Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,314
- 33,108
Mbona hakuna kitu hapo. We hilo paa tu ndio limekuzingua. mi sijapenda kabisa, utadhani bucha la nyama!!!.
@Superman Ramani yake bonyeza hapa uchaguwe nyumba unayoitaka House PlansMM naomba ramani mkuu. Faster . . . .
@King'asti kwa ndani ina kila kitu hiyo...Mbona haina hata garden wala swimming pool? Kiwanja chako kiko magomeni?
@mama D wewe umemjuaje dada yangu mwamvita yupo mjini Zanzibar ahhh wewe kumbe ni mchunguzi sana?Mzizi mkavu hongera,,,,,,,
kumbe wewe ni dada yake mwamvita....!!
Nina kiwanja changu vijibweni nataka kujenga nyumba kama hiyo Mnasemaje? wabongo? itakuwa na thamani ya dola laki 5.
Mkuu@Lole Gwakisa Ni Kweli nyumba ni ndogo lakini kwa upande wangu inatosha ina vyumba 4, chumba cha varanda na choo,bafu na jiko kwangu mimi na mke wangu na watoto zetu 2 si inatosha Mkuu? Nyumba zenye vyumbaMkuu nyumbani ni nzuri kwa wastani.
Tatizo tu ni nyumba ndogo sana, haiwezi kuwa na zaidi ya vyumba viwili.
Ratio ya built-up area/plot ni kubwa sana, kiwanja kidogo, hivyo kupunguza thamani ya jengo.
Hata hivyo finishes ni ok ingawaje slightly overdone.
Hivyo basi thamani ya jingo hilo ikizidi dola laki Tatu nitashangaa,to be conservative pengine two fifty.
Mkuu@Janjaweed hapo nilipo weka Red una maana gani mkuu Janjaweed? Umeipenda nyumba yangunyumba hiyo kwa vijibweni hata $150,000 kazi kidogo... sikuhizi china iko mwake
btw the design and everything iko simple sana
good colors though