Ukibadili tabia kutoka mbaya na kuwa nzuri
Usifanye kwa ajili ya watu wengine
Fanya kwa ajili yako na nafsi yako
Utakuwa na amani zaidi kuliko kutegemea watu wa nje wakuamini
Uaminifu ukivunjwa ni ngumu kurudishwa.
Wewe Kongosho wewe! Yaani mumeo (and that is ME) unamuweka kikaango kimoja na Bishanga!!!!!! Natafuta kamba ya mgomba nijitundike, huu ni udhalilishwaji wa kijinsia. Haki ya mama vile!
ya nin tena mie nataka majibu bana
Hivi kwanini mtu huwa haaminiki pale anapobadilika kutoka kuwenye tabia mbaya kwenda kwenye tabia njema? je inamaana mtu akishakuwa mkosa maisha/jamii haimpi nafasi ya kubadilika tena?
pole but usijeukawa wewe ni mhehe lol! naogopa jamani
Wewe Kongosho wewe! Yaani mumeo (and that is ME) unamuweka kikaango kimoja na Bishanga!!!!!! Natafuta kamba ya mgomba nijitundike, huu ni udhalilishwaji wa kijinsia. Haki ya mama vile!
nimekuelwa sana na asante sana kwa hili manake real ninapata mafunzo kwako.
hebu je niambie katika hili, umemkuta binti wa kike ni ndugu kwenye ukoo, kwatabia zake ukoo wote umemtenga ila ukaona hapana anahitaj faraja kama binadamu. umejitahidi sana kumfanya abadilike na wewe ukimtizama kwa macho ya kibinadamu unaona kweli amebadilika na toka uanze hiyo kazi ni kama 2 yrs sasa.
sasa siku unamtuma kwa ndugu mwingine, sehem ambayo ni mbali itakayo mlazimu kulala huko, ndugu anasema simtaki kwani hata unipe nini siamin kwamba huyu mtu kabadilika kibaya zaid ndugu anampigia simu binti na kumwambia kwamba aache unafki hawez kubadilika.
binti anaumia sana na kujiona kama jamii haimpendi tena na anajiona mkosa sana asiye stahili hata kuish je wewe kama ndo mlez wake utafanyaje hapo? kumbuka kuna ugomvi unaoweza kutokea iwapo utaendeleza mjadala.
nisamehe sana kwa maneno mengi but pse sema neno hapa.
je wafikir hata kama atabadilika kimatendo bado jamii itamuona kama mwenzao?