haya sio mandamano ni msafara

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
DSC_8714.jpg

msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa Lushoto. mia
 
Tanzania siyo kisiwa jamani,hata Kagame anatembelea msafara wa kanaani
 
Sasa ndio naamini kabisa beyond any reasonable doubt kuwa bwa.figa ni kibopa fulani na kazi yake inainvolve kusafiri sana nchini..
 
Wanaochangia bajeti wakiona haya matumizi,hakuna la ziada zaidi ya fimbo za tumbo.



Mkuu, hao wanaochangia bajeti ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo. Sidhani kama wana nia ya kweli ya kusaidia sisi kuondokana na umasikini. Nafikiri wanapenda sana sisi tuendelee kuwa masikini ili wao watumie mwanya huo kuendeleza interest zao hapa kwetu, ikiwepo kukwapua rasilimali zetu......... kwa kisingizio kwamba wanatusaidia. Kitendo cha kuendelea kutoa misaada kinawafanya watendaji wa serikalini kubweteka sana. Hai ingii akilini kwamba mawaziri na marais wa nchi wahisani wanatumia daraja la kawaida- economy class ( kwenye ndege) wakati wa safari zao, halafu hawa omba omba kutoka kwetu wanasafiria daraja la kwanza! Badala ya kupigia kelele vitu kama hivyo, wao wanakuja na mambo ya haki za mashoga, haki za wanyama n.k! Wanafahamu fika jinsi pesa yao invyotumiwa kugaramia posho, magari ya kifahari na mauza uza mengine kama hayo. Wanazo details mpaka senti ya mwisho, lakini hawachukui hatua.
 
DSC_8714.jpg

msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa Lushoto. mia
Waache watanue mara ya mwisho maana 2015 wananchi watachukua nchi yao na kupata Uhuru. Ama kweli CCM ya sasa ni aheri ya Mkoloni.
 
Back
Top Bottom