Hebu punguzeni ..............

No comment! lol

In addition......men are innocent creatures from 'Mars', they neither concern nor do they smell the character of the Earth planet! According to rule 'men superiority'......all women are inferior and wrong doer species,,,, therefore the whole burden of guilty shall lie to women and it is punishable as per the "Men's will"!!! How wonderful.....lol!
 
Jamani Fazaa si nisifie tu nifurahi kwa mbali sifa hazifiki? leo weekend....lol... Nafurahi umenipata.
Kwelii kabisa si ndo hata mimi najiuliza kwanini nisikusifu.

Sasa nianze kusifu macho yako mana ndo nayaona na yanavutia kweli kweli, sijui lini yatakuja karibu yangu mana nimeisha ona kama sasa hivi I'm a prisoner of ur eyes :biggrin:
 
In addition......men are innocent creatures from 'Mars', they neither concern nor do they smell the character of the Earth planet! According to rule 'men superiority'......all women are inferior and wrong doer species,,,, therefore the whole burden of guilty shall lie to women and it is punishable as per the "Men's will"!!! How wonderful.....lol!


Kipipi dearest believing you are among a few female species who understand what you have just posted, I take it for a fact that you do understand too that we women just make and let them feel/say and do that because at the end of the day... We know for a fact who rules the world...lol
 
Kwelii kabisa si ndo hata mimi najiuliza kwanini nisikusifu.

Sasa nianze kusifu macho yako mana ndo nayaona na yanavutia kweli kweli, sijui lini yatakuja karibu yangu mana nimeisha ona kama sasa hivi I'm a prisoner of ur eyes:biggrin:



Please stay right there and don't move! lol... Will be right back after i get the bar keys....
 
Kipipi dearest believing you are among a few female species who understand what you have just posted, I take it for a fact that you do understand too that we women just make and let them feel/say and do that because at the end of the day... We know for a fact who rules the world...lol

If someone could have told me..... it might be true as long as they say it out of 'cause of causes'!!
 
Hapo chacha, labda kwasababu wanawake tunarun dunia.
Mj mambo?

Pouwaz binamu.............siijakuona jamvini kipindi...........kwema?

Basi na tuwasifie kwa kui run hii dunia na kutufikisha hapa tulipo!

wanawake wana-run dunia.
Si unajua kila boss ana aboss wake.
Eti boss wa dunia sasa hivi ni Michelle Obama.


Praises to Michelle then

Sawa lakini ukumbuke kuwa hili jukwaa ni la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki:

Mahusiano: Sidhani kama wewe unaweza kuwa na mahusiano na kiumbe tofauti zaidi ya mwanadamu mwenzio kama sio mwanamke basi ni mwanaume?
Mapenzi: Hauwezi kuwa na mapenzi na kiumbe tofauti baina ya mwanamke na mwanaume.
Urafiki: ni kati ya mwanamke na mwanaume, au mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke.
Kwahiyo ni lazima mwanamke atatajwa tu, au mwanaume atatajwa tu katika jukwaa hili!

Niongeze ni kwa upendo lakini hapa tumegeuza kuwa ni sehemu ya mashambulizi, swali ni kuwa tunashambulia ama tutakiwa kuwashauri?

Ndio hua nashindwa kuelewa dhana ya kusema wanawake ni walalamikaji hua yatoka wapi? How come sisi hatu complain hivo? Asante M_Jeuri bora mwanaume mwenzao umeongea...


AshaDii.....hapa hali ni tofautii na dhana inayojengeka..........sisemi kuwa msilalamikiwe lakini kweli hakuana cha kuwasifiieni walau mara moja!

Wewe kweli unashangaza hivi hujui hata vitabu vya mungu vinasema lazima tuowe....Yani ungejua umuhimu wa wa wanawake usinge kuja na thread hii.

Asiye penda wanawake nani? hata wanyama ambao hawana akili akipita mnyama jike unaona anamrukia kwa furaha iwe binadamu wenye akili unataka wasipende wanawake.


Umeenda kinyume na kusudi langu,

Sio kutowapenda ama kutowaongelea la hasha nenda rudia tena post yangu!

Jamani Fazaa basi nyie wanaume have a strange way ya kuonesha mwatupenda..... Mbona sasa threads nyiingi ni za kutuponda na za sifa ni chache? ni nadra saana akaja mkaka hapa jamvini na kuanza kusifia wanawake kwa mengi ambayo twaweza, inakuaje siku zoote ni lawama tu?


Very strange indeed?

Kupondana ni lazima, tusipo pondana hatutajifunza.

Yani hata mimi kama wife wangu atakuwa ananisifu kila siku, basi lazima tachukia tajua ananiona mwehu....mimi napenda sana pale wife wangu ananisomea makosa yangu hapo ndo najua ananipenda :biggrin:

Ok kuanzia sasa njoo na zile za kumsifia ukamilishe mzunguko!


Mungu aliwaumba wanawake wasiwe na akili lakini watumie akili ya wanaume kuwaendesha. REVERSE PSYCHOLOGY ONE ON ONE.

So who's riding who?

Uzi wako mwenyewe umewataja wanawake, hivi anayekuonyesha makosa yako na anayekusifia tu yupi bora?! Kama hujui challenge zinakufanya uwe bora zaidi.

Sijasema kuhusu kusifu.................haiwezekanai matataizo yote haya yakawa yameanzishwa na wao peke yetu sie tumehusikaje?



Wewe jaza server tu lakini ujue wanawake wataendelea kusemwa kwa sababu ni viumbe dhaifu sana wao ndio walio mstari wa mbele kuongoza tabia mbaya hasa za kingono.
Nawaombeni radhi kwa hili wanawake hivi nyie mkiombwa kufanya ngono mkakataa kuna mwanaume atawalazimisha, tamaa zenu ndizo zinawafanya msakamwe kila uchao na mtazidi kudhalilishwa kwa sababu mmeanza kujidhalilisha wenyewe.
Badilikeni acheni udhaifu wa kujinga eti unamuonea huruma huyu mwanaume ndo maana ukamwachia mzigo baada ya hapo eti mnasemwa shame on you wenye tabia kama hizi na tutazidi kuwasema

Pole achana na mawazo mgando sio kusema makosa tu......................anzeni kufikiria na suluhisho pia!

Men are so much clean...very perfect species! They never make mistakes...but they make full of proud! According to rule 'men head', it is an offence for them to reveal the best angles of women though it is not punishable....ROFL!!!

And the vice versa is true!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom