hebu fikiria!

KITOSA

Member
Jan 22, 2011
38
4
malawi ni jirani zetu,kuna sheria wanataka kuipitisha juu ya kutoa ushuzi iwe ni kosa la jinai!sasa hebu pata picha ingekuwa hapa kwetu bongo na hasa kwa wanaosafiri kwa mabasi ya umma karanga,mahindi ya kuchemsha,mayai ya kuchemsha,halafu basi likifika ILULA anakula ugali nyama mtindi,akifutua ndani ya basi police
check point Iringa halafu sheria imeshapitishwa bongo!ungefanyaje?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom