Haya ni mabaya ya SITTA, niwekee mazuri yake

tatizo laki wewe mdada unawivu wakijinga na uvivu wakufikiria, hivi huoni Sitta jinsi anavyolitetea taifa sasa hivi? sahau the past, kama uliangalia ITV jana sa 3 usiku uliona jinsi anavyokataa waziwazi kulipwa kwa dowans na tena alifikia hata kuwaambia vijana kama wewe muingie barabarani kuandamana, sana unataka nini tena?
Nadhani hili jukwaa halikufai, nenda kule kwenye mahusiano na mapenzi panakuhusu sana tu.
 
Alikuwa muungwana kukubali kuondolewa jina lake uchaguzi wa spika ndani ya ccm kwa kuwa yeye si Mwanamke!
 
Labda nitoe tamko kwa kule Jimboni kwake Urambo Mashariki.
1. Nyumba ya sita iliyoko eneo la Boma kenye njia inayoelekea Kliua, Urambo mjini inaongoza kwa uzuri hadi hii leo hakuna aliyevunja rekodi hiyo mwenye kubisha asogelee.
2. Anaongoza Kumiliki Kundi la Kiharamia ambalo linamlinda yeye dhidi ya wabaya wake. Na mara zote baada ya Uchaguzi Kundi hili Huvamia mji wa Urambo kama majambazi ya Uporaji usiku, na huwavamia waliopambana nae kwenye kinyang'any'iro cha uchaguzi hasa kwenye kura za maoni ndani ya ccm pamoja na wapambe wao. kama Unadhani ni Tungo hii Nenda Urambo ulizia habari na yale yaliyowapata Patel, Ntayega, na wengineo. sio siri sasa lazima tuseme. Hata Viongozi wa Ndani ya Chama wanajua Jamaa huyu ni leader wa Gang Fulani, na wanamwogopa kwa sababu hiyo.
3. Anaongoza kuwa na mke anayejua shabaha. kwenye kijiji cha Vumilia Urambo mwanamama huyu alimchapa bastola ya mguu mwananchi mmoa kwa kusogelea Gari lao wakati waheshimiwa hawa walipokuwa wakiomba kura za maoni ndani ya ccm mwaka 2000. Ushahidi upo na mtu huyo yupo. Hongera mama kwa shabaha.
4. Naendelea kuorodhesha, ikumbukwe hii ni list ya mazuri sijasema mabaya ya mbaba huyu. kuwa na nyumba nzuri, kuwa na kakikundi ka kujilinda mwenyewe au kuwa na mke mwenye shabaha ni mazuri haya nadhani, niongeze tu kwamba anaongoza kwa wananchi wa Urambo ambao wamekaa DSM kwa kitambo kirefu sana. nadhan kwa mwaka Mhe anaweza kufika Jimboni kwake mara mbili au tatu tu.
Haya ni machache ambayo mie nimeyashuhudia kwa macho wala sijaambiwa na kitaarifa chochote. haya mengine nayoyasikia redioni na magazetini siwezi kuyaweka kama mazuri au mabaya kwa sababu nimeyasikia tu. bora nimtamkie baba wa watu mazuri niliyoyaona tu. mrusha threads akiniruhusu nimwagiie mabaya tutayamwaga mpaka msomaji ushindwe kusoma.
Pia Tunafurahi kwa sababu mwana JF mmoja ni mwanae Sitta wa kuzaa. Hivyo akiiona threads hii amwambie Baba yake hatujasahau.. Tunangojea tu babae.. iko siku CCM itaondoka madarakani.. ATATUTAMBUA..
 
nimekuwa mzito kumwelewa sitta pls nisaidieni (nionesheni tofauti ya SITTA na mafisadi)

1.ni sitta aliyeizima dowans bungeni (leo tunatakiwa kuilipa)
2.ni sitta aliyejijengea ofisi ya spika kwao (kama vile atakuwa spika milele)
3.ni sitta asiyetaka kuhama kwenye nyumba ya spika hadi leo
4.ni sitta aliyeunga mkono posho (bilioni 900 kwa mwaka)
5.ni sitta anayedai elimu bure haiwezekani (yeye alisomeshwa bure)
6.Alianzisha chama ndani ya chama na kukizima pale alipoahidiwa kuteuliwa spika kwa next term kumbe danganya toto

Nakaribisha list ya mazuri ya SITTA
1.
2.
3.
4.
5.

My take:SITTA NA LOWASSA WOTE WATATUTEKETEZA INCASE WAKIPEWA NAFASI YA URAIS,

..... haya ni mambo ya kiutendaji tu ambapo serikali ina scales zake za marupurupu, mishahara, magari, security, nyumba za watendaji wake kama spika, rais, waziri mkuu, jaji mkuu n.k, sasa kama na haya mambo mnayaita ni ufisadi wa Sita - nitawashangaa sana watanzania --- by Sam 6.

Nimeshika wizara ya ujenzi kipindi cha mwalimu, nimeshika wizara nyeti kwa vipindi tofauti -- kama kweli ningekuwa fisadi ndugu zangu ningekuwa nimeshaiba siku nyingi sana, ni maadui zangu tu wananiundia zengwe kuniharibia kwa watanzania wenzangu - nasema nguvu ya mungu ipo tu na mimi nitatetea maovu yote dhidi ya matapeli wa mchana mchana.
 
tatizo laki wewe mdada unawivu wakijinga na uvivu wakufikiria, hivi huoni Sitta jinsi anavyolitetea taifa sasa hivi? sahau the past, kama uliangalia ITV jana sa 3 usiku uliona jinsi anavyokataa waziwazi kulipwa kwa dowans na tena alifikia hata kuwaambia vijana kama wewe muingie barabarani kuandamana, sana unataka nini tena?
Nadhani hili jukwaa halikufai, nenda kule kwenye mahusiano na mapenzi panakuhusu sana tu.
alikuwa na rungu (uspika) kwa nini hakulitumia wakati huo??si yeye aliyezima mjadala wa Dowans bungeni???leo nani atamwamini
wewe hufai popote manake umeshindwa kuorodhesha zuri hata mmoja la huyu mzee mnafiki SITTA.
ASITUSHAWISHI KUANDAMANA WAKATI ALIZIMA MJADALA KWA AHADI YA CHEO NA SASA WAMEMTOSA ANALALAMA
 
1. Sitta alikuwa mwanamtandao, lakini akawageuka wenzake baada ya kugundua kuwa nia yao ya kuingia madarakani ni kufanya uporaji wa raslimali za Watanzania.
2. Akiwa Spika wa Bunge aliliendesha kwa standard and speed. Aliboresha kanuni za Bunge na kulifanya liwe la kiwango cha juu.
3. Aliunda tume na kusimamia mjadala uliosababisha kufukuzwa (sio kujiuzulu) kwa waziri mkuu.
4. Amekuwa akikemea ufisadi wazi wazi na hamuogopi mtu. Ni jasiri.
5. Anakerwa na umaskini wa Watanzania
6. Hana kashfa yoyote inayoweza kuthibitishwa zaidi ya majungu yanayoenezwa juu yake.
7. Alipinga uuzwaji wa nyumba za serikali, na yeye ni miongoni mwa vigogo ambao hawakununua nyumba hizo.

Need I say more?
 
1. Sitta alikuwa mwanamtandao, lakini akawageuka wenzake baada ya kugundua kuwa nia yao ya kuingia madarakani ni kufanya uporaji wa raslimali za Watanzania.
2. Akiwa Spika wa Bunge aliliendesha kwa standard and speed. Aliboresha kanuni za Bunge na kulifanya liwe la kiwango cha juu.
3. Aliunda tume na kusimamia mjadala uliosababisha kufukuzwa (sio kujiuzulu) kwa waziri mkuu.
4. Amekuwa akikemea ufisadi wazi wazi na hamuogopi mtu. Ni jasiri.
5. Anakerwa na umaskini wa Watanzania
6. Hana kashfa yoyote inayoweza kuthibitishwa zaidi ya majungu yanayoenezwa juu yake.
7. Alipinga uuzwaji wa nyumba za serikali, na yeye ni miongoni mwa vigogo ambao hawakununua nyumba hizo.

Need I say more?
1.Sita alikuwa mwanamtandao na akaidiwa uwaziri mkuu aliponyimwa akamwekea kinyongo Lowassa
2.Standard ni kwa kumtimua Zitto bungeni?
3.Ishu ni ilikuwa kufukuzwa kwa Lowassa/waziri mkuu kwa sababu ya kuukosa uwaziri mkuu (Ni SITTA BAADAE ALIYEUZIMA MJADALA WA DOWANS KIMAAJABU)
4.hamuoni JK na Mkapa kwa nini asiwakemee
5.ALIUNGA MKONO MATUMIZI YA BILIONI 900 KWENYE BAJETI KAMA POSHO kivipi useme anakerwa na umaskini wa watanzania
6.Ofisi ya spika na nyumba anayoishi unamteteaje?Akiwa waziri amefanyaje kupinga malipo ya Dowans aliyotusababishia?kwa nini asijiuzulu.
7.Sijui
 
Anasema angependa kuona vijana wanaanzisha maandamano, akaulizwa mbona unapinga maandamano ya CDM akajikanyaka, bonge la mnafiki
 
1.Anaitafuna sisiem kidogo kidogo mpaka hapo sisiem itakapoamua vinginevyo juu yake.......nayo imekwisha kufa...na hili ni zuri sana kwasababu yupo ndani ya sisiem.

2. Anaueleza uma wa Watanzania wazi wazi kuwa sisiem haifai pamoja na kuwa yeye yumo humo humo......Mungu atupe nini tena watanzania kwa elimu nzuri kama hiii tunayo ihitaji na wanayo ihitaji watanzania wengi waliowajinga lakini kwa kupitia 6....sasa watapata ufahamu juu ya haya magamba.

3. 6 anafaa sana maana hata sasa tumejua kuwa Dr Mwakyembe ni kweli alipewa sumu....asante... 6...lakini na wewe take care.. 6....what goes around .....it will come around!!!!!!
 
NILIPO KUWA NIKIMTAZAMA JANA NILIPATA SHIDA KAMA KWELI HUYU NI MTU MAKINI, NILIKUWA NA KAKA YANGU MBELE YA TV, AKANIAMBIA MIMI SITTA HUWA SIMKUBALI, MIMI PIA NIKAMWAMBIA HATA MIMI SIMKUBALI ILA ACHA TUANGALIE ANASEMA NINI ILI TUMFAHAMU VIZURI. TUMEKUWA TUKISOMA HABARI NYINGI SANA JUU YA MTU HUYU KUWA NI MNAFIKI, TUMEKUWA NA SHAKA KUAMINI HAYO KWA KUWA ANATUMIA BUSARA NA AKILI KIDOGO KU-BALANCE ISSUE KIASI KUNA WATU WANAMUONA KAMA NABII na mkombozi wa kweli. KWA JANA NILIWEZA KUTHIBITISHA KUWA HUYU MTU NI HATARI NA NI MNAFIKI KWELI, TENA SINA HAJA YA KUSIKIA ANAWAAMBIA NINI WATANZANIA. NILICHOKIPENDA KWAKWE NI KIMOJA TU, YAANI KUTUONYESHA NI JINSI GANI CCM IMEHARIBIKA NA INAVYOWEZA KUTUANGAMIZA MBELENI, NIMEWEZA KUFAHAMU PIA KUWA CCM HAWAMPENDI LAKINI PIA WAPINZANI WA KWELI HAWAMPENDI! HIVYO AMEKUWA KAMA POPO, RAFIKI YANGU MMJA ALINIAMBIA NI KUNGURU! HANA NIA YA KWELI YA KUPAMBANA NA MAFISADI NA KUWA PUNGUZIA WATANZANIA GHARAMA ZA MAISHA, ANASEMA CHADEMA KULE IGUNGA WALITUMIA PROPOGANDA YA UMASIKINI WA WANANCHI KWA KU-LINK NA UTAWALA WA CCM, SIJUI SITTA UMASIKINI WA WATANZANIA YEYE ANU-LINK NA UPINZANI WA VYAMA VINGI! SITTA NAJUA UNASOMA HAYA, LA MWISHO KWAKO NI HILI, WATANZANIA WAMEKUFAHAMU KUWA SI LOLOTE SI CHOCHOTE, SASA WATANZANIA WANASEMA BORA LOWASA KULIKO WEWE! NIMESHANGAA SANA!
 
nilidhani unazungumzia SITTA steel rolling mill - Kumbe Sawel Sita; by the way nani hana mabaya/machafu ndani ya CCM?
 
Back
Top Bottom