msani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 1,801
- 1,191
wakuu,heshima mbele!!!
nimekuta tangazo la kuwaita watu kwenye interview kwa mwezi wa tano(may) ila kilichonisikitisha ni haya masharti ya kwenda kwenye interview:::
Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
1. Kuja na vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne, sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na
sifa za mwombaji.
2. Transcript, Testmonials, Provisional Results, Statement of results,
hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS
SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
3. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
4. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
5. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa
6. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
7. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi
zitakapotangazwa tena.
swali langu:
je kati ya academic results na leaving certificate kipi ni halali kutumia!!!!!!