Hebu Ona Hawa Wanaotakiwa Kupita VIP Tabora

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
Photo0039.jpg
Changieni nyie kwanza
 
Ina maana kule kwa kawaida hakuna wanaopita kwa sababu hao ndio wanaoweza kulipia tickets za ndege. Kwa mantiki hii, kule kwa kawaida ndio kunakuwa VIP. watu wanajinafasi kwa uhuru while VIP ni congested.
 
Huko ni mikoani na hao ndiyo wakuu kule hawa wengine walio hapa Dar wakienda kule si ni special? Waziri akipita hata magari yanaweza kusimamishwa barabarani apite. VIP yenyewe hata haina hadhi ile watu wanatarajia (JNIA walitumia 12 Bilioni nadhani lakini pale ni darasa la MMEM) Mimi naona wako sahihi kwa hali yao ya maisha. KIDUMU CHAMA CHA MATUMBUZI.
 
Kumbe na mie nipo....hivi hii hai-apply na kwingine?
 
Mh....Nashukuru na mie nimo kwenye hiyo orodha.........................
 
Wasindikizaji hawarusiwi kuingia ndani ya VIP.Si kweli.Itakuwaje ambapo Mkuu wa Mkoa anasindikizwa na Afisa Usalama wa Taifa-Mkoa?
 
heee, ile airport nayo ina VIP, haki ya nani..!!!! Iko wapi pale, au underground?????
 
Mshauri wa mgambo mkoa...Huyu anakuwa na ujuzi gani katika ulinzi?.......
 
Back
Top Bottom