Hear what oprah winfrey had to say about men

Sidhani kama anaongelea yale mapungufu yanayoeleweka kama kusahau kupiga mswaki au kuchelewa nyumbani mara moja moja.Fikiria mtu asiyemwaminifu au anaekupiga kila anapojisikia...unamuEXCUSE kwa sababu na kwa kutumia vigezo vipi bila kujidharaulisha/kujipendekeza/kujidhaifisha usipotakiwa kufanya hivyo???Hapo ndo unasikia watu wanalia wanaonewa wanaonewa kumbe wanajionea wenyewe!!

LOL....Sorry the above in red imenifurahisha kweli.

Yote uloongea nakubali 100%. But enways matatizo watupayo akina baba ni mengi hivyo naomba nitolee mfano wangu - Kuna ndoa ambazo mwanume (hata mwanamke) ana majukumu makubwa kikazi mpaka kusababishia mda wake kua finyu saana. Ndio kweli anampenda mwenza wake na ni mwaminifu but 24/7 yuko busy wala una raha nae. Katika hili mwingine ataacha kumtolea excuses na kamua kutengana nae whereas mwingine atatafuta solution kama vile walau maybe wapate lunch mara 2/3 kwa week maeneo ya kazi n.k

Huo mfano above unaweza onekana si tatizo saana but kwa wanandoa walo affected wanaelewa consequences. Kurudi katika mfano wako naamini Oprah mtazamo wake kuhusu mwanamama kupigwa na mmeo ni mkali kuliko hata wewe Lizzy; umetumia msemo kua anaekupiga kila anapojisikia which means in one way unakubali kua mwenza anaweza aka ana kupiga mara moja moja na uka make excuses ila si anapojisikia....
 
Angetupa ushuhuda jinsi gani hizo theory zimework kwake kwanza. Ni sawa na Europeans,World Bank na IMF wanapotoa prescriptions za kufikirika kwa LDCs ambazo hazina matunda yoyote. Je hizo theory zimework kwake au kwa nani na katika mazingira gani. Maana mwanaume/mwanamke wa kizungu si sawa na wa kiafrika.

Ndo hapo yeye kwake ni rahisi kuongea lakini hajawahi kaa katika ndoa, sijui huyo bwana kwa saizi but siku zote amekua fiancee ambae sio mara zote wanaishi wote...
 
LOL....Sorry the above in red imenifurahisha kweli.

Yote uloongea nakubali 100%. But enways matatizo watupayo akina baba ni mengi hivyo naomba nitolee mfano wangu - Kuna ndoa ambazo mwanume (hata mwanamke) ana majukumu makubwa kikazi mpaka kusababishia mda wake kua finyu saana. Ndio kweli anampenda mwenza wake na ni mwaminifu but 24/7 yuko busy wala una raha nae. Katika hili mwingine ataacha kumtolea excuses na kamua kutengana nae whereas mwingine atatafuta solution kama vile walau maybe wapate lunch mara 2/3 kwa week maeneo ya kazi n.k

Huo mfano above unaweza onekana si tatizo saana but kwa wanandoa walo affected wanaelewa consequences. Kurudi katika mfano wako naamini Oprah mtazamo wake kuhusu mwanamama kupigwa na mmeo ni mkali kuliko hata wewe Lizzy; umetumia msemo kua anaekupiga kila anapojisikia which means in one way unakubali kua mwenza anaweza aka ana kupiga mara moja moja na uka make excuses ila si anapojisikia....
Mwenyewe nimefurahi nlivyorudia kusoma hehehe!!Nwy huo mfano uliotoa kweli unaweza kua na maana pia matokeo tofauti ikitegemea anayemkosa mwenzake anajua kwanini hawana muda mwingi pamoja na baada ya hapo kama ni mwelewa!!Uzuri wake ni kwamba mtu hafanyi kwa nia ya kukunyanyasa hivyo hata hamna haja ya kumuexcuse jamaa maana sababu ziko wazi!Ila mwanaume anaekunyanyasa au anaelala nje wiki nzima anakua anafanya kwa makusudi na hataki kuacha japo anaweza.....sasa mtu kama huyu kumexcuse kama sio kutokujitendea haki na kutojithamini ni nini??
 
Lizzy huyo akirudi baada ya week bila sababu za msingi kunigusa tena kazi ipo.... Siwezi mu excuse na moto utawaka.... One whole week hata kama siku tatu tu..... No sababu za msingi.....:car::car:
 
[/COLOR][/B]

Now we are talking...kuna vitu ambavyo ni inexcusable kwahiyo kua na mipaka ni muhimu!!
 
Oprah, Oprah no wonder you are not married; dragging your partner for all these years without a wedding ring nor a child....
Nothing is this black and white...
Thank you asha D, to me i think she doesnt know herself very well, yaani unakaa na jamaa kama petty dog, halafu kila wakati unatoka na girlfriend, no ndoa no nothing, all teh fun with the girlfriend.... AND SADLY, YOU END UP JUDGING MEN!!!

DAH!!!
 
nimeipenda....thanks Oprah...you made my day!
HAHAHAAAAAAAA SWAHIBA, Men are from Mars and Women are from Venus, Its a nicest book to read.. You dont need Oprah to help you figure it out
 
ngoja aseme mwewe?????????????????
He!!! aseme mwewe???

halafu hii signature hii, Mh!!!
No matter what happened ......................................!!!!!!!!!!!! !!!He is exceptional....................... Be Blessed.
 
she is lesbian

Le G' A gay person is a person who is sexually attracted to the same sex whereas a Lesbian is a woman who is sexually attracted to another woman. Both man and woman may be gay, but you can not call a man Lesbian.
 
Naona Oprah has endorsed what ordinary women think and expect from men. To be straightforward, if I were a woman and am in a relationship, I would think twice before I implement any of her ideas.

Why would you think your husband is so evil and share life with him in the first place?

Mwanaume awe hivi asiwe vile. Mwanaume amfanyie mwanamke hivi asimfanyie vile. Mwaume mwanaume hee. Kwa nini wanawake hawasemi wanavyonyanyasa waume zao? Who gave them right to mistreat men?

Hii haina maana naunga mkono wanaume wanaonyanyasa wanawake, but the focus should be on justice to both men and women as humans
 
Mwanaume, mwanaume,mwanaume sababu ndio chanzo cha matatizo yote kwenye uhusiano, na kwa sababu Opra ni mwanamke kawaongelea wanawake labda mwanaume mwingine nae kawaongelea wanaume
 
Hivi na kila mwanaume akifanya hivyo..
itakuwaje ..... ????????
maana wanaweza sana....
 
Hivi na kila mwanaume akifanya hivyo..
itakuwaje ..... ????????
maana wanaweza sana....

Come to think of it! I feel like wanawake wamefikia level ya chuki dhidi ya wanaume ambayo hata wale wanaotendewa vizuri na waume wao they don't appreciate. Kwa hiyo nothing will make them happy. Na hizi propaganda za wanawake waliopinda hawawezi kuishi na binadamu wengine zinaaminiwa bila kuhoji, as long as zinawaponda wanaume.

Mbona hata wanangu tunapishana lugha kidogo? Kwa theory ya Oprah basi tusizae kwa sababu watoto wanapobalehe wanapasua kichwa. Kwamba hii dunia wote tunatakiwa tuwe watakatifu, na utakatifu unakuwa defined na mwanamke
 
Una chuki na wanawake mbona au sababu ya .......... lol tumekustukia
 
Hapana mkuu, huwa nina chuki na overgeneralization. Ukichukua hiyo framework ya Oprah haiwezi apply kwenye ndoa nyingi sana. Labda kama tunataka tu kufurahisha baraza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom