Hebu tufundane leo......

Huko kwenye BED hao wababa wanapamudu kweli,
au ndo kamoja leo tena anasikilizia siku tatu anashtuka tena.

Habari ndio hiyo mmeletewa.....ila kila mnapoambiwa ukweli hata na wanawake wenzenu lawama mnaelekeza kwa wababa..........!!!!!!!! Banaaa wee kama mboga haina ladha ya nini kukera nafsi.....kama hawana nguvu mbona kila kukicha .... oonh waume wana vimada....ooonh wanaume ni mbwa.......hawaaaminiki.....ooonh hawatosheki n ol that..................????????
We drink what quenches our thirsty throats...................

Dah Preta nimekukubali,once nilishawahi kufikiria hili swala,mwanamke mrembo with all the good things lakini unajiuliza kwanini haolewi au ha-last na wanaume?na kama kuna atakaye pingana na hii mada huyu mtu atakuwa ni-born mbishi laikini there is almost every truth in this thread of yours.

Preta,

naomba nitoke nje ya mada kidogo, linapokuja swala la kitandani si tu wanawake wanatakiwa kuwa watundu, hata wanaume pia....... Eiyer alichokoza kuhusu kiuno...... umeona wanaume wanadhani kiuno ni mwanamke tu ndo anatakiwa kukizungusha hapa point ni kuwa ili kushika na kulinda penzi kitandani pia kubnahitajika ubunifu na utundu........

tukienda kwenye tabia za nje sasa.....
wanawake wa siku hizi wanajua kubandika kopi tu....yes kama ulivyosema kujiweka/ona classic, hawafahamu sura si chochote, mavazi si lolote kulinganisha na ujuzi wa kitandani....

sasa tufanyaje? tupeleke vijana wetu jando na unyagoni?
siku hizi hakuna shangazi wa kuzungumza na mabinti zetu...
na hakuna mapori ya kuwafanyia jando vijana wetu..... akizaliwa miezi kazaa unamkata then basi.....

ila nimependa ujumbe ulioufikisha leo kwa wanawake.....
wanawake wa siku hizi wako kimaslahi zaidi atataka nyumba, gari, pesa kujirusha club kwa sana kitandani zero.......wanasahau mapenzi ni sanaa, mwili wa mwenza wako unapaswa uujue vilivyo, unajua ukimshika wapi atasisimka, wapi midadi itampungua wapi "ata-preeze" mapema....... na mwanamke ukijua hivyo hata kitandani hupati shida, akielekea kumaliza kabla hajafika unajua umfanye nini ili safari ihairishwe, vivyo hivyo wanaume, mnapaswa muijue miili ya wapenzi wenu vilivyo na kujua jinsi ya kucheza nayo.......

usione wanandoa wanatunziana ukadhani mchezo...wanafikishana hao

{by the way nadhani somo lako haliwahusu wanaume ambao wakiona sketi tu wana"preeze"}
 
Last edited by a moderator:
Yaani unakuwa kwenye mahusiano kwa ajili ya kumplease mtu? wonders shall never end.

Mtoa mada nadhani huu ni mwendelezo wa upotoshaji kuhusu mapenzi.

Haiyumkini ungewafunda wenzio, wake na waume kwa mapenzi ni unique relationship kama ambavyo watu ni unique. hivyo kuwa mzuri kitandani pia ni moja ya factors na sio kila kitu kwenye mapenzi.

Wangapi unaowajua (kama ulivyoeleza unawajua) ni wazuri kitandani na bado mapenzi yanawashinda?

Katika smo la kufunda, mwalimu mzuri atakuambia usikopi mahusiano ya ndugu, jamaa, rafiki au jirani.

Aso hili ana lile, fanya mahusiano yako ya mapenzi yawe ya pekee kwa kumsoma mwenzio, kuwa tayari kuadjust at most 50%, be yourself usilete maigizo mapenzini then timiza wajibu wako bila kusubiri mwenzio nae atimize wake.

Hilo nalo neno ila jua kuwa wanaume hatuoi mpishi, dobi, houemaker, baby sitter, hair plaiter na mengineyo.........ndo maana inaitwa ndoa na muhimu ni tendo la ndoa.........ukipika vizuri nikashiba na kuwa na afya nzuri kama ginery yako mbovu wenzio watakusaidia tuuuuu........... nivalishe nipendeze.......utashaaa.......jipodoe mpaka uwe Mrs Tanzania.......hakuna rangi mbaya utaacha ona

Hilo neno la Pretta mlifanyie kazi na mumshukuru sana...............................acha ubishi bi mkubwa kama mpenzi wako anakuambia yeye hiyo siyo issue ujue anakamua sehemu nyingine
 
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......

Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...
Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......

Mwenye masikio na asikie......

hii kitu ina maneno kuntu sana viva la Preta
 
Last edited by a moderator:
Hilo nalo neno ila jua kuwa wanaume hatuoi mpishi, dobi, houemaker, baby sitter, hair plaiter na mengineyo.........ndo maana inaitwa ndoa na muhimu ni tendo la ndoa.........ukipika vizuri nikashiba na kuwa na afya nzuri kama ginery yako mbovu wenzio watakusaidia tuuuuu........... nivalishe nipendeze.......utashaaa.......jipodoe mpaka uwe Mrs Tanzania.......hakuna rangi mbaya utaacha ona

Hilo neno la Pretta mlifanyie kazi na mumshukuru sana...............................acha ubishi bi mkubwa kama mpenzi wako anakuambia yeye hiyo siyo issue ujue anakamua sehemu nyingine

utakuwa mwanaume wa kizamani sana, I cant help jamani.
 
Imekaa vizuri ila nabibi kwanza usome hisia za mwanaume make wengine ukimafinyia ma utundu anakuchukulia kuwa wewe ni malaya.na kila mwanamme ana namna anayoipenda kwenye bed. wengine viuno wengine koni wengine malalamiko na kadhalika, jiongezeni akina dada make la sivyo mtakua walinzi wa nyumba.
 
Preta,

naomba nitoke nje ya mada kidogo, linapokuja swala la kitandani si tu wanawake wanatakiwa kuwa watundu, hata wanaume pia....... Eiyer alichokoza kuhusu kiuno...... umeona wanaume wanadhani kiuno ni mwanamke tu ndo anatakiwa kukizungusha hapa point ni kuwa ili kushika na kulinda penzi kitandani pia kubnahitajika ubunifu na utundu........

tukienda kwenye tabia za nje sasa.....
wanawake wa siku hizi wanajua kubandika kopi tu....yes kama ulivyosema kujiweka/ona classic, hawafahamu sura si chochote, mavazi si lolote kulinganisha na ujuzi wa kitandani....

sasa tufanyaje? tupeleke vijana wetu jando na unyagoni?
siku hizi hakuna shangazi wa kuzungumza na mabinti zetu...
na hakuna mapori ya kuwafanyia jando vijana wetu..... akizaliwa miezi kazaa unamkata then basi.....

ila nimependa ujumbe ulioufikisha leo kwa wanawake.....
wanawake wa siku hizi wako kimaslahi zaidi atataka nyumba, gari, pesa kujirusha club kwa sana kitandani zero.......wanasahau mapenzi ni sanaa, mwili wa mwenza wako unapaswa uujue vilivyo, unajua ukimshika wapi atasisimka, wapi midadi itampungua wapi "ata-preeze" mapema....... na mwanamke ukijua hivyo hata kitandani hupati shida, akielekea kumaliza kabla hajafika unajua umfanye nini ili safari ihairishwe, vivyo hivyo wanaume, mnapaswa muijue miili ya wapenzi wenu vilivyo na kujua jinsi ya kucheza nayo.......

usione wanandoa wanatunziana ukadhani mchezo...wanafikishana hao

{by the way nadhani somo lako haliwahusu wanaume ambao wakiona sketi tu wana"preeze"}

Mkuu RR hebu update file hapo

Bibie BADILI TABIA nimeupenda mwandiko wako na maadishi yako. Vipi yale makubaliano yetu ya preezing?
 
Last edited by a moderator:
no-sex-wheel.jpg

sometimes huwa tunafanyiwa mambo kama hii
kifuatacho ITV, huwa ni kusepa kutafuta mpango wa kando
life inakua msoto kama kambi ya mamweraa bhana!
 
Ila Angalizo tu kwenu kina dada: Mapenzi ni Uchafu!!
Asprin,
hili si tu kwa akinadada hata akina kaka pia......
mwenzio akila koni, nawe nenda uvinza..... sio ukatae kwenda uvinza uonze oooh kuna fangus, nilisoma jf kuwa haifai shaurilo.......hadi kuleee kunanyonywa , ukisema huko kwa kutolea chakula kilichotumika mwilini shaurilo....(hapa nasisitiza kunyonywa tu si vinginevyo tafadhali...)

mwili wa mpenzio ni wako ulambe, unyonye, utafune fanya yooooooooooote......
kama una kinyaa kuna asali au chocolate unaweza tumia kupeana mzuka...

kingine usafi jamani usafi, usafi kuanzia nje ya nyumba hadi chumbani...usafi kuanzia kucha hadi miguuu...
ninaposema kuanzia kucha hadi miguu sizungumzii kubandika kucha la hasha bali kuwa katika hali ya usafi.....

na nyie wanaume pia, umetoka mihangaikoni ukifika home , sio tu kumparamia mwenzio ilhali mijasho inakutoka, kikwapa kinatema, la hasha jiswafi pia........

na wanawake waliozaa, sio kuwa rough, maziwa kutiririka la hasha, kuwa smart babayoyoo akirudi afurahi...
 
Last edited by a moderator:
Asprin ....Unasemaaaaa!!
nani kabaila???
nanihii anakusalimu.........hahahaaaa!!!
Hahahahaha......... Ningeshangaa usingetia timu hapa Bigirita . Vigezo na masharti kuzingatiwa. Join date muhimu hahahahaha!!!

tuwe tunashtuana hommie...................
Hahahaha hommie Kimey sijakumensheni lakini umeshatia timu hapa. Lakini wewe ni ndugu yangu na kizuri mtu hula na nduguye...
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha hommie Kimey sijakumensheni lakini umeshatia timu hapa. Lakini wewe ni ndugu yangu na kizuri mtu hula na nduguye...

hahahaha Hommie ndo nilitaka kushangaa hapa! sasa hebu nipe mjukuu mmoja niruke nae Preta keshawapa maujanja
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom