Mkuu pole sana kwa maumivu hayo.
Ushauri wangu ni kwamba nenda kamwone daktari mara moja na omba ufanyiwe scan ya kichwa bila kuchelewa.
Hivi niandikapo kuna jamaa yangu amefariki dunia tarehe 4.07.2008 Reading - UK (Alex Masamba) tokana na tatizo kama hilo na sasa tuko mbioni kupeleka mwili Tanzania kwa mazishi.
Alianza kuumwa kichwa (mbele kulia) kwa muda wa wiki mbili zilizopita. Alikwenda kumwona doctor (GP) na kupewa pain killer ambazo zilikuwa zinatuliza maumivu kwa muda mfupi na hali inarudia tena. Tarehe 3.07.2008 usiku hali ilikuwa mbaya sana na tokana na maumivu hayo akapoteza fahamu.
Kupelekwa Hospital wakasema ni too late mshipa wa damu umepasuka na damu imetapakaa karibu sehemu kubwa ya ubongo na hivyo hakuna lolote litakaloweza kufanyika.
Kwa kuandika hivi sina maana kwamba yanaweza kukufika hayo, bali ni katika kukushauri ukimbilie hospital mara moja kwani hatujui nini kinakusumbua.