Haya ni mazungumzo ya watanzania ndani ya daladala leo asubuhi!

Mazungumzo haya ya kuonyeshwa kukatishwa tamaa na Serikali iliyoko madarakani hayakuanza leo,
Toka kabla hata ua uchaguzi na bado matokeo ya uchaguzi tumeyaona,
Sijui tunakosea wapi Tanzania, something went wrong but hatujui ni nini hiyo?
...Magamba walituchakachua Mazee vinginevyo walishachapwa Technical knock out!!!
 
Walichagua wenyeweeee na wanaumizwa wenyeweee kwa ukilaza wao asilimia kubwa ya wapiga kura ni watu wa kawaida sana wasiokuwa na akili ya kufanya maamuzi sahihi wenye uwezo huo ni wachache na hawana muda wa kupiga kura juzi nlikuwa naongea na jamaa yangu nikamuuliza ulipiga kura mwaka jana akanijibu kuwa hana muda mchafu wa kupoteza ye alikuwa bize kutengeneza hela tu siku hiyo sasa watu kama hawa ndo waelewa halafu kura hawapigi halali yao kuumizwa!!!!!
<br />
<br />

huyo ndiye mjinga kwa sababu hajui umuhimu wa kura yake! Ana uelewa gani huyo?
 
Watu wana machungu sana na nchi yao.&amp;lt;br&amp;gt;Tatizo akina mama ndo wanatuangusha ukifika uchaguzi ndo wa kwanza kupokea ugua pole kama khanga, t shirt, kofia na zile buku 2000-5000 alafu utasikia huyo huyo apite mwisho wa siku wao ndo wanateseka kwa kurubuniwa na wanasihasa.

Mkuu sio akina mama tu! Wakazi wengi wa dsm ni wanafiki na wasaliti. Wao ndio walalamikaji wakubwa wa ugumu wa maisha. Kwenye daladala, magazeti, tv, redio nk. Lakini ikifikia kupiga kura utadhani wamelogwa! Eti kati ya majibo 8, ni mawili tu ndiyo upinzani wakati huko ndio makao makuu ya Tanganyika na ndio wahanga wakubwa wa mdhila ya serikali hii.
 
Moto mkubwa unatusbiri siku ya kiama,
Tunaona baya lakin tunashindwa kuliondoa wakati uwezo tunao,
Tunabaki kuongelea na kunung'unika wakati mungu ametupa options hizo za kuongea na kunung'unika kama last options baada ya option ya kuliondoa wenyewe kushindikana.
Sisi tumegeuza last options ndio kua 1st option.
Kweli tutubu na tuombe kwa dhambi hii.
Kwa kila atakakuja kunung'unika miaka ijayo, lazima roho zitatusuta sisi tulioko leo.
Tunung'unikao ni wengi kuliko tunaowanung'unikia, tunawashindwa nini??!!
Nguvu ya uma ni nguvu ishindayo nguvu yoyote katika mamlaka ya kidunia, lakini kwanini hatutaki kuitumia?
Nina hakika wengi wetu humu jamvini ni vijana wenye akili na nguvu zetu tu, tunazitumiaje??
Hakika tutakuja kuulizwa mbele ya haki tuliopewa nguvu na tulizitumiaje kuondoa uovu.
 
Mnaandika mazur mengi ndan ya forum hii,lakn je ni watu wangapi wanatoka na kwenda kuwaelimisha wananch juu ya mustakabal wa taifa lao!? Jaman elimu lazima iwafikie watu na hasa vijana kila pembe ya nch hii, ili cdm kuchukua hatamu! Naguswa sana na baadh ya michango yenu humu,lakn wanaosoma hapa wachache mno. Mimi nimejiwekea malengo ya kuhakikisha kila mwez naelimisha wapya 3minimum, lakn wakat mwingin inakuwa factorial yaan 3!. Jaman watu wengine wanahis bado ugumu wa maisha unasabbishwa na njaa/vita kama enz za nyerere. Kumbe ni serikal ya chukua chako mapema! Ndugu weka malengo sasa, tugawane mikoa, tanga,dsm,pwan, mtwara,lindi, ruvuma, moro tuwapeleke elimu!
 
ni kweli watu tumechoka sana tu kila kitu kimepanda bei sijui mwisho wa siku itakuwaje ila mm nahisi wenda kikwete sio raia wa tanzania haiwezekani mambo yanakwenda ovyo alafu rais amekaa kimya kaa vile hayupo kabisa anataka nn ?
 
washachoka?

Nimepanda daladala saa moja kamili asubuhi hadi nafika saa mbili na robo mazungumzo yalkua yanahusu

1.Kutumika helkopta katika kukarabati njia za umeme.

2.Raisi wa mambo ya nje

KuhusuKutumika helkopta katika kukarabati njia za umeme. wananchi walichangia kama ifuatavyo......

  • Kwanini vijana wa kitanzania wenye ujuzi wakisaidiana na wasio na ujuzi (vibarua) wasitumike kufanya hiyo kazi.
  • Mafisadi wameamua kutumia njia ya helikopta ili waweze kujilipa mamilioni.
  • Serikali imekufa hakuna serikali wala viongozi wa serikali tanzania
  • Hiyo ni janja ya nyani sawa na walivyoamua kuibana ewura kwa maslahi ya biashara zao za mafuta maana hamna hohehahe mwenye biashara kubwa kama ya mafuta
  • Mwingine akasema inawezekana kuna mtu mkubwa serikalini anatakuuza mafuta ya ndege kwa wingi ndio katengeneza huo mchakato
  • Na mwingine akasema hata umeme kukosekana ni deal maana wameingiza makontena ya majenereta ya uwezo tofauti yako bandarini sasa wanakata umeme ili waweze kuuza jenereta zao.

Kuhusu Rais wa Tanzania......Hoja ilkua kubwa na watu walkua na hasira katika kuliongelea hili wakitumia lugha kali zilizoashiria hasira zao
  • mchangiaji aliekua na hasira sana alisema kwa sauti kubwaaa..... HAKUNA RAISI WA TANZANIA ILA YUPO RAIS WA MAMBO YA NJE YA TANZANIA.............
****NIKAWA NIMEFIKA NILIKOKUA NAENDA NA KUACHA MJADALA UKIENDELEA.****

Sijui kama serikali inatambua kuwa imekalia kuti kavu......tena linalowaka moto jangwani.

Ila nimegundua elimu ya uraia imefanikiwa kwa kiasi kikubwa.......inapendeza kuona watanzania wanajadili mambo ya msingi yanayohusu nchi na maisha yao kila wanapokutana na kuwa na muda ..... hata ndani ya vyombo vya usafiri.
 
Mnaandika mazur mengi ndan ya forum hii,lakn je ni watu wangapi wanatoka na kwenda kuwaelimisha wananch juu ya mustakabal wa taifa lao!? Jaman elimu lazima iwafikie watu na hasa vijana kila pembe ya nch hii, ili cdm kuchukua hatamu! Naguswa sana na baadh ya michango yenu humu,lakn wanaosoma hapa wachache mno. Mimi nimejiwekea malengo ya kuhakikisha kila mwez naelimisha wapya 3minimum, lakn wakat mwingin inakuwa factorial yaan 3!. Jaman watu wengine wanahis bado ugumu wa maisha unasabbishwa na njaa/vita kama enz za nyerere. Kumbe ni serikal ya chukua chako mapema! Ndugu weka malengo sasa, tugawane mikoa, tanga,dsm,pwan, mtwara,lindi, ruvuma, moro tuwapeleke elimu!

Naakuunga mkona ndugu yangu mimi najitahisi kutoa elimu kila mahali ninapokwenda kwenye vikundi vyetu vya kinamama, saloon, garage kwa mafundi wa kutengeneza magari. yaani mahali ninapokuta kuna watu na nina shughuli nao lazima somo litatoka. Na sasa hivi ni tofauti na August last year, waliokuwa wanawaponda upinzani hasa CDM wengi wao wameshaanza kubadilika na kutaka uongozi mwingine.

Jana kuna mziba puncture mmoja nilikuwa naongea naye ameonyesha kukerwa sana na matatizo yanayoendelea kwenye nchi hii. Ni matumaini yangu kwamba wakati wa kupiga kura utakapofika watafanya kweli.
 
Mazungumzo haya ya kuonyeshwa kukatishwa tamaa na Serikali iliyoko madarakani hayakuanza leo,
Toka kabla hata ua uchaguzi na bado matokeo ya uchaguzi tumeyaona,
Sijui tunakosea wapi Tanzania, something went wrong but hatujui ni nini hiyo?

Tunapokosea ni kupiga kura na kuondoka, hiyo ni dhambi moja kubwa sana.

Pili ni kutohakikisha daftari la wapiga kura linapatikana mapema na watu wanajua sehemu zao za kupigia kura mapema.

Tatu ni signature yangu, tunadhani kipindi cha uchaguzi ndo wakati wa kutatua matatizo yetu, ndo maana utakuta wazee wengine wanajenga haraka haraka kipindi hicho.

Nne, bado tunapata angalau kamlo kamoja kwa siku, hiyo inatufanya tuamini kuwa hali ngumu ya maisha tuliyonayo ni mipango ya mungu hivyo ipo siku tutashiba, tutapata zaidi nk.

Tano, kuna idadi kubwa sana ya watanzania ambao wanaishi mazingira magumu, wanaelimu finyu na wakitishwa kidogo basi wanaogopa ka nini, kwa hiyo kizazi hiki hadi kielewe haki zao ndo tutaweza kutoa sauti moja yenye nguvu na kuweza kubadili hali iliyopo.
 
wewe mama d vipi?

mimi hapo nidsingeshuka mpaka mwisho wa basi..
halafu ningapanda la kurudi..
Mkuu usafiri wa asubuhi ulivyo na mbilinge kuupata unafikiri ungepata wazo la kwenda nao mpaka mwisho urudi nao? yawezekana jamaa alikuwa kasimama kutoka mbagala mpaka mikocheni, halafu aendelee tu mpaka Kawe then ndio arudi nalo tena mpaka mikocheni!!! huo kweli ungekuwa uzalendo
 
Hii nchi kila mtu amechoka na hii serikali, amini nakwambia hata watoto wadogo wanamuongelea vibaya rais wetu wa mambo ya nje
 
Mazungumzo haya ya kuonyeshwa kukatishwa tamaa na Serikali iliyoko madarakani hayakuanza leo,
Toka kabla hata ua uchaguzi na bado matokeo ya uchaguzi tumeyaona,
Sijui tunakosea wapi Tanzania, something went wrong but hatujui ni nini hiyo?

Hivi hujui kama waliiba kura za viongozi tuliowataka? Kwa nini walisitisha zoezi la kutangaza matokeo ta kura za urais toka majimboni wakati utaratibu ndivyo unavyotaka? Walivyoona jahazi linazama wakaamua kutulazimisha kwa mamlaka yao. Hawa wameyabaka madaraka hawakupewa.
 
Nimepanda daladala saa moja kamili asubuhi hadi nafika saa mbili na robo mazungumzo yalkua yanahusu

1.Kutumika helkopta katika kukarabati njia za umeme.

2.Raisi wa mambo ya nje

KuhusuKutumika helkopta katika kukarabati njia za umeme. wananchi walichangia kama ifuatavyo......

  • Kwanini vijana wa kitanzania wenye ujuzi wakisaidiana na wasio na ujuzi (vibarua) wasitumike kufanya hiyo kazi.
  • Mafisadi wameamua kutumia njia ya helikopta ili waweze kujilipa mamilioni.
  • Serikali imekufa hakuna serikali wala viongozi wa serikali tanzania
  • Hiyo ni janja ya nyani sawa na walivyoamua kuibana ewura kwa maslahi ya biashara zao za mafuta maana hamna hohehahe mwenye biashara kubwa kama ya mafuta
  • Mwingine akasema inawezekana kuna mtu mkubwa serikalini anatakuuza mafuta ya ndege kwa wingi ndio katengeneza huo mchakato
  • Na mwingine akasema hata umeme kukosekana ni deal maana wameingiza makontena ya majenereta ya uwezo tofauti yako bandarini sasa wanakata umeme ili waweze kuuza jenereta zao.

Kuhusu Rais wa Tanzania......Hoja ilkua kubwa na watu walkua na hasira katika kuliongelea hili wakitumia lugha kali zilizoashiria hasira zao
  • mchangiaji aliekua na hasira sana alisema kwa sauti kubwaaa..... HAKUNA RAISI WA TANZANIA ILA YUPO RAIS WA MAMBO YA NJE YA TANZANIA.............
****NIKAWA NIMEFIKA NILIKOKUA NAENDA NA KUACHA MJADALA UKIENDELEA.****

Sijui kama serikali inatambua kuwa imekalia kuti kavu......tena linalowaka moto jangwani.

Ila nimegundua elimu ya uraia imefanikiwa kwa kiasi kikubwa.......inapendeza kuona watanzania wanajadili mambo ya msingi yanayohusu nchi na maisha yao kila wanapokutana na kuwa na muda ..... hata ndani ya vyombo vya usafiri.

Nafikiri leo hoja ingeongezeka ..Ya kudhulumiwa ...mchakato wa katiba mpya!!
 
Ukiona mtanzania pamoja na uvumilivu wake wote kashindwa ujue hali ni mbaya na sijui tunakoelekea itakuwa je
 
Back
Top Bottom