Hebu sikieni ninavyowaza!!

sure sure mtakatifu roya....

halafu katika zama hizi za maisha mafupi KWANIN UJIFUNGIE KWENYE KISIWA CHA UPWEKE KWA MUDA WOTE HUO?...

Labda hajui utamu!!.......unaweza ukawa kwenye mahusiano ambayo huioni raha!
Huyu anataka kuweka button ya KUPENA ON..........KUPENDA OFF. hiyo kitu haipo.........Kupenda ni sawa na umeme wa Tanesco........huwezi kuamua sasa unawaka au unakatika.
 
Sijui kwanini nahisi hivi.....
Nahisi LD kamwona mr. right....sasa anataka tumtie moyo kukubali kwamba ameanza kupenda kabla ya muda aliojiwekea haujaisha....

mmmhhhh wewe ndo mimi nini,tunafikiri the same......LD sema my sisy?
 
kwani mkuu....

hebu tupe uzoefu hapa....

ULIFANYA MAKOSA GANI?
Hapo sasa, mi anaposema kua hatarudia tena makosa aliofanya mwanzo na keshajifunza kwa nini asubiri five years? Eti Carina- Bajaji nisaidie hapo!
 
tatizo lako ni kwamba ''maisha umeyapangilia sana''...

lakini pia tatizo kubwa ni kwamba UNA KINYONGO KIKUBWA SANA NA HUYO ALOKUTENDA.....!na by the look ninaona wazi kabisa kwamba UNATAKA KUFANYA KAMA REVENGE HIVI...

MSISITIZO:sijaona hata chembe ya ''amani'' moyoni mwako....neither do i see ''msamaha''...naona vita inaendelea!utakachokifanya baadae ni kikubwa sana (kwa utabiri wangu)....naogopa kukiandika hapa

Sijaona button ya THANKS lakini nikupe kwa hapa.........you LD lady, take it from Carina......Asee, unajikomoa mwenyewe....unajua huyo heart breaker saa hizi ameshakusahau anapata raha kwingine ati! wewe umekalia kujifungia kwenye box huku moyo wako ukiwa na hasira nae!
 
kwani mkuu....

hebu tupe uzoefu hapa....

ULIFANYA MAKOSA GANI?

Kwanza nilimuamini asilimia mia moja. Kumbe hakuwa vile nilivyokuwa naamini.
Nilijitoa sana kwake, nilimchukulia kama mume, badala ya rafiki, boyfriend au mchumba tuseme.
Niliweka malengo ya ndoa mbele zaidi, kabla hata sijamfahamu vizuri tuseme.
 
Yaani wakaka wengine jamani wanapenda kuingia makanisani ili wawapate wadada wa watu. pole mwaya ila miaka mitano naona ni mingi sana mpendwa, hiyo uliyokaa inatosha sana pia umri nao unaenda usijekutana na mtu ukampenda halafu mambo ya umri yakawa kigezo. kuweni makini wadada wanaokutana na wakaka wa kanisani yalinikuta na mimi jamani sina hamu na lile kanisa liko karibu kwenye petro station fulan yaani wamejaa macasanova wa kufa mtu. alikuwa anasali mpaka ananena kumbe katupanga kibao.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Kwanza nilimuamini asilimia mia moja. Kumbe hakuwa vile nilivyokuwa naamini.
Nilijitoa sana kwake, nilimchukulia kama mume, badala ya rafiki, boyfriend au mchumba tuseme.
Niliweka malengo ya ndoa mbele zaidi, kabla hata sijamfahamu vizuri tuseme.

:A S 13::A S 13: LD na mimi tunafanana....duh,kazi kweli kweli.....duniani wawili wawili i swear.....maisha ni shule mwenzangu...ndo ushajifunza....:hand:
 
Ulitakiwa kuishi 50/50 ulikosea kumkabidhi uhai wako wote wa Pendo.
 
LD........pole sana.
hebu acha hasira, msamehe bure huyo heart breaker.
Then pata amani ya kweli (hiyo uliyosema unayo sasa hivi ni fake)
then, changamka ujipatie wa ukweli......miaka mitano si utakuwa bibi tayari. (si unaua wewe ni mkulima, unalima kuku wa mayai na kuku wanaokula panzi)
 
Sijui kwanini nahisi hivi.....
Nahisi LD kamwona mr. right....sasa anataka tumtie moyo kukubali kwamba ameanza kupenda kabla ya muda aliojiwekea haujaisha....

Ha ha ha ha!!! Napenda ga watu wanaojua kuhisi!!
 
mkuu swalamaa?

ukimwona klorokwini sehemu mwambie anipigie.....nina ishu nae:wink2:

yaani wanafanana mno na kwinini hata siwezi kumtofautisha kolokwini ni yupi, nitakachofanya ni kuwaambia wote.
 
tatizo lako ni kwamba ''maisha umeyapangilia sana''...

lakini pia tatizo kubwa ni kwamba UNA KINYONGO KIKUBWA SANA NA HUYO ALOKUTENDA.....!na by the look ninaona wazi kabisa kwamba UNATAKA KUFANYA KAMA REVENGE HIVI...

MSISITIZO:sijaona hata chembe ya ''amani'' moyoni mwako....neither do i see ''msamaha''...naona vita inaendelea!utakachokifanya baadae ni kikubwa sana (kwa utabiri wangu)....naogopa kukiandika hapa

Hilo la kupangilia maisha nakiri ni kweli, lakini nahisi huyu mtu nimemsamehe, ingawa sitaki kumuona, wala kusikia habari zake!!!
 
Kwanza nilimuamini asilimia mia moja. Kumbe hakuwa vile nilivyokuwa naamini.
hapa ulikosea.....!
tena kama wewe ni mchaga basi utakuwa wa KISHUMUNDU.....yaani wewe ulijichukulia madaraka mkononi UNAANZA TU KUMUAMINI?..lakini pia mimi nadhani ni ''utoto''

Nilijitoa sana kwake, nilimchukulia kama mume, badala ya rafiki, boyfriend au mchumba tuseme.
sasa mama.....
unamchukulia mtu kama MUME kwani alileta barua ya posa au mahari alitoa?

Niliweka malengo ya ndoa mbele zaidi, kabla hata sijamfahamu vizuri tuseme.
hivi mama.....!
uliwezaje kujikabishi maamuzi ya KIUME HAYA?

-wewe ndo ulieamini
-wewe ndo ulimchukulia mume
-wewe ndo uliamua kuifikiria ndoa

I MEAN......!what were you thinking?...jibu ninalo....EXPOSURE YAKO KWENYE MALOVEE ILIKUWA NDOGO MNO

sasa mama mi nasema hivi...HIYO ADHABU VIILE UMEJIPA NI KUBWA MNO....YAANI UMEJIVERRATE (kama torress)
 
:A S 13::A S 13: LD na mimi tunafanana....duh,kazi kweli kweli.....duniani wawili wawili i swear.....maisha ni shule mwenzangu...ndo ushajifunza....:hand:

Thanks Michelle, nimekupata na ushauri wako hapo juu, ee bwana unajiingiza mzimamzima kwa lijamaa halafu daaaaa...........
 
Hilo la kupangilia maisha nakiri ni kweli, lakini nahisi huyu mtu nimemsamehe, ingawa sitaki kumuona, wala kusikia habari zake!!!

hapo ndo penye tatizo sasa.
wewe ukipendwa tu kidogo unawaza ndoa eeh!!
watakugonga sana asee..watazidi hata hao wa michelle.....yeye si amesema wamezidi kumi?
wewe wanaweza wakazidi 25...
Chukua hatua!
 
Back
Top Bottom