Hebu tufundane leo......

nadhani wadada wameipata hiyo....................

wadada wengi hawajitumi wakiwa kitandani hasa...........
 
ha ha ha, Kaizer, hivi nimeandika kama la wema?

Nimekosea, waliniangusha bafuni nilipozaliwa nikatua kwa makalio
badala ya kutuna palibonyea, ila natetemesha tu vishimo vilivyopo.

Huyu Asprin huwa ananiju mwenyewe.

@Kongosho hujui kutofautisha uvimbe na mbonyeo?
 
yaani unakuwa kwenye mahusiano kwa ajili ya kumplease mtu? Wonders shall never end.

Mtoa mada nadhani huu ni mwendelezo wa upotoshaji kuhusu mapenzi.

Haiyumkini ungewafunda wenzio, wake na waume kwa mapenzi ni unique relationship kama ambavyo watu ni unique. Hivyo kuwa mzuri kitandani pia ni moja ya factors na sio kila kitu kwenye mapenzi.

Wangapi unaowajua (kama ulivyoeleza unawajua) ni wazuri kitandani na bado mapenzi yanawashinda?

Katika smo la kufunda, mwalimu mzuri atakuambia usikopi mahusiano ya ndugu, jamaa, rafiki au jirani.

Aso hili ana lile, fanya mahusiano yako ya mapenzi yawe ya pekee kwa kumsoma mwenzio, kuwa tayari kuadjust at most 50%, be yourself usilete maigizo mapenzini then timiza wajibu wako bila kusubiri mwenzio nae atimize wake.

well said.....like like like
 
usijidanganye utatoa hadi tigo wee lkn kama mwanaume toka moyoni hajaamua kukuoa....hatokuoa Preta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom