Heart Attacks And Drinking Warm Water

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
did_you_know.gif

Heart Attacks And Drinking Warm Water

If you're new here, you may want to subscribe to our RSS feed. One advantage of subscribing to RSS feeds is that you don't have to constantly re-visit this site to check for updates within specific sections you might be interested in because your browser or Feed reader will do this for you automatically on a regular basis plus you can even get email notification. Thank you so much. Enjoy!

If you like this post, Digg It! Click on the Digg button.
Share

This is a very good article. Not only about the warm water after your meal, but about Heart Attacks . The Chinese and Japanese drink hot tea with their meals, not cold water, maybe it is time we adopt their drinking habit while eating.

For those who like to drink cold water, this article is applicable to you. It is nice to have a cup of cold drink after a meal. However, the cold water will solidify the oily stuff that you have just consumed. It will slow down the digestion. Once this 'sludge' reacts with the acid, it will break down and be absorbed by the intestine faster than the solid food. It will line the intestine. Very soon, this will turn into fats and lead to cancer. It is best to drink hot soup or warm water after a meal.

Common Symptoms Of Heart Attack...
A serious note about heart attacks - You should know that not every heart attack symptom is going to be the left arm hurting . Be aware of intense pain in the jaw line .
You may never have the first chest pain during the course of a heart attack. Nausea and intense sweating are also common symptoms. 60% of people who have a heart attack while they are asleep do not wake up. Pain in the jaw can wake you from a sound sleep. Let's be careful and be aware. The more we know, the better chance we could survive.

Source: Email from a Friend (not reliable source)

Comments: Rule of thumb: don't take health advice from anonymous forwarded emails. I scoured every available medical database for articles confirming -- or even suggesting -- that drinking cold water with meals is harmful, and found not a single one. There's no scientific basis for the claim that cold water will "solidify the oily stuff" you have just consumed, or that this "sludge" will "line the intestine," let alone "turn into fats" and "lead to cancer."
It's mumbo-jumbo, and self-contradictory mumbo-jumbo at that. The email states that drinking cold water "slows down the digestion," yet in the very next sentence declares that it will cause the your stomach contents to "break down and be absorbed by the intestine faster." Which is it?
What studies do exist mainly extoll the benefits of drinking cold water, especially during and after vigorous exercise. Cold water is absorbed by the body more quickly than warm water and can help lower one's body temperature, preventing dehydration. See Does Drinking Cold Water After a Meal Cause Cancer? - Netlore Archive

Source: Heart Attacks And Drinking Warm Water
 
Na imeonekana pia unywaji wa maji ya baridi husababisha sukari. kwanza huwa unaimpare hormonal secretion ya ADH na pia hufanya damu kuwa nzito wani inakuwa na food substances nyingi so its better to take care when consuming cold water.
 
MziziMkavu je wewe una afya njema 100% AU ni sawa na fundi seremala na nyumbani kwake hana sofa.
Its only a joke.
 
Last edited by a moderator:
....Wachina hawanywi maji ya baridi bali hunywa maji ya moto hata wengi waliohamia katika nchi za magharibi bado wanafuata utaratibu huu wa kunywa maji ya moto...lakini Mhhhhh!!! Imagine joto la Dar halafu mtu anakwambia usinywe maji ya baridi kupoza koo lako bali unywe ya moto...inahitaji moyo sana kunywa maji ya moto na ukinyimwa ya baridi unaweza kuanzisha varangati la mama nitazamie.
 
MziziMkavu je wewe una afya njema 100% AU ni sawa na fundi seremala na nyumbani kwake hana sofa.
Its only a joke.
Mkuu tz1 ninaweza kusema sina afya ya 100% lakini naweza kusema nina afya ya 95% na kila baada ya mwaka huwa nakwenda kuchunguza afya yangu hospitalini kwa vipimo vyote yaani Damu na mkojo na

kuangalia kifuwa Xray. Sivuti sigara,Sinywi Pombe, sina mambo ya Starehe za wanawake (Zinaa) hayo ndio matatizo yanayoleta Maradhi mwilini. Namshukuru Mwenyeezi mungu kwa kunipa afya njema.
....Wachina hawanywi maji ya baridi bali hunywa maji ya moto hata wengi waliohamia katika nchi za magharibi bado wanafuata utaratibu huu wa kunywa maji ya moto...lakini Mhhhhh!!! Imagine joto la Dar halafu mtu anakwambia usinywe maji ya baridi kupoza koo lako bali unywe ya moto...inahitaji moyo sana kunywa maji ya moto na ukinyimwa ya baridi unaweza kuanzisha varangati la mama nitazamie.
BAK Sio lazima unywe maji ya moto sana ila chemsha maji ya Uvuguvugu Sio moto sana wala sio baridi kisha uwe unakunywa kila siku asubuhi Glasi moja tu unapoamka jizoeshe hivyo utaona mabadiliko yake fanya hivyo kama mwezi kisha utanipa FeedBack mkuu.
 
Last edited by a moderator:
....Wachina hawanywi maji ya baridi bali hunywa maji ya moto hata wengi waliohamia katika nchi za magharibi bado wanafuata utaratibu huu wa kunywa maji ya moto...lakini Mhhhhh!!! Imagine joto la Dar halafu mtu anakwambia usinywe maji ya baridi kupoza koo lako bali unywe ya moto...inahitaji moyo sana kunywa maji ya moto na ukinyimwa ya baridi unaweza kuanzisha varangati la mama nitazamie.

ndugu joto lililoko china si sawa na dar elewa hapa baridi ni baridi kweli na joto ni joto lakini mchina hawezi kunywa maji ya baridi hata siku moja maana anaamini yanamsaidia sana kuliko hata tiba yeyote ile. tutumieni maji ya moto na sikuongopa joto la bongo ni kidogo sana.
 
for long time nliacha kunywa maki ya baridi nakunywa ya kawaida tu. sijui ndo hayo ya moto yanayozungumziwa hapa!!:redface:ukiamua kitu kuacha unaweza na faida yake naiona
 
hufanya damu kuwa nzito wani inakuwa na food substances nyingi so its better to take care when consuming cold water.
nini inakuwa na "food substances nyingi" maji ya baridi? Au damu? Maana kama ni damu hata ungekunywa maji ya baridi food substances ziko pale pale, au?

And how do you "better to take care when consuming cold water" una take care vipi unapokunywa maji baridi, unayachemsha kwanza, au?
 
....Wachina hawanywi maji ya baridi bali hunywa maji ya moto hata wengi waliohamia katika nchi za magharibi bado wanafuata utaratibu huu wa kunywa maji ya moto...lakini Mhhhhh!!! Imagine joto la Dar halafu mtu anakwambia usinywe maji ya baridi kupoza koo lako bali unywe ya moto...inahitaji moyo sana kunywa maji ya moto na ukinyimwa ya baridi unaweza kuanzisha varangati la mama nitazamie.

Hata hapa Dar nilikuwa naona Wachina wanakunywa maji ya moto at midday jua kali kama nini, wanatoka jasho lakini wapi bwana wana sip tu kutoka kwenye MUG bila wasi wasi, ila nilikuwa na washangaa walipo kuwa wanaweka vitu kama maua yaliyo kauka na wakati mwingine wanaweka greenTEA bila sukari! Wachina wana mambo ya ajabu sana, wakimaliza kula chakula cha mchana lazima walale kwanza for an hour or so, alafu wanapendelea kulalia mbao bila godoro wanaweka mkeka na shuka!
 
Back
Top Bottom