Hebu naombeni mnisaidie katika hili...

Kwanza kijana wa ukweli unapaswa kuwa nao kadhaa...
jaribu uone, wataanza kukukaba wenyewe! Mmoja tu..alafu anakuzingua,
unamwaga then unakamata KIBURUDISHO kingine!
unless you are a beginner in that trade!
hapo tu hujachora moja..unateseka, ungekuwa tayari ingekuwaje?

cpo serious kvp mkuu heb fafanua kdogo mkuu il nijijue ka vp npate elmu juu ya huo ushaur wako
 
Back
Top Bottom