HEBU MTAZAMO WENU WanaJF,WANAFUNZI WE2 WENGI KUWA UGANDA KWA ELIMU Olever V/s Alever

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,216
Mi ni mkazi wa Jiji la Arusha! Kuna ki2 kinanitatiza sana kwani nimeona wanafunzi wengi wa matajiri hapa kumalizia mamilioni ya Tsh shule za Uganda,Swali kwangu ni Je? Wizara ya elimu hili wameliwekaga vipi? Hebu twendeni pamoja kwa wanaolijua,CV ZAO WANAZITAMBUJE?
 
Jama hapa hkn anayejua angalau kwa Ufupi? Bado nawasikilizia tafadhalini Wandugu!! Mmmmmh!! Inaniboa sana tena sanaaaaa!!!!
 
Kumbuka mzazi yeyote anapeleka mwanae kusoma pale anapoona elimu inayotolewa ni nzuri kulingana na kipato chake,na vilevile sasa hivi Tanzania iko katika jumuia ya afrika mashariki ambapo tunategemea siku za karibuni kuwa na soko la pamoja hivyo chukulia hali hiyo kama mandalizi katika utekelezaji kwa vitendo.Pamoja na uzalendo kuwa kitu muhimu lakini ni vigumu kumchagulia mtu mwenye pesa asomeshe watoto wake hapa nchini au nje ya nchi kwani itakuwa kuingilia maisha yake.La maana ni kuomba wenye mitaji wajenge shule nzuri ili kuvutia watanzania wasomeshe watoto hapa nchini badala ya kulalamika .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom