Haya wa Darslam Nipokeeni Ubungo

Dar yako! We mwenyewe umepelekwa na mjomba siye tumekaa kimya, ulikuja mshambaa sa hivi unajitia (with a change of voice) 'overpopulation'.

umetisha mangi...dadaangu angekubania na pua kabisa ili sauti ibadilike vizuri...
 
Mkuu karibu tushirikiane maumivu. vyakula bei juu, foleni kila barabara, maji tabu, umeme shida na kupata huduma ya Umma hadi rushwa. karibu sana. kama vipi natkusubilia pale yenu bar, ukivuka mataa ya Ubungo nambie.
 
Pamoja sana. . .
 
Back
Top Bottom