Hebu ona haya ya ndugu JK huko aliko sasa

huyu jamaa bado ni rais wa nchi yoyote hapa duniani?....lazima nchi hiyo itakuwa tanzania....hakuna nyingine!
 
From ICHIKAELI MARO, Perth, Australia, 26th October 2011 Daily News

.......... foreign investors in Africa should plough back part of their gains to benefit the local communities.
..................................it was important for the Commonwealth to support the poorest member nations in reducing poverty in the same way it was propping up democracy, good governance and rule of law. ........................

Raisi anashindwa kuelewa kua democracy ya kweli ikiwepo basi na nchi itafanya kazi vizuri. Mzungu anatuletea democracy ya kweli KWA IMANI yake kua kupitia democracy tutajifunza kujiongoza vizuri - na tukijiongoza vizuri na umaskini utakwisha.
Mzungu hategemei atupe tuu misaada ama aendeleze tuu jamii zetu (not sustainable) kwani dhahabu ikiisha je?, BALI anataka (kwa ushindani) nasi tuwe sehemu ya kuinua kipato chake - kwa msingi huo basi angependa nasi tuwe na akili nzuri sio tu za kuombea misaada bali kujiendeleza na kuleta ushindani duniani kiuchumi nk.
 
Vyuo vikuu kuna mikoa na makabila hayawezi kutoa rais wa vyuo, samahani watu wa mwambao wa pwani. Vikundi vya sanaa(maigizo,vichekesho,komedia nk.) watu wa mikoa ya bara sio wazuri sana katika fani hii, samahani sana watu wa bara hasa mikoa ya magharibi, kanda ya ziwa, nyanda za juu kati na kasikazini.
 
Hakuna rais hapo..madafu matupu..[/QUOTE]

Kuna Great Thinker mmoja aliwahi sema..."We are dumb! Intelligent people know how to solve their problems. Smart people are resourceful. Ingenious people invent and innovate. We lack all of these attributes". Yes I said it. We are dumb!
 
Dependency syndrome (Kutembeza bakuli) will always hamper us from owning our destiny. With the current economic shocks accross the world every investor is looking for areas to maximise his/her return of investment. This is the number one objective of any investor as he has the fiduciary obligation of ensuring value of investment made on behalf of his/her shareholders.

This culture will always work against us as there is no free lunch in this world. It is until we make a complete reversal of our current socio-economic and political undertakings we will continue to be trailing at the bottom despite presence of vast resources within our borders.
 
"Tunataka nchi yetu ianze kujitegemea kwan tunaamin kwa kutumia rasilimali tulizo nazo tutaweza kujitegemea" hayo yalikuwa maneno ya rais mstaafu Benjamin mkapa. Maneno haya yanafanyiwa kaz na serikal ya JK? Mr. President rud nyumban pigana na rushwa na ufisadi watanzania tuanze kujitegemea. Sis sio ombaomba Mr. President
 
Leo walisahahu taito ya mzee? Ni " Dr., Dr., Dr., Dr., President, Rais, Mwenyekiti, Col., Jakaya Kikwete"
hayo magumashi ya u dr yapo huku tu,huyo dr kaul ni wa kusomea sio wa zawadi mzee,ujinga mtupu
 
Dependency syndrome (Kutembeza bakuli) will always hamper us from owning our destiny. With the current economic shocks accross the world every investor is looking for areas to maximise his/her return of investment. This is the number one objective of any investor as he has the fiduciary obligation of ensuring value of investment made on behalf of&nbsp;his/her shareholders. <BR><BR>This&nbsp;culture will always work against us as there is no free lunch in this world. It is until we make a complete reversal of our current socio-economic and political&nbsp;undertakings&nbsp;we will continue to be trailing at the bottom despite presence of vast resources within our borders.
 
people u seem 2 forget kuwa australians wamewekeza sana migodini tz, esp. dhahabu...na ni sehemu kama hizi ambako deal za wakubwa hufanyika na kuishia huko huko...so lazima awepo...wanaojipongeza kuwa these visits are 4 public lot...mnajidanganya vibaya sana!
 
Raisi JK ametokana na jamii iliyolala,legelege,maskini haijitambui na imekufa fofo na kupigwa ganzi kwenye ubongo.
Usitegemee kuwa na serikali na kiongozi aliye makini na shubavu kutoka kwenye jamii iliyolala.
 
..........................we are poorest in mind not in resources mr.president,..stop embarrassing yourself
Hapo huo mstari umeniacha hoi.....dah.........kuishi kwingi kuona mengi......nimeuweka kwenye signature yangu......Asante sana Maandamano
 
Bado tunatafuta mwekezaji mzuri wa Uranium yote..Ila JK naona utakuja kustaafu vibaya..hata hao wanaomsifu sasa watamjeuka..we subirini
 
fofofo
amka kijana acha kuwa mvivu wa kufikiria kila kitu tunacho isipokuwa viongozi
 
Huyu jamaa anapenda mambo mepesi sana sijui kwanini.........

Ndo uwezo wake kiongozi. Kwanza kwa nini afikiriw saaaaaaaaaaana wakati kuna ma master business planners wake wanatenda kazi! RA...na wengineo utamalizia
 
Back
Top Bottom