Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu nijuzeni juu ya hili wadau!!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Nsemwas Junior, Mar 21, 2011.

 1. Nsemwas Junior

  Nsemwas Junior Senior Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Polisi akikumata kwa kosa lolote wewe ukiwa dereva wa gari ndogo,saloon car,na kwa bahati mbaya lile kosa likawa linahitaji document au uthibitisho fulani ambao kwa muda huo hauwezi kupatikana na hivyo basi ikakulazimu uache gari kituoni,je,kisheria za Tz ni sahihi niache gari na funguo ktuoni bila ya polisi kunipa doc yoyote inayothibitisha kuwa nimewakabidhi gari???What if the next day naenda kulikomboa gari then kwa reason yoyote ile likawa halipo,nina proof gani kuwa niliwaachia gari???Please help me on this
   
Loading...