Haya ni maoni ya wasomaji wa gazeti la mwananchi"CHADEMA WAMSHTAKI SPIKA MAKINDA"

The Emils

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
568
124
ast Updated on Saturday, 18 June
2011 09:12 Comments 12345 0 #63 ahmed 2011-06-18 16:09 Nini sifa ya kuwa mwanasiasa? Je
MAFISADI wanasifa ya kuwa
wanasiasa? Kikao cha Bunge
kilichopita Mh Lisu alitoa hoja na Pinda
alipiga kura ya ndio.Je unakubaliana
na mimi kuwa Pinda si mtu wa maana na makini?
Acha propaganda wee kijukuu cha
Kawawa
Quoting Mijigambo: Tundu Kisu sikufagiliii hata
kidogo kwani huna sifa za kuwa
mwanasiasa. Elimu yako
haijakukomboa hata kidogo.
Katika Chdema kidogo namwona
Zito anaweza na yupo makini. hao wengine kalaga baho,
mtafute kazi nyingine. Quote 0 #62 ahmed 2011-06-18 15:58 Quoting POWER: [quote name="Beano"][quote
name="machaku"]
Hakuna jipya umeweka empty
ideas, konja tukurudishe
darasani, ibara ya 18 ya katiba ya
nchi ya nwaka 1977 inatoa fursa ya kila mtu kutoa maoni na
maelezo yako yanaonyesha
wewe unategemea secondhand
information, ideas na miongozo
toka kwa Chadema, kumbuka
chadema bado ni chama kidogo sana cha siasa , chenye wabunge
wa kuchaguliwa upande mmoja
tu wa muungano na idadi yao
ikiwa ndogo ( wa kuchaguliwa )
kuliko hata wa CUF "Empty Ideas" what **** is this? what
are you trying to say? it doesn't make
sense at all "secondhand information"
is this ccm language? You need help.
Don't be shy to join MAIMUNA asap.
CDM ni chama kidogo sana kweli nakubaliana na wewe.Tofauti yangu
na wewe ni hii.
1)Ukubwa si hoja kabisa,Dr.Bilal ni
mkubwa kuliko JK lakini JK ni boss wa
Bilal
2)Uchache wa wabunge wa CDM umetokana na wizi wa ccm mlioufanya
2010. Lakini uchache huu ni mzuri
kwani umejazwa na watu smart
ambao wanawachachavya
mambumbumbu wa ccm
3)CDM hakina wabunge visiwani, usaliti wa CUF uliosababishwa na
ulaghai wa ccm umetuponza. 2015
CDM watachukua majimbo mengi
unguja na Pemba kwani tumeshaona
ccm na cuf hawana lolota
wanalofanya zaidi ya kuharibu maadili yetu. Quote 0 #61 NAFAHAMIKA 2011-06-18 15:35 Kwani wapi na lini limeandika uongo.
Tatizo mnataka habari za kinafiki za
kusifia watu hata kama wanafanya
madudu. Hizi ndiyo habari
tuzitafutazo, na huu ndio uhuru wa
habari. Nenda kasome propaganda za Uhuru, Mzalendo, Jambo leo nk.
Quoting SIFAHAMIKI: HIVI GAZETI HILI LINA AGENDA
GANI NA NCHI YETU KWANI KILA
SIKU KUANDIKA UMBEA NA
MAJUNGU KWA VIONGOZI NA MTU
YEYOTE AMBAYE ANAONEKANA
ANAMTAZAMO HASI NA CHADEMA HUKU WAKISHABIKIWA KWA
[NENO BAYA] NA WAFUASI WAO
WALIOKATA TAMAA BAADA YA
SLAA KUTOKUCHAGULIWA NA
WANANCHI WALIO WENGI
HAKIKA GAZETI HILI LINANIKERA KWANI LIMEZIDI KWA HABARI ZA
UCHONGANISHI NA UMBEYA KAMA
IMEWAUMA SANA KINDULULU
(SLAA) KUKOSA URAIS KUNYWENI
SUMU IWATIBU KULIKO
KUCHONGANISHA WANANCHI. Quote -1 #60 Mijigambo 2011-06-18 15:33 Tundu Kisu sikufagiliii hata kidogo
kwani huna sifa za kuwa mwanasiasa.
Elimu yako haijakukomboa hata
kidogo. Katika Chdema kidogo
namwona Zito anaweza na yupo
makini. hao wengine kalaga baho, mtafute kazi nyingine. Quote 0 #59 ahmed 2011-06-18 15:33 Hii ni nguvu ya hoja au hoja ya nguvu?
Lazima mjue tofauti ya hoja na Nguvu
ya dola. Kufuta CDM kutawasaidia nini
nyie msiofikiria kabisa. Unadhani wote
tunaopinga CCM ni wanachama wa
CDM? Acheni mikwara,serikal i ni ya ccm sasa ifuteni CDM muone
kilichomtoa Kanga manyoya. Mlijaribu
kutingisha kibiriti kwa kumkamata Mh
Mbowe, wenyewe mkanywea na
hasara mmepata.
Leteni hoja tujadiri, vitisho havisaidii Quoting POWER: Quoting mseminari: chadema kifutwe na sifa zao
za ki[NENO BAYA] naunga mkono hoja, Quote 0 #58 SeriaMtoto 2011-06-18 15:21 Nakumbuka hata siku ilipotolewa hoja
kwa Waziri Nundu kwamba
amedanganya kuhusu uwekezaji pale
KIA...Spika Makinda aliingilia kati na
kukataa Waziri asijibu akimsemea
kwamba hana majibu! Bila shaka inahitajika semina na kwa
Spika mwenyewe pia...namna hii watu
hawataacha kupayuka ndani ya vikao
kwa maana hawapewi ushirikiano na
Spika wao!
Mpaka sasa Makinada amashindwa kujulikana anasimamia Executive au
Bunge maana kotekote anafanya
kazi.... Sifikirii kama Bunge hili litaweza
kumsaidia mtanzania! Never.. Quote 0 #57 ahmed 2011-06-18 15:21 CCM always mnapenda kukimbia hoja
za msingi na kuleta mipasho. Anyway
nitakujibu mipasho yako kwa hoja
makini. Next time Angalia mada na
maoni yako yaendane na topic
Quoting POWER: WASHAURI CHADEMA WATEKELEZE
AHADI ZAO MAJIMBONI NA SI
KUJIFANYA WANAIPENDA NCHI
ILI HALI WANATAKA KUVUNJA
KATIBA YA NCHI KWA KUDAI
HAWATAKI SITTING ALLOWANCE Siasa ni Taaluma inayoitaji shule na sio
ushabiki wa mpira wa simba na
yanga.
1)Hakuna ahadi ya CDM inayoweza
kutekelezeka mpaka Tanzania ipate
Katiba Mpya (Hii ni ahadi ya kwanza CDM waliisema. Je tunaitekeleza?)
2)Mafisadi lazima wavuliwe uongozi
(Je ahadi hii tunaitekeleza?)
3)Kuhakikisha JK anapunguza safari
za nje, Je ahadi hii tunaitekeliza?
Sasa kama makinda analeta ushabiki lazima tumdhibiti kisheria. Je
unapoona unadhulumiwa haki yako,
kwenda mahakamani ni kosa? Quote 0 #56 TICHA 2011-06-18 15:16 Quoting Beano: Quoting machaku: kumshtaki spika si hoja ya
kutangazwa na magazeti ni
hoja ya kurekebishana ,
mbona CUF hawajatangaza
kumshtaki spika kutokana
na kutojibiwa kwa swali juu ya TAARIFA NA USHAHIDI
JUU YA KIFO CHA GAVANA
BALALI ALIYEKUWA
MTUHUMIWA NO. I WA
UFISADI BENKI KUU? AU
SWALI LA KWANINI TANGU AINGIE MADARAKANI
WAZIRI WA MAMBO YA
NDANI ,SHAMSI NAHODHA
ANAKAA HOTELINI?
HONGERA CUF KWA KUWA
NA POLITICAL TOLERANCE Political Tolerance sio maana yake
kuwa mnyonge wakati mambo
yanapopindishwa . Wewe unaleta
tafsiri ya neno kwa neno na
kujipotosha ukadhani unaelewa.
Kimsingi kuna swali unajijibu bila kujua kuwa unaponda badala ya
kusifia hicho chama chako
chenye "politiko tolerensi".
Kusema "MBONA CUF
HAWAJAMSHITAKI ....." Ni
kutudhihirishia kuwa CUF ni wabwabwajaji na sio wafuatiliaji.
Maswali hayaulizwi bungeni ili tu
wananchi wasikie kuwa mbunge
wao ameuliza. Maswali huulizwa
ili yapatiwe majibu na ufumbuzi.
Sasa kujisifia kuwa mliuliza, hamkujibiwa na mko kimya huo
sijui niseme ni ubongo mchache
au ni nini? Sasa kama lengo lenu
ilikuwa kuuliza tu na jibu halina
maana kwenu, basi acha
CHADEMA wafanye kazi tuliowatuma. Kama spika
anapindisha taratibu na sheria ya
kumshtaki ipo sioni sababu ya
kutofanya hivyo eti sababu CUF
hawakufanya hivyo. Udhaifu wa
CUF sio kipimo cha namna siasa ya Tanzania inapaswa
kuendeshwa. Ni akili za kitumwa
kufikiri kuwa spika hawezi
kuwajibishwa akikosea. Una
ubongo wa enzi za kifalme
ambapo mkubwa ilikuwa hakosolewi na nina mashaka
wewe ni zao la shule za kata au
primitive thinker SOMA IBAR YA 18 YA KATIBA NA
TAMBUA HAMNA MAMLAKA YA JUU
KULIKO KATIBA YA NCHI Quote 0 #55 john joseph 2011-06-18 15:11 CUF SIYO CHAMA CHA UPINZANI TENA,
INAONEKANA WANA CUF HAWAJUI
HILO,WABUNGE WOTE WA CUF UPANDE
WA ZANZIBER NI MAWAZIRI
WATARAJIWA. WATANZANIA MJUE
WAZI KUWA CUF SIYO WAPINZANI TENA. KWA SASA WANAIGOPA
CHADEMA, KINACHOWAOKOA MPAKA
SASA NI SIASA ZA VISIWANI KWAMBA
PIGA UA GALAGAZA CUF HAWEZI
KUHAMA CHAMA NA CCM
VIVYOHIVYO.LAKINI KAMA WANGEKUWA WANAFATA SERA NA
HOJA KAMA HUKU BARA
WANGENYANG'ANYWA VITI VYOTE
2015. Quote -1 #54 POWER 2011-06-18 15:09 Quoting mseminari: chadema kifutwe na sifa zao za ki
[NENO BAYA] naunga mkono hoja, Quote 0 #53 POWER 2011-06-18 15:07 CHADEMA - changamka daaima EWE
Mdanayika a achakuwaza Quote 0 #52 POWER 2011-06-18 15:03 Quoting Beano: Quoting machaku: kumshtaki spika si hoja ya
kutangazwa na magazeti ni
hoja ya kurekebishana ,
mbona CUF hawajatangaza
kumshtaki spika kutokana
na kutojibiwa kwa swali juu ya TAARIFA NA USHAHIDI
JUU YA KIFO CHA GAVANA
BALALI ALIYEKUWA
MTUHUMIWA NO. I WA
UFISADI BENKI KUU? AU
SWALI LA KWANINI TANGU AINGIE MADARAKANI
WAZIRI WA MAMBO YA
NDANI ,SHAMSI NAHODHA
ANAKAA HOTELINI?
HONGERA CUF KWA KUWA
NA POLITICAL TOLERANCE Political Tolerance sio maana yake
kuwa mnyonge wakati mambo
yanapopindishwa . Wewe unaleta
tafsiri ya neno kwa neno na
kujipotosha ukadhani unaelewa.
Kimsingi kuna swali unajijibu bila kujua kuwa unaponda badala ya
kusifia hicho chama chako
chenye "politiko tolerensi".
Kusema "MBONA CUF
HAWAJAMSHITAKI ....." Ni
kutudhihirishia kuwa CUF ni wabwabwajaji na sio wafuatiliaji.
Maswali hayaulizwi bungeni ili tu
wananchi wasikie kuwa mbunge
wao ameuliza. Maswali huulizwa
ili yapatiwe majibu na ufumbuzi.
Sasa kujisifia kuwa mliuliza, hamkujibiwa na mko kimya huo
sijui niseme ni ubongo mchache
au ni nini? Sasa kama lengo lenu
ilikuwa kuuliza tu na jibu halina
maana kwenu, basi acha
CHADEMA wafanye kazi tuliowatuma. Kama spika
anapindisha taratibu na sheria ya
kumshtaki ipo sioni sababu ya
kutofanya hivyo eti sababu CUF
hawakufanya hivyo. Udhaifu wa
CUF sio kipimo cha namna siasa ya Tanzania inapaswa
kuendeshwa. Ni akili za kitumwa
kufikiri kuwa spika hawezi
kuwajibishwa akikosea. Una
ubongo wa enzi za kifalme
ambapo mkubwa ilikuwa hakosolewi na nina mashaka
wewe ni zao la shule za kata au
primitive thinker Hakuna jipya umeweka empty ideas,
konja tukurudishe darasani, ibara ya
18 ya katiba ya nchi ya nwaka 1977
inatoa fursa ya kila mtu kutoa maoni
na maelezo yako yanaonyesha wewe
unategemea secondhand information, ideas na miongozo toka kwa
Chadema, kumbuka chadema bado ni
chama kidogo sana cha siasa , chenye
wabunge wa kuchaguliwa upande
mmoja tu wa muungano na idadi yao
ikiwa ndogo ( wa kuchaguliwa ) kuliko hata wa CUF Quote -1 #51 POWER 2011-06-18 14:59 Quoting yusuf: CHADEMA komaeni mpaka
kieleweke.Huyu mama uwezo wa
kuongoza hili hana.Mh Msekwa
[Makamu M/kiti CCM]alishasema
kuna umuhimu wa Kiti cha Spika
kukaliwa na mtu aliyesoma sheria.Mh Makinda anatumia
jazba na vionjo vyake kutoa
maamuzi badala ya kanuni na
sheria.Huyu mama ni mradi wa
mapacha watatu[magamba ya
CCM]baada ya kumtoa Mh Sita [mzee wa kasi na viwango].Naye
ni gamba ndani ya Bunge letu
tukufu.Kulinganisha MPs wa CUF
[wazee wa posho]na MPs wa
CHADEMA[vijana wa kazi]ni sawa
na kulinganisha mt K'njaro na kichuguu cha mchwa.Tunataka
mabadiliko 2015,mengine mbele
kwa mbele. WASHAURI CHADEMA WATEKELEZE
AHADI ZAO MAJIMBONI NA SI
KUJIFANYA WANAIPENDA NCHI ILI
HALI WANATAKA KUVUNJA KATIBA
YA NCHI KWA KUDAI HAWATAKI
SITTING ALLOWANCE Quote 0 #50 POWER 2011-06-18 14:57 Quoting mpita njia: Wana ccm mnakuja juu...naona
chama kimewekeza kwenu
kukashifu...hata KANU nao
walitumia njia kama hii...so
mtanyamaza wenyewe muda
ukifika!1 wewe ndo unaweka ushabiki ,
maslahi ya taifa si ya vyama , tunajadili
TZ na si CHADEMA, AU CUF AU CCM,
WANAOCHUKIA TZ WAANZISHE NCHI
YAO NJE YA NCHI NYETU, TANZANIA
TANZANIA, NAKUPENDA KWA MOYO WOTE , NCHI YANGU TANZANIA JINA
LAKO NI TAMU SAANAAA Quote -1 #49 POWER 2011-06-18 14:54 Quoting yusuf: CHADEMA komaeni mpaka
kieleweke.Huyu mama uwezo wa
kuongoza hili hana.Mh Msekwa
[Makamu M/kiti CCM]alishasema
kuna umuhimu wa Kiti cha Spika
kukaliwa na mtu aliyesoma sheria.Mh Makinda anatumia
jazba na vionjo vyake kutoa
maamuzi badala ya kanuni na
sheria.Huyu mama ni mradi wa
mapacha watatu[magamba ya
CCM]baada ya kumtoa Mh Sita [mzee wa kasi na viwango].Naye
ni gamba ndani ya Bunge letu
tukufu.Kulinganisha MPs wa CUF
[wazee wa posho]na MPs wa
CHADEMA[vijana wa kazi]ni sawa
na kulinganisha mt K'njaro na kichuguu cha mchwa.Tunataka
mabadiliko 2015,mengine mbele
kwa mbele. TATIZO LAO WABAGUZI HONGERA CUF
KWA KUBADILI UPEPO NASKIA
WANATAKA MUUNGANE Quote 12
 
Mh! Ndugu yangu hata kama ni uvivu wa kusoma, bora iwe hivyo; sitaisoma thread yako. Kweli mwone daktari; this is abnormal.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom