Hebu Kisieni jamani Ndugu zangu hii picha ni ya nani?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
:target: Kisha Mutoen maoni yenu. Ama kweli maisha ni Safari ndefu inabidi uvumilie tu.


attachment.php
 

Attachments

  • Tumetoka mbali mpaka Amerika.jpg
    Tumetoka mbali mpaka Amerika.jpg
    50 KB · Views: 414
Obama alipokuja kutambika kwenye kaburi la baba yake Hussein kabla hajaanza mbio za kuwania usenator na baadae ..............!! Hapo ndio mjue mjue umuhimu wa kujua matambiko yenu yako wapi!!!
 
Huyo ni Obama kabla hajaanza kuvaa mashati meupe na kubadili tai kila siku.n hapo alikuwa anaulizia kaburi la baba yake lilipo
 
Obama ameanzia mbali kama alivyoanza Dr. MWELE MALECCHELA Hop atakuja kuwa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania
 
Back
Top Bottom