Hebu muulize..amekupendea nini?

Mathias BM

Member
Jun 28, 2012
21
3
Wana jf tushirikishane hili suala muhimu! wapenzi au wanandoa wengi wanapotaka kuanza mahusiano yao huulizana maswali kama haya...'unasoma wapi, unafanya kazi gani, we ni mnene au mwembamba n.k' Halafu wakishajua majibu hayo, hapo ndo husingizia dhana ya kupendana kwa dhati kisha kuanza mahusiano! jamani, wote tunafahamu kuwa maisha ya watu hubadilika na maumbile pia hubadilika, Je ina maana kwamba mabadiliko hayo huashiria mwisho wa safari yao ya uhusiano na kupotea kwa dhana ya kupendana? Hebu jaribu kumuuliza mwenzi wako kwa nia njema 'amekupendea nini? akikupa sababu jaribu kuhusisha sababu hiyo na maelezo hapo juu. Je, ana upendo wa dhati kutoka moyoni au anasingizia na kubadilisha dhana ya nakupenda. Fanya uchunguzi wa kina kisha toa maoni yako hapa..!
 
Kwanini usianze kujiuliza wewe mwenyewe umempendea nini?
 
Nimemuliza kanambia ananipenda kwa sababu yakupika Vibibi na vipopo na hasaa kavutiwa na wembamba wangu Kama nyoka ......
 
....kanipende wembamba wangu hasa kiuno na mapishi jikoni.....
 
huwa anakataa katakata kuniambia kanipendea nini, akinijibu bac atasema kanipenda tu. siku akiniambia kanipendea nini nahisi nitafanya sherehe hili swali nimemuuliza miaka mingi sana lkn sijawahi kupewa jibu.
 
Hayo mambo ya Facebook vipi mtu akuulize mnene au mwembamba kwani hakuoni?
 
Nmekubali maneno yako.coz mara nyingi hizo question zinakuja so ata sipati jibu why? Na binaadamu hubadilika ,
 
mimi wangu aliniambia kapenda unene wangu....yeye mwembamba hivyo tukiwa kunako 6.....anapenda akiwa kama jusi juu ya gogo.....
 
maswali gani hayo ya kuchokonoana na kutegana? kama mtu anakupenda, anajua mwenyewe kakupendea nini, ebo!
 
Back
Top Bottom