Haya TanzaniteOne sasa Richland Resources!

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Baada ya kumchomoa Ami Mpungwehttp://www.miningweekly.com/article/tanzaniteone-appoints-new-fd-chairperson-2011-06-27 kwenye u-Executive CEO sasa kampuni yetu ya Tanzanite kubadili jina:

JOHANNESBURG (miningweekly.com) − Aim-listed gemstone miner TanzaniteOne said on Thursday that it planned to change the company’s name to Richland Resources.

The proposed name change would be decided on at TanzaniteOne’s yearly general meeting on August 1 in Bermuda.
The company mines a finite tanzanite resource at the foothills of Mount Kilimanjaro in northern Tanzania and is constantly investigating opportunity for further expansion into a broader range of coloured gemstones at different key sites around the world. It recently secured an option to buy a sapphire project in Australia.
 
duh! inamaana jina la tanzanite ndo linapotea kabisa??

Labda wanataka kuondokana na harufu ya utanzania,

Wameanza kwa kumuondoa Ami Mpungwe kwenye u-CEO wakaona hiyo haitoshi wakaamua kubadili na jina.

Nadhani kama si kwamba tanzanite inaelekea kuisha basi kutakuwa na agenda ya siri(kukimbia kulipa kodi) maana hizi ndizo mbinu zao hawa makaburu.
 
RichLand huh??!!

It's true what they say, isn't it - the proof of the pudding is in eating!! Da bastodos must have acquired an unimaginable worthy while paying peanuts to our coffers. Now slyly coming up with the re-branding grand gesture... What a snub to a name that least tried to acknowledge the origin of the gemstone. How dare!! Can the government intervene by putting an injunction... is it possible?!
 
Mi nadhani watz tumelaaniwa,wanabadilisha jina ili wakwepe kodi..tax holiday ni miaka 5 ikiisha wanabadili tena,ndo mchezo wa wafanya biashara,..lini tutapata viongozi wenye uchungu na rasilimali za nchi hiii...my God.
 
In the first place, Tanzanite tulitakiwa kuchimba wenyewe. Sisi ni ovyo....nami nimo eeh?
 
RichLand huh??!!

It's true what they say, isn't it - the proof of the pudding is in eating!! Da bastodos must have acquired an unimaginable worthy while paying peanuts to our coffers. Now slyly coming up with the re-branding grand gesture... What a snub to a name that least tried to acknowledge the origin of the gemstone. How dare!! Can the government intervene by putting an injunction... is it possible?!

I don't think so mkuu!
 
vito vyetu adimu tunawaachia makaburu wachimbe na watulipe kodi...tumelaaniwa.
 
ukifikiria wizi unaofanywa na viongoz wetu wachekelea utatambua kuwa tumerogwa jaman si bure
 
Hivi ni kiasi gani ambacho wanapewa kiasi cha kuwasaliti wa tz wajamen? halafu utajiri walionao hawajalizika waanze kulitajirisha taifa sasa watambue kuwa hawazikwa nazo
 
Hatujalogwa, tunajitakia tu!
Tukiingia mtaani unafikiri watatufanyia huu upuuzi tenda!! F em' gud in tha streets and they will turn it our side when we speak. Iw tired of this Amani and ustaarabu bullshit!

Tumezidi kuwa mafisi!
 
dah kwel Bigirita wa2 ni 2mezd ufisi tena ufsi maji,mi niko arusha lkn con nachofaid na ilo jwe lnalnpatka tz 2 ama uko manyara enyewe wa2 ni maskin laana na bado hawachukui ha2a,cjui faida ya ngorongoro,serenget nk kwa mtz wakawaida.INAKERA na maviongoz kama hawa na kuish kati ya mam2 maoga ka wabonga
 
Labda wanataka kuondokana na harufu ya utanzania,

Wameanza kwa kumuondoa Ami Mpungwe kwenye u-CEO wakaona hiyo haitoshi wakaamua kubadili na jina.

Nadhani kama si kwamba tanzanite inaelekea kuisha basi kutakuwa na agenda ya siri(kukimbia kulipa kodi) maana hizi ndizo mbinu zao hawa makaburu.
Huyu nadhani hana tija tena kwao. Alikuwa pale akiwakilisha interests za mkubwa wake fulani zilizomlazimu aombe kuachia ngazi kazi ya ubalozi kule kwa Madiba ili eti awe mfanya biashara!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom