Haya ni mapenzi au ni huruma tu?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Eti wakuu,umemfukuzia gal tangu 2008,anakuja kukubali mwaka 2012,haya ni mapenz au ni huruma tu jaman?
 
Umemfukuzia??lol anyway umeshampata na ndo ilikua lengo lako sasa unalalamika nini tena?
 
Eti wakuu,umemfukuzia gal tangu 2008,anakuja kukubali mwaka 2012,haya ni mapenz au ni huruma tu jaman?

YAFUATAYO YANAWEZEKANA:
1. Aliokuwa anawapenda wameshaoa, so kaamua liwalo na liwe coz anaona umri unakwenda.
2. Sasa hivi mfuko wako unasoma vizuri. Kwahiyo yale mambo ya "Bayb ninashida na laki mbili, I love you" ndio mahala pake.
3. Amekuonea huruma baada ya kuona umepigana kwa muda mrefu.
4. Hatimaye ameanza kukupenda maana hilo pia linawezekana.
5. ... (Bado natafuta mengine)
 
Kwenye RED nimekubaliana na wewe asilimia mia moja.(100%)
 
Eti wakuu,umemfukuzia gal tangu 2008,anakuja kukubali mwaka 2012,haya ni mapenz au ni huruma tu jaman?

amechoka kufukuziwa hivyo anajaribu kukupenda ila kuna uwezekano mkubwa atashindwa maana saa zingine mapenzi sio kujifunza achilia mbali kujaribu
 
YAFUATAYO YANAWEZEKANA:
1. Aliokuwa anawapenda wameshaoa, so kaamua liwalo na liwe coz anaona umri unakwenda.
2. Sasa hivi mfuko wako unasoma vizuri. Kwahiyo yale mambo ya "Bayb ninashida na laki mbili, I love you" ndio mahala pake.
3. Amekuonea huruma baada ya kuona umepigana kwa muda mrefu.
4. Hatimaye ameanza kukupenda maana hilo pia linawezekana.
5. ... (Bado natafuta mengine)

Hahahahah! piga chini, waliokuwa wanampagaisha wametimua wamekuachia makombo wewe ule. Sasa soma alama za nyakati, ule utimue au uweke makao rasmi.
 
YAFUATAYO YANAWEZEKANA:
1. Aliokuwa anawapenda wameshaoa, so kaamua liwalo na liwe coz anaona umri unakwenda.
2. Sasa hivi mfuko wako unasoma vizuri. Kwahiyo yale mambo ya "Bayb ninashida na laki mbili, I love you" ndio mahala pake.
3. Amekuonea huruma baada ya kuona umepigana kwa muda mrefu.
4. Hatimaye ameanza kukupenda maana hilo pia linawezekana.
5. ... (Bado natafuta mengine)

Ni huruma tu, au kuna badiliko ambalo limemvutia lakini hakuna mapenzi hapo.
 
Eti wakuu,umemfukuzia gal tangu 2008,anakuja kukubali mwaka 2012,haya ni mapenz au ni huruma tu jaman?

inategemea ila watu wana mbinu sana ndugu yangu.mwombe Mungu akusaidie.pengine kazunguka kote kumemshinda na umri unasogea akaona vile unamfuatilia bado bora akukubalie
 
Huyo gal pia anweza kuwa mviziaji akukamue the anasepa and may be aliyempenda yuko mbalia ila hawajatemana.
 
Ameachana na boyfriend wake amekosa mwingine anayempenda akaamua potelea mbali awe na wewe akimpata anayemtaka anakupiga chini trust me on this.
 
Back
Top Bottom