Hebu sikieni ninavyowaza!!

mi ningewapa lisaa limoja....watusaidie katika reproduction then wapotee....viumbe wanaweza kufanya unywe sumu hawa......:decision::decision:
broken heart....

Dah, unajikuta umejinyonga hivi hivi!!!
broken heart iliyokata tamaa (mara zote hufikiria kujiua)

Siku 21? Nyingi mno hizo wazaliwe tu na kufa hapo hapo wapotelee hukooooooooo
another broken heart

halafu lenyewe linakula raha mwanangu.....mi sikuhizi wala sipotezi muda...nikiona haelekei napotea kabisaaaaaaa na ile nanihiii nimekuwa mchoyo.....basi raha kweli unavyogundua wale wanaotaka ile pipi wanapoikosa wanavyotawanyika......
broken heart at its maximum level

POLENI SANA DADA ZANGU!mioyo yenu imevunjwa vunjwa (ni kwa sababu mliruhusu kuendeshwa na hisia zaidi kuliko ukweli wenyewe wa maisha.....)
(potelea mbali hata mkikasirika huo ndo ukweli)
 
usijichanganye kwa wapiga vinanda, au kwaya masters kwani hao ni wanamziki kama walivyowengine ha matendo yao hayana significant difference.Kumbe unawajua eeh

hahahahah,hao si kipimo cha kusema ndo waume wema wanatoka hapo,
ni vijana na binadam kama wengne,tek kea
 
Inanibidi tu Michelle, manake daaaaaa!!!!! Spea, spea, spea, uzuri wa hawa viumbe, ukianza wewe wanakimbia!!!!!

washamba tu....mi sijui wanakimbiaga nini? so LD wewe kama umempenda mtu unafanyaje?unampa mazingira kama Fidel hadi aseme???:A S 13:
 
Bila kujali ushauri wa hawa Beijing wawili hapa juu:

Kwa mamlaka niliyopewa na walionitangulia mbele ya haki naomba niichangie hii thread kama ifuatavyo:

LD anampenda sana mwanaume aliyemtenda
LD hajapata mwanaume anayempenda kama mwanaume aliyemtenda,
LD anaogopa kumfuata mwanaume aliyemtenda,
LD hajawahi kumchukia mwanaume aliyemtenda...hana sababu ya kumsamehe.
LD ANATAMANI na ANATAKA sana kurudiana na mwanaume aliyemtenda.

Nikiwa kama babu nakushauri namna hii:

LD utendee moyo wako haki....Mrudie MWANAUME HUYO unayempenda sana.

Hii kujiwekea miaka mitano, itakapoisha utaenda kwa nani? Na akikutenda utajiwekea miaka mingapi tena? Na haya maisha mafupi utainjoi lini?

Peleka baioloji hiyo kwa huyo umpendaye, acha longolongo.

Babu anaurudi kitandani kulala.

Babu nasikitika, sio kweli., Wala si feel kumpenda kwa vituko alivyonifanyia.
Ni ngumu kukufanya uamini, na siwezi kumlazimisha mtu aniamini, lakini binafsi sina sababu ya kusema uongo,
katika hili, na siwezi kusema uongo, kwa sababu sitapata kile ninachokitafuta hapa.
Asante babu kama utanielewa, ili unipe ushauri sawasawa na jinsi nilivyo, sio sawasawa na jinsi unavyohisi.

Barikiwa babu.
 
POLENI SANA DADA ZANGU!mioyo yenu imevunjwa vunjwa (ni kwa sababu mliruhusu kuendeshwa na hisia zaidi kuliko ukweli wenyewe wa maisha.....)
(potelea mbali hata mkikasirika huo ndo ukweli)

mmmhhhh we nae,unafikiri wajua sana eeeeehhhhh.......moyo wangu haujavunjwa vunjwa.......ninashukuru kwa yote,maisha yanaendelea!!
 
Mshiki nina swali Dogo tu kwako!! Hivi baada ya hiyo miaka Mitano then utaamua kupenda tena kama zamani? utapenda kidogo? au utafanyaje?
Nasubiri jibu ili nije na maswali mengine!!

Acha nidandie,
Hivi mkuu kupenda ni maamuzi au moyo wa mtu unavutika?
 
Wala hata usichoke unaweza kupunguza au kuongeza mda mrad 2 moyo wako ukuruhusu hata mimi yalinitokea nikasema sitapenda miaka 5 lakini cha ajabu miaka mitano iliisha nikaongezea 3
 
Hii thread babu anaruhusiwa kuchangia?:A S 13::A S 13:

:rain::rain::rain:

hapana :hand::hand::hand:

babu si unaona inawezekana? tatizo ni kuamua tu, ukiamua napumzika unaweza, yaani baiolojia haina say kwa mwili wako........ mfungo unawezekana, ni maamuzi tu

Bila kujali ushauri wa hawa Beijing wawili hapa juu:

Kwa mamlaka niliyopewa na walionitangulia mbele ya haki naomba niichangie hii thread kama ifuatavyo:

LD anampenda sana mwanaume aliyemtenda
LD hajapata mwanaume anayempenda kama mwanaume aliyemtenda,
LD anaogopa kumfuata mwanaume aliyemtenda,
LD hajawahi kumchukia mwanaume aliyemtenda...hana sababu ya kumsamehe.
LD ANATAMANI na ANATAKA sana kurudiana na mwanaume aliyemtenda.

Nikiwa kama babu nakushauri namna hii:

LD utendee moyo wako haki....Mrudie MWANAUME HUYO unayempenda sana.

Hii kujiwekea miaka mitano, itakapoisha utaenda kwa nani? Na akikutenda utajiwekea miaka mingapi tena? Na haya maisha mafupi utainjoi lini?

Peleka baioloji hiyo kwa huyo umpendaye, acha longolongo.

Babu anaurudi kitandani kulala.

Samahani...kuna kitu nlisahau hapo:

LD yuko Lonely anateseka sana....mtafute heart breaker wako LD
LD ana mawazo sana,,,,mtafute hatibreka wako
LD ana kiu sana......mtafute hatibreka wako LD....uitii kiu yako.
Baioloji ya LD inahitaji Physics.....yaani yale mambo ya kuteremkia kwa projectile motion lakini yasiyoacha curve nyuma yake.

narudi tena kum-bed!
Moyo wa LD umevunjikavunjika.....babu anakuonea huruma sana........Mrudie hatibreka wako
 
washamba tu....mi sijui wanakimbiaga nini? so LD wewe kama umempenda mtu unafanyaje?unampa mazingira kama Fidel hadi aseme???:A S 13:

Daaa michelle, hi department ya kupenda sijafanya kazi humo vizuri sanaaaa,
Ila nahisi nikimpenda mtu yeye anajua mwenyewe tu, manake nina uso usioficha mambo, yani mi ni rahisi kusomeka sana.
Ila ni mgumu kuamua kumweka mtu moyoni. Na hata huyu jamaa huyu nilifanya uamuzi kwa gharama sana, nikiwa nadhani hatutaishia njiani.
 
POLE SN DADA! Kabla ya kuchangia mada yako naomba nikuulize maswali 2. kwanza, ww ni mkristo? pili, kama ndiyo umeokoka?
 
Samahani...kuna kitu nlisahau hapo:

LD yuko Lonely anateseka sana....mtafute heart breaker wako LD
LD ana mawazo sana,,,,mtafute hatibreka wako
LD ana kiu sana......mtafute hatibreka wako LD....uitii kiu yako.
Baioloji ya LD inahitaji Physics.....yaani yale mambo ya kuteremkia kwa projectile motion lakini yasiyoacha curve nyuma yake.

narudi tena kum-bed!
Moyo wa LD umevunjikavunjika.....babu anakuonea huruma sana........Mrudie hatibreka wako

Shauri yako!!!!!!!!
 
Daaa michelle, hi department ya kupenda sijafanya kazi humo vizuri sanaaaa,
Ila nahisi nikimpenda mtu yeye anajua mwenyewe tu, manake nina uso usioficha mambo, yani mi ni rahisi kusomeka sana.
Ila ni mgumu kuamua kumweka mtu moyoni. Na hata huyu jamaa huyu nilifanya uamuzi kwa gharama sana, nikiwa nadhani hatutaishia njiani.

embu acha kujutia bwana.....mtu yuko na mkewe we uko hapa unaomboleza miaka miwili baadaye? si kakuacha salama?kuna alichoondoka nacho? be happy and move on......wenzio tuna list we unaongelea first love hapa?:A S 13::A S 13:
 
Back
Top Bottom