Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 988
Ni kweli kama huamini waje ZUKU waseme, Hiyo package imepungua baada ya kunyofolewa channel kadhaa. na pia walitudanganya wakati tunaingia eti kutakuwa na ITV hadi leo hawajasema kwanini hawakutupatia.....ni vizuri mteja unampa taarifa hata kama siyo nzuri kwakeUnataka kuniambia kile kifurushi cha elfu20 hua kinapungua channel list kila baada ya mda au unamaanisha nini kusema wananyofoa channel.