Hebu nipen source za kuchek POST hapa tz

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
Wanandg niaje ninaomba mnipe source za kuchek utafutaj wa ajira. Yan ninaomba WEBSITE ya kuchek ajira tofaut hapa TANZANIA mana ninafikir ninazozjua mm ni ndogo 2saidiane ma pipo
 
jamani wakati mwingine mtu anakuwa nashida kweli hivyo kama umeshindwa kumsaidia usimsagie kwani ameona jamvini ndio sehemu nzuri ya kusaidiwa kimawazo
 
jamani wakati mwingine mtu anakuwa nashida kweli hivyo kama umeshindwa kumsaidia usimsagie kwani ameona jamvini ndio sehemu nzuri ya kusaidiwa kimawazo

bora useme wewe mana nikiongea mm nitaambiwa ninahira safi m2 wangu na kwanini umekawia hvyoo
 
Back
Top Bottom