Haya tena Mwanangu huyo Namfundisha Kuendesha Gari Mnasemaje?

photo0006_001.jpg

Jumamosi sikusogea mitaa ya jangwani,nilikuwa nafuatilia kwenye luninga itv,mtoto wangu akaja na kunikuta nime concentrate naye akatulia,kamanda mbowe aliposema peopleesss dogo naye akadakia peopleeess(anajivunza kuongea hivyo huiga karibu kila analosikia).Akifika miaka 6 tu namkamatisha kadi ya chama kabisa sitaki mdhaha
 
View attachment 54785

Kaka umetisha! Husisahau kumnunulia na magwanda kama seti 6, na skafu kama mbili hivi baada ya hapo utakuwa tayari umetengeneza Mbowe kama 20 hivi, Slaa 50, Lisu 40 na Lema kadhaa hapo na ukombozi utakuwa wa kiwango cha kutisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom