Hebu oneni aibu hii ya serikali, kudaiwa 3.1 trillion na PSPF ni aibu!!

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
Wana JF nimeshistushwa sana na taarifa kuwa serikali yetu inadaiwa 3.1 trillion na mfuko wa pension kwa watumishi wa umma. Swali langu kuu, hili deni ilikuwaje hadi likafikia kiwango kikubwa cha kutisha kiasi hicho? Mazingira ya deni hilo yasije kuwa ya kifisadi au kuchangia kampeni!
Naombeni wana JF mchangie baada ya kusoma link hii PSPF yaidai Serikali Sh3 trilioni kwa habari hyo zaidi!
Unadaiwa 3.1 trillion unasema umeanza kulipa 5.9bill tena nadhani ni baada ya kusikia kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), ipo mlangoni.
 
Wana JF nimeshistushwa sana na taarifa kuwa serikali yetu inadaiwa 3.0 trillion na mfuko wa pension kwa watumishi wa umma. Swali langu kuu, hili deni ilikuwaje hadi likafikia kiwango kikubwa cha kutisha kiasi hicho? Mazingira ya deni hilo yasije kuwa ya kifisadi au kuchangia kampeni!
Naombeni wana JF mchangie baada ya kusoma link hii PSPF yaidai Serikali Sh3 trilioni kwa habari hyo zaidi!

MODS iunganisheni hii na thread nyengine kule Jamiiintelligence inarudia kitu kimoja.
 
Ni aibu sana serikali kuwalalamikia waajiri wengine kwa kutowakilisha michango ya wafanyakazi kwenye mifuko ya Hifadhi, kumbe yenyewe ndio kibaka hasa! Kwa maana hiyo mishahara ya wafanyakazi inapokatwa pesa ndo zinakwenda "DO- ONES" na kwenye ufisadi mwingine, AIBU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mifuko hii kumbe ipo kwa maslahi ya serikali! Katiba ya PSPF inasemaje kuhusu kukopesha fedha serikali na ikiwa ipo ceiling yake ni ipi? Nasikia harufu ya ufisadi kwa mbali hapa.
 
Mifuko hii kumbe ipo kwa maslahi ya serikali? Katiba ya PSPF inasemaje kuhusu kukopesha fedha serikali na ikiwa ipo ceiling yake ni ipi? Nasikia harufu ya ufisadi kwa mbali hapa.
Acha serikali mbali, kwani si hadi watu binafsi wanajikopea tu huko?...ni nyie tu mnautaka umasikini mmeung;ang'ania kama urithi!
 
Back
Top Bottom