Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu tuchemshe bongo kidogo.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HGYTXK, Apr 23, 2012.

 1. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau hebu tuchemshe ubongo kidogo kwa swali la kizushi lifuatalo.

  "Kuna nguo inauzwa 10,000/= na wewe unaipenda ila hauna hiyo pesa hivyo ukaamua kwenda kukopa kwa Rafiki yako 5,000/= na kwa Dada yako 5,000/= na ukafanikiwa kuipata hiyo 10,000/=,ulipokwenda dukani ukafanya maelewano na muuzaji na akakubali kukuuzia kwa 9,700/= na akakurudishia 300/=.Ukaamua kupunguza deni kwa rafiki yako 100/= na kwa dada yako 100/= na wewe ukabakiwa na 100/=.Hivyo ukabaki na deni la 4,900/= kwa rafiki yako na 4,900/= kwa dada yako ambapo inaleta jumla ya 9,800/= ukiongeza na 100/= yako uliyobakianayo inaleta 9,900/=.Je shillingi 100/= imekwenda wapi katika mahesabu yako?."
   
 2. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  huwezi kujumlisha 100/= kwenye 9800/=, unatakiwa kujumlisha 200/= uliyotumia kupunguza deni kwa rafiki yako na dada yako, hope umenielewa
   
 3. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimekusoma mkuu,tuendelee kutazama bunge sasa maana ndio maisha yetu bongo.
   
 4. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo mbona hesabu rahisi tu 4900/= Deni analokudai rafiki yako na 4900/= deni analokudai dada yako ukijumlisha unadaiwa 9800/= na 200/= ulishapunguza deni kwa hiyo hiyo 100/= uliyokuwa nayo mkononi ni sehemu ya deni unalodaiwa na hao ndugu kwa hiyo ni pesa iliyobaki kwenye manunuzi ukiila au usiile deni lipo palepale.So huwezi jumlisha
  100/=
  kwa 9800/= kwani 100/= ipo ndani ya 9800/=.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,534
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  jibu warudishie 150 zao sawa mkuu usilete tena hilo swali jipange tena..
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,655
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Majibu ya Geofrey na MKOBA 2011 nadhani sahii kabisa. Nashukuru kwa kuwa na mimi leo nimepata jibu la hilo swali.
   
Loading...