Haya ni mabaya ya SITTA, niwekee mazuri yake

Mnafiki 6!!unajiutukuza na kujisafisha mbele ya watanzania!wanafiki mnaojua vitu vingi bila kuviweka hadharani mpaka mnapoona mambo yamewafika,eg Mwakyembe!unapenda kuwashutumu wenzako kuwa ni mafisadi na kuwahimiza wananchi waandamane wakati ni wewe uliyebariki na kutetea dowans bungeni,ulipenda kuwakashifu wapinzani na kuwaita wanafiki wakati wanatetea maslahi ya wananchi,leo unajifanya unachukia ufisadi?
Mnafiki sna wewe na wala usipende kujikuza na kujisafisha mbele ya umma.Huna lolote mzee
 
tatizo laki wewe mdada unawivu wakijinga na uvivu wakufikiria, hivi huoni Sitta jinsi anavyolitetea taifa sasa hivi? sahau the past, kama uliangalia ITV jana sa 3 usiku uliona jinsi anavyokataa waziwazi kulipwa kwa dowans na tena alifikia hata kuwaambia vijana kama wewe muingie barabarani kuandamana, sana unataka nini tena?
Nadhani hili jukwaa halikufai, nenda kule kwenye mahusiano na mapenzi panakuhusu sana tu.
Wewe ndio punguani usie na mana kabisa. Huyo juha mwenzako unae mtetea hafai hata kidogo. Anawezaje kuhamasisha vijana kwenda barabarani wakati chama chake kinayabeza maandamano? Anashindwaje kumwambia aliyempa rushwa ya uwazili azuie malipo hayo. Anaogopa nini kumwambia Rostamu Azizi aache wizi wa mchana? kwanini anazungukazunguka wakati mwizi anafahamika ? Yeye na fisadi mwenzake mwenye PhD za kujipendekeza waseme hadharani kwamba ufisadi sasa basi na sio kwenda TBC kuzuga.
 
1.Sita alikuwa mwanamtandao na akaidiwa uwaziri mkuu aliponyimwa akamwekea kinyongo Lowassa
2.Standard ni kwa kumtimua Zitto bungeni?
3.Ishu ni ilikuwa kufukuzwa kwa Lowassa/waziri mkuu kwa sababu ya kuukosa uwaziri mkuu (Ni SITTA BAADAE ALIYEUZIMA MJADALA WA DOWANS KIMAAJABU)
4.hamuoni JK na Mkapa kwa nini asiwakemee
5.ALIUNGA MKONO MATUMIZI YA BILIONI 900 KWENYE BAJETI KAMA POSHO kivipi useme anakerwa na umaskini wa watanzania
6.Ofisi ya spika na nyumba anayoishi unamteteaje?Akiwa waziri amefanyaje kupinga malipo ya Dowans aliyotusababishia?kwa nini asijiuzulu.
7.Sijui

...Upo Chini kabisa ya Viwango kifikra, you can do better, pull up your socks...
 
1.Sitta ni mwalimu mzuri wa kiswahili. Aliwakumbusha wabunge kuwa neno ’’ kukazana kazini’’ ni tusi na alikataza kutumia neno hilo bungeni 2.Ni daktari bingwa.Baada ya madaktari kutojua kinacho msibu Mwakyembe, yeye aligundua kuwa kawekewa sumu(ktk ITV jana)
 
MAZURI YA SITTA
1. NI SPIKA ALIYEFANYA MABADILIKO MAKUBWA YA KANUNI ZA BUNGE YENYE KUWEKA USAWA
2. NI SPIKA PEKEE KATIKA HISTORIA YA AFRIKA ALIYETOA UHURU KWA WABUNGE HADI UMAARUFU WA UPINZANI UKAKUWA
3. NI KUONGOZI PEKEE WA CCM ANAYEZUNGUMZA HADHARANI HISIA ZAKE HATA KAMA WENGINE HAWAKUBALIANI NAZO
4. NI WAZIRI PEKEE ALIYETHUBUTU KUPINGA MAAMUZI YA WENZAKE HADHARANI BILA KUVUNJA KANUNI ZA BARAZA LA MAWAZIRI
5. NI KIONGOZI ALIYEWEZA KUWEKA MISINGI THABITI YA KITUO CHA UWEKEZAJI.
Si kweli kuwa sitta ndiye aliyezima hoja ya Dowans [fuatilia hanzard].
Sidhani kama ofisi ilojengwa jimboni kwake ni ile ya spika maana ofisi za spika zipo Dodoma pamoja na Dar. Kumbukumbu lile jengo ni ofisi za mbunge wa jimbo la urambo ambayo ilijengwa kama msaada. kwa hiyo siku akiondoka basimrithi wake ataitumia
Hayo mengine sina uhakika nayo siwezikuyazungumzia!!

.
.
.
.

nimekuwa mzito kumwelewa sitta pls nisaidieni (nionesheni tofauti ya SITTA na mafisadi)

1.ni sitta aliyeizima dowans bungeni (leo tunatakiwa kuilipa)
2.ni sitta aliyejijengea ofisi ya spika kwao (kama vile atakuwa spika milele)
3.ni sitta asiyetaka kuhama kwenye nyumba ya spika hadi leo
4.ni sitta aliyeunga mkono posho (bilioni 900 kwa mwaka)
5.ni sitta anayedai elimu bure haiwezekani (yeye alisomeshwa bure)
6.Alianzisha chama ndani ya chama na kukizima pale alipoahidiwa kuteuliwa spika kwa next term kumbe danganya toto

Nakaribisha list ya mazuri ya SITTA
1.
2.
3.
4.
5.

My take:SITTA NA LOWASSA WOTE WATATUTEKETEZA INCASE WAKIPEWA NAFASI YA URAIS,
 
una uhakika gani kuwa hajawashauri au kuwakemea?
wewe ndio punguani usie na mana kabisa. Huyo juha mwenzako unae mtetea hafai hata kidogo. Anawezaje kuhamasisha vijana kwenda barabarani wakati chama chake kinayabeza maandamano? Anashindwaje kumwambia aliyempa rushwa ya uwazili azuie malipo hayo. Anaogopa nini kumwambia rostamu azizi aache wizi wa mchana? Kwanini anazungukazunguka wakati mwizi anafahamika ? Yeye na fisadi mwenzake mwenye phd za kujipendekeza waseme hadharani kwamba ufisadi sasa basi na sio kwenda tbc kuzuga.
 
ongea kama mwanaume na suyo kubwabwaja
weka mazuri yake ingalao mawili.
.

Wewe ubongo wako uko 100% inclined kwenye mabaya, any with that kind of thinking you can never be creative. DOn't tell me you don't know what are the good things Sitta has done for the country, that' s a big lie and you are doing injustice to your little, greasy brain.
 
Mazuri ya Sitta:
1.Sitta akiwa Spika wa Bunge: liliogoza Bunge kuwa huru na wazi kwa kuruhusu uwanja mpana wa majadiliano.
2. Sitta, amekua msitari wa mbele kujitokeza kupinga malipo ya Dowans waziwazi.


.
 
Mazuri....

Alisimamia kujenga Selander Bridge Mpya kama Waziri wa ujenzi 1981

Kabla


12559942.jpg


Baada

3351649.jpg

Duh umenikumbusha mbali kweli na hilo daraja la zamani, tumetoka mbali. Enzi hizo J2 mwisho wa kutembea magari saa 8 mchana
 
Mazuri ya Sitta:
1.Sitta akiwa Spika wa Bunge: liliogoza Bunge kuwa huru na wazi kwa kuruhusu uwanja mpana wa majadiliano.
2. Sitta, amekua msitari wa mbele kujitokeza kupinga malipo ya Dowans waziwazi.


.
1.Uhuru na uwazi ni kwa kumtimua Zitto kabwe??
2.kwa nini aliizima DOWANS bungeni na kwa nini asitaje hao anaowaita mafisadi???????????????
 
Duh umenikumbusha mbali kweli na hilo daraja la zamani, tumetoka mbali. Enzi hizo J2 mwisho wa kutembea magari saa 8 mchana
Kwanini ilikuwa hivyo?Nani aliamuru?I hope not mwalimu.

Sababu please kama unakumbuka.
 
Back
Top Bottom