he!kumbe nafac za kazi nida,walisharipoti kazini!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
leo nimekutana na rafiki yangu mmoja,anasema yeye ameshapangiwa na mkoa wa kufanyia kazi!kwani walimpangia sehemu ambayo hataki!hivyo wamembadilishia,kwani yeye aliitwa tu kwani ana god father.kwani nafasi za kazi zilitangazwa kweli?kwani hata juzi kuna mdau alikuwa anaulizia humu.kaeni mkijua wa2 wameshaanza kazi.
 
:A S 39: Duh! kama huu ndo mfumo wa kuajiri watu makazini bora nianze hata kamtaji kakuuza nyanya maana kina kabwela kama mie with No godfaza:disapointed: kazi tutaishia kuziona tu humu ndani bila kuambulia chochote. :hatari::frusty:
 
leo nimekutana na rafiki yangu mmoja,anasema yeye ameshapangiwa na mkoa wa kufanyia kazi!kwani walimpangia sehemu ambayo hataki!hivyo wamembadilishia,kwani yeye aliitwa tu kwani ana god father.kwani nafasi za kazi zilitangazwa kweli?kwani hata juzi kuna mdau alikuwa anaulizia humu.kaeni mkijua wa2 wameshaanza kazi.

Hizo red hapo juu nimezikubali! Kwani wewe kaka hujui kuwa kazi wanapewa watu wenye address tuu siku hizi? Kwani mi nilishagundua mapema nikasema kwani nikifuga ngómbe wangu wawili wa maziwa kwani sitapata hela sawa na kuajiliwa? especially kama ajira zenyewe ni za kujuana ki-hivyo!
 
Back
Top Bottom