Haya ni mapenzi au huruma?

natu

Member
Oct 4, 2011
25
6
Hodi humu ndani
mie sio mwenyeji sana, ni mgeni kiasi
Nimekuja na shida yangu tafadhali naomba msaada wenu
Mie ni dada wa makamo, niko nje ya nchi kwa masomo.Tangu nifike hapa nimekuwa mtu wa kujiepusha sana na mambo ya mapenzi na kujitahidi kujikita zaidi kwenye masomo nisije nikakosa degree yangu na kurudi bongo kwa aibu au nikaamua kubaki huku kwa kukwepa aibu ya kushindwa.Namshukuru Mungu nimeweza kuruka viunzi vingi vya mapenzi.Well, tatizo limekuja siku za karibuni kukutana na kaka mmoja anayetokea moja ya nchi zilizo kusini mwa Afrika.mwanzoni alipoanza kunifuatilia kimapenzi nilisikia kichekesho kwa sababu kaka huyu macho kumchuzi,(makengeza) kwa hiyo nilikuwa nasikia kucheka kila mara anaposisitizia azma yake ya kuwa na mie.Cha ajabu jinsi siku zinavyokwenda naanza kumwonea huruma(sina hakika kama ni huruma au ni mapenzi)natamani kumwona mara kwa mara. asiponitakia goodnite najisikia vibaya.Akikaa siku nzima bila kunipigia nasononeka. In short mie nisipoona yale macho basi hujisikia vibaya mwenzenu na kila nikimuona kamoyom kangu kananidunda lakini najipa moyo kwamba ninachojihisi ni huruma sio mapenzi.sasa wadau ninawezaje kujua hasa nini kilicho moyoni mwangu.Weekend hii kaniofa twende movie lakini nasita mana sina uhakika na feelings zangu mwenyewe.ushauri tafadhali kabla sijachemka dada yenu.
 
Halafu makengeza kwenye kitanda....yanageuka

'bedroom eyes' lol
duuh ... this is bedtime story!!!
kwani jamaa ana makengeza machoni tu au hata between two legz!? moyo wake je nao una makengeza? usisahau usemi ukipenda hata chongo huona ni kengeza tu! huyo keshakuingia moyoni sikiliza moyo wako soon hutaona hata hayo makengeza, sie wa pembeni ndio tutaanza kuyaona wewe utaonayuko sawa tu, al the best sis
 
Wewe tii moyo wako na hisia zako. Katika mapenzi hakuna kuoneana huruma na mapenzi ni mabaya sana kama utaamua kuyaunganisha na huruma. Sijui utwaonea wangapi huruma? ANGALIZO; Usipokuwa makini na kuanza kujihusisha na mambo ya mapenzi kwa HURUMA, si ajabu hata kile ulichofuata huko-Elimu ukashindwa kukipata. Pia kwa umri wako na malengo yako ningekushauri japo utafute mtu ambaye atakuwa serious nawe. Nakutakia kila la kheri na Mungu akuepushe na uzinzi na badala yake uzingatie elimu na ni imani yangu Mungu atakupa mme mzuri kwa wakati husika. Pia uwe makini sana na OFA, kwani THERE IS NO FREE LUNCH IN THE WORLD.
 
Usikubali kupoteza dhamira yako. Soma acha ujinga. Tatizo mitoto ya kike ndo maana walikuwa hawaisomeshi hapo awali. Mtoto kike chuoni anatakiwa aondoke na degree mbili; moja academic na mb.o.o
 
Huruma nadhani ni tunda mojawapo la upendo. Ngoja Ruta atakuja na kifungu. Why nt take it easy uone inakuaje? Leo kakupa ofa ya movie j2 mtoe dinner like a good friend.
 
Unaudanganya moyo wako, ushanaswa wewe.
Ogopa sana mwanaume unayemdharau hawezi kukupata afu ukaruhusu ukaribu naye.
Mmh, utajikuta wamlilia kwa hiari yako.

Just go with the flow, dont hold it.
Hizo feelings hazitokei kila siku.
 
Usikubali kupoteza dhamira yako. Soma acha ujinga. Tatizo mitoto ya kike ndo maana walikuwa hawaisomeshi hapo awali. Mtoto kike chuoni anatakiwa aondoke na degree mbili; moja academic na mb.o.o

mkuu iyo degree ya pili uloitaja... Dah.
 
I announce you as The Genious of the year

Usikubali kupoteza dhamira yako. Soma acha ujinga. Tatizo mitoto ya kike ndo maana walikuwa hawaisomeshi hapo awali. Mtoto kike chuoni anatakiwa aondoke na degree mbili; moja academic na mb.o.o
 
Wewe tii moyo wako na hisia zako. Katika mapenzi hakuna kuoneana huruma na mapenzi ni mabaya sana kama utaamua kuyaunganisha na huruma. Sijui utwaonea wangapi huruma? ANGALIZO; Usipokuwa makini na kuanza kujihusisha na mambo ya mapenzi kwa HURUMA, si ajabu hata kile ulichofuata huko-Elimu ukashindwa kukipata. Pia kwa umri wako na malengo yako ningekushauri japo utafute mtu ambaye atakuwa serious nawe. Nakutakia kila la kheri na Mungu akuepushe na uzinzi na badala yake uzingatie elimu na ni imani yangu Mungu atakupa mme mzuri kwa wakati husika. Pia uwe makini sana na OFA, kwani THERE IS NO FREE LUNCH IN THE WORLD.

kama umesoma na kuelewa vizuri utata niliona dadako ni kwamba sijakijua kilicho moyoni mwangu ni huruma au ni mapenzi hilo ni moja mbili, mbona umekimbilia uzinzi? ina maana kumpenda mtu ni uzinzi? au mie ndio sijui maana ya uzinzi! mwisho, nitajuaje kama kaka huyu yupo au hayupo serious na mie
 
hapa ndio huwa tunakosea mara nyingi unaweza poteza rafiki,mume mtarajiwa wa ukwel kwa mambo ya kupita hujafa hujaumbika nani ajuaye!
 
Back
Top Bottom