Haya xaxa soma hiii ujue kiricho jili valentine.

Jan 2, 2012
33
0
Katika mizunguko nimeckia watu wakilaumiana na wapenzi wao kuwa kwanini umechelewa c ungewahi mapema,mwenzake nae akajibu nawe c ungechukuwa mapema, Nikaanza upelelezi nikagundua kumbe ni GEST eti zimejaaa, e wajameni mmeisoma hiyo??
 
xaxa maana yake ndo nini?.... naomba usilete mambo ya face book huku jf sawa.
nitarudi........
 
nilikuwa nataka kuisepa post yako nkakuonea huruma kuisoma tu nkakutana na " mmeixoma" hebu jaribu kutumia maneno kama great thinker ya fc bk yaache huko huko.
samahan kama nimekuuzi by the way watanzani ndivyo tulivyo tunaulimbukeni sana hiyo si maana ya valentine day..
 
And the good news is that condoms conducts 'viralworms' so keep on dipping deep not low
 
fc bk ndio nini na wewe eeh
nilikuwa nataka kuisepa post yako nkakuonea huruma kuisoma tu nkakutana na " mmeixoma" hebu jaribu kutumia maneno kama great thinker ya fc bk yaache huko huko.
samahan kama nimekuuzi by the way watanzani ndivyo tulivyo tunaulimbukeni sana hiyo si maana ya valentine day..
 
nimeudhika sana na lugha uliotumia.tumia lugha sanifu utaheshimika na mada yako itasomwa na wengi
hili jukwaa lina watu wazima
xaxa= unataka kutuambia hujui maneno sahihi?
kiricho jili= ni kama vile mataputapu
ndugu yangu heshimu lugha yetu adhimu ya taifa.
 
Hii cku haikuwepo wandugu na mathematician wameiprove mathematically cheki hii,
14-2-12=0 so this year there was no valentine day.
 
Valentine ya mwaka huu ni feki kwa mjibu wa wanamahesabu
i.e 14-02-12=0
kwahiyo inabidi irudiwe tar 28 Feb
i.e 28-02-12=14.
KWAHIYO KAMA UMESHEREHEKEA NI HASARA JIPANGE.........
 
Hawa wanaotumia 'X' badala ya 'S' sijui wanatufundisha nini, muda si mrefu wataanza kutumi 't' badala ya 'f'. Kwny kamusi ya kiswahili sanifu hakuna alfabeti X jamani.
 
Hawa wanaotumia 'X' badala ya 'S' sijui wanatufundisha nini, muda si mrefu wataanza kutumi 't' badala ya 'f'. Kwny kamusi ya kiswahili sanifu hakuna alfabeti X jamani.

ni kweli mkuu. Hivi neno ''kwny'' nalo lipo kwenye kamusi?? Nilikuwa sijui.
 
Mtoa mada nakuonea huruma. Hujui kiswahili na pasi shaka hata kiingereza kinakupa tabu. Nini maana ya kirichojili, xaxa, umexoma? Pole sana. Huwezi kazi ofisi yoyote manake wewe ni mvivu wa kufikiri na pia mzembe wa hata kuandika ujumbe rahisi tu. Sijaona mtu makini hata siku moja akaandika hivi. Kila la heri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom