Haya ni muhimu katika maandalizi ya mchakato wa katiba mpya

IslamTZ

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
309
182
ILI MCHAKATO WA UUNDAJI WA KATIBA UENDE, JE HAMUONI IPO HAJA YA:

1. ELIMU KUSAMBAZWA JUU YA MAANA YA KATIBA, KAZI YA KATIBA NA MAMBO MUHIMU YA KINCHI AMBAYO KATIBA INATAKIWA KU-REFLECT?

2. KUELIMISHA WATU JUU YA MCHAKATO WA UUNDWAJI WA KATIBA NA MISINGI YA UUNDWAJI WA KATIBA (km Ushirikishwaji), NAMNA MBALIMBALI ZA NAMNA ZOEZI LINAVYOWEZA KUENDESHWA KWA KU-REFER KATIKA EXPERIENCES ZA NCHI NYINGINE.

3. KUHAMASISHA USOMAJI WA KATIBA YA ZAMANI ILI WAKATI WA KUJADILI KATIBA MPYA WATU WAWE WAWE INFORMED JUU YA KATIBA YA ZAMANI NA MAPUNGUFU WAYAONAYO?

ZOEZI HILI LA UELIMISHAJI NA UHAMASISHAJI LIFANYWE KWA PAMOJA NA WADAU WOTE IKIWEMO SERIKALI, NGOs, CBOs NK.
 
Back
Top Bottom