Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Julius Kambarge Nyerere, who was the first President of Tanzania and previously Tanganyika, from 1960 until his retirement in 1985

images.jpg

Zamana viongozi wa umma walikuwa wanajulika kwa maadili, unyenyekevu, kujali jamiii na uzalendo kwa taifa.

Tanzania ya leo ipo hvyo.

Neno moja kwa baba wa taifa.
 
View attachment 417662
Zamana viongozi wa umma walikuwa wanajulika kwa maadili, unyenyekevu, kujali jamiii na uzalendo kwa taifa.

Tanzania ya leo ipo hvyo.

Neno moja kwa baba wa taifa.

Zamani kulikuwa hakuna computer wala whats upp ndio maana ulikuwa hupati mabaya yao. Gazeti lilikuwepo ni , uhuru, Daily news, Sunday news na , Mzalendo na yote ni magazeti ya CCM . umekunywa sana pombe ya Nyerere na drug yake ndio umebaki kutwambia maneno haya , Nyerere Baba wa Taifa kama vile ndiye aliyekuzaa

Pole sana
 
Kama hupati picha kesho yako basi kamera ya fikra zako ina chenga
 
Hata uwe kiongozi mwema kiasi gani lazima watakusema vibaya tuu.
Pumzika kwa amani Nyerere, hao wanaokuchukia wataona matunda yako yakinawiri daima.
Wewe ulikua na akili na busara nyingi na wale waliokua wanapingana na wewe kwa kutofautiana na wewe pale ulipowanyima madaraka uliwatoa kwa njia moja ama nyingine ile wengi wa watanzania waishi kwa amani.
Hakika Mungu atakubariki mzee.
 
Kama hupati picha kesho yako basi kamera ya fikra zako ina chenga
Haina chenga ina michanga tuliyotiwa na Nyerere. Wewe umesomeshwa shuleni wakati sisi tumepanga foleni mpaka ya kununua viberiti. Ukikamatwa na colgate ya Kenya unaulizwa ulikoipata ,kule Mbeya watu wakibadilisha dhahabu kwa chumvi .Ni mengi lakini kokaini ya Nyerere imekuharibu huwezi kufahamu
 
Inaonyesha kabisa kua tumekata tamaakua hakuna atakayekuja kutokea kama yeye,so viongozi wetu na sisi wananchi tumekata tamaa kuwa hakuna atakaye kuja kutokea kama Mwalimu,
 
Sija

Sijajua kwanini una chuki na marehemu_baba wa taifa hili kiasi hiki mkuu.
 
Inaonyesha kabisa kua tumekata tamaakua hakuna atakayekuja kutokea kama yeye,so viongozi wetu na sisi wananchi tumekata tamaa kuwa hakuna atakaye kuja kutokea kama Mwalimu,
Ikiwa bado kuna michango ya mafuta ya mwenge na watu kupoteza working hours zao kufukuzana na mwenge , maisha hali itakuwa ni kukata tamaa
 
I respect you dad

Kweli nyerere alikuwa shetani, mpaka yuko kaburini bado mngali mnachangia mafuta ya mwenge wake ,mnakecha usiku kwa ngoma na asubuhi haooo mnakimbizana nao mitaani. Sikio la kufa halina dawaaa
 
Back
Top Bottom