Haya wadada fasheni nyingine hiyo ya tight jeans

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Hapo sasa

fasheni.jpg
 
kwani wadada tu ndo tunaiga fasheni...............

hata nyie humo humo tu........fulu kuiga!!!!
 
Lakini ninzuri hakuna kubagain kitu usichokiona kwa sasa unona kama inalipa mnaondoka!!
 
Ikitokea umevaa kivazi cha namna hiyo, ni dalili tosha kuwa unahitaji kuombewa rehema za Bwana :A S-eek:
 
mh hicho kivazi ni noma!!!! rate ya bubakaji nitakuwa ni balaaaaaaaaaaaa, japo personally nahisi ingekuwa ni hatari zaidi if hicho ki underpant kingekuwa cheupe
si mnajua tena white ilivyo sexually appealing?
 
hivi ile ni underpant au ni hiyo fashion ya kajinsi!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom