengi hawana muda wa kutunza na kulea familia zaidi hufikiria nani kafanya nini na nani,tano wengi wao hawataki kujifunza toka kwa wengne hasa wakijiamini kuwa uzuri wa sura na shape zao ndio kila kitu.kwakweli kama kijana ktk pita pita zangu za uhangaikaji aina mbali mbali za warembo hakika kuna kupwaya kwa aina yake ndiyo maana sasa warembo wamehamia kwa waganga wa kienyeji kwa kudhani kuna watu huwaharibia na kumbe hakuna mchawi zaidi bali wao wenyewe.mchawi wa kumfukuza mwanaume ni wewe mwanamke na wa kumtuliza ni wewe mwanamke ni namna gani utamwelewa na kumfanya kila afanyalo kwanza akuweke wewe,amkeni bhana mi sipendi mnavyolialia kuachika mara kuwa cheated.Preta wape somo wenzio!
 
Badala ya kwenda kudonoa, mweleze wazi kwamba we mwenzangu mzito kitandani,
Freema Agyeman
kwanza kabisa nadhani hakuna mtu mzito kitandani ni kufundishana na its a journey na kauli ya kusema kwamba wewe mzito haitajenga bali kubomoa zaidi kwa kumpungizia mtu confindence.., this is enjoyment and its supposed to be enjoyed hivyo basi ni jukumu la wawili kujifunza na kujaribu ni nini kinawavutia (mtu hawezi kubadilika all of a sudden na kuwa mbovu kitandani) mara nyingi hivi huwa ni visingizio vya ku-justify mtu kudanganya

pamoja na kukufundisha kote naona huwezi na kwamba hapo ndipo udhaifu wako ulipo hivyo nimeamua kuchapa lapa kutafuta aliyemzuri kunako bed.
Alafu point yangu toka mwanzo kwamba wale wote wanaodanganya wake zao au partners wao sio kwamba partners wao hawafai bali ni hulka ya mtu na tamaa ya mtu.., hata yule anayecheat nae angekuwa ndio mke wake bado angecheat na mtu mwingine .., cheating ina dimensions nyingi sana na mwingine akiwa na mtu mmoja anakuwa bored anataka kujaribu hiki na kile na kile pale.. (kwahio nadhani ku-shift blame ya cheater kwa mtendwa sometime hatuwi fair)
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......

Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...
Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......

Mwenye masikio na asikie......



Not at all Madam Preta bed can not be everything to really Man!
 
Hamjambo wadada wazuri...

Nina mambo kadhaa naweza kuongelea hapa
1. Tatizo la wadada 'wa kisasa' kuwa wavivu kitandani limeongezeka sana siku hizi. Kwa kiasi kikubwa linachangiwa sana na miili kukosa mazoezi, na wanawake 'kujisahahu'...

2. Ukiimprove performance kitandani sio suluhisho la moja kwa moja la kunfanya mwanaume aache kwenda nje. Inapunguza kwa kiasi fulani, lakini kikubwa ni kuwa inakuongea heshima na kukufanya upendwe zaidi

3. Performance ya mwanamke ina-influence sana performance ya mwanaume (sijui kama kinyume chake ni sahihi pia, japo nadhani kuna uwezekano)

4. Performance haimaanishi tu kukata mauno au kuapply mastyle, bali pia jinsi unavyolichulia/lithamini tendo lenyewe. Epukeni sana mambo ya ..."Tufanye haraka bwana mi nlale", au .."Nti... fasta bana mi niwahi homu" n.k... yanaua sana stimu...
 
Yaani unakuwa kwenye mahusiano kwa ajili ya kumplease mtu? wonders shall never end.

Mtoa mada nadhani huu ni mwendelezo wa upotoshaji kuhusu mapenzi.

Haiyumkini ungewafunda wenzio, wake na waume kwa mapenzi ni unique relationship kama ambavyo watu ni unique. hivyo kuwa mzuri kitandani pia ni moja ya factors na sio kila kitu kwenye mapenzi.

Wangapi unaowajua (kama ulivyoeleza unawajua) ni wazuri kitandani na bado mapenzi yanawashinda?

Katika smo la kufunda, mwalimu mzuri atakuambia usikopi mahusiano ya ndugu, jamaa, rafiki au jirani.

Aso hili ana lile, fanya mahusiano yako ya mapenzi yawe ya pekee kwa kumsoma mwenzio, kuwa tayari kuadjust at most 50%, be yourself usilete maigizo mapenzini then timiza wajibu wako bila kusubiri mwenzio nae atimize wake.

hapo kweli hivi kweli hata ukiwa gud performer kwenye bed angalipo mambo mengine hutimizi mfano heshima ,usafi ukarimu hata hiyo hamu ya kitandani atakuwa nayo? sema pale mtu anapojivunia uzuri wa sura na umbo na kusahau uzuri wa roho na tabia ndipo anapo haribu ndugu zangu theory inategemea practical kukamilisha research mapenzi sio kitu unique kila mtu anavutiwa na anachovutiwa nacho wadada tusisahau domestic work we upike chakula kibichi halafu .....
 
mambo ya kulea wanaume haya hayafai,kwani raha ya mapenzi ni kuridhishiana.mbona wapo wanaume ambao nao ni zero kitandani?na hao wawekwe kundi gani?kudonoa hawawezi,kuwika hawawiki,wapo tu kama kuku wa kuchorwa
 
kama unampenda mpenzi wako,na unahisi hakuridhishi,unamwambia.au unaona baadhi ya style kwake ni zero,unamfundisha.hayo ndio mapenzi.sio kitu kidogo,huyo unatafuta mwengine.kwa sababu na wewe mwenyewe pia una mapungufu yako vile vile.
 
Preta Erotica Smile gals hope mko poa na thanks for erotica kw kunitag uzi huu ulikuwa umeipita. here I am ngoja sasa niwamwagie madesa ya what men like out of a woman. Siyo kitu kigumu sana kukijua but ukweli mwanaume yeyote rijali na anayejienda basi huwa anapenda vitu vifuatavyo kutoka kwa mwanamke. Vitu hivi ni joto lake la mwili na utelezi basi. Hata kama utakuwa mzuri kama malikia if your not sweet hakuna atakaye kuthamin bali watakuwa wana kupiga na kuacha.

utamu wako unatokana na utelezi wenye mvuto, pamoja na joto lako la mwili. Askwmbie mtu if you have these qualities umemmaliza huyo best. Nataman sana aje mkaka aseme ukweli what do they want kama hatakwambia haya niyasemayo. Utelezi huu kwako wewe mdada upo tu na huwa unweza kuuongezea kwa kuvuta hisia na kumfeel mr mwili unaachia utelezi wa kutosha. mwili kuwa na joto la kutosha hili hutokana zaid na binti kukubali hisia zako kwenye kile unachokiface. Kubal kuwa uliyenye atakupa raha then vuta hisia zako mweke at first place kisha kubali kumpa raha uone. Mautundu ya kitandani mara zote yanatokana na hisia ulizo nazo juu ya huyo patner. kama unahisia juu yake basi utajikuta mwenyewe unajiachia na unafanya mautundu ya kiukweli. Binafsi nawaasa wadada ikifika katika uwanja wa kujidai jamani achia hisia zako kabisa halafu taman kumfurahisha mwenzio, na kubali kutumika uone. haya ndiyo wayatakayo hao wakaka zetu. thats all love you all.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom