Kutangazwa kwa majina ya wamiliki wa Dowans na Waziri wa Nishati na Madini ambapo majina hayo yanajumuisha wafanyabiashara kutoka Singapore, India na UAE ni ushahidi tosha kuwa safari ya Rostam Aziz katika nchi hizo (kama alivyojitetea shia huyu) ni juhudi za kwenda kufanya uchakachuaji wa wamiliki wa Dowans waliotajwa. Jamaa hajui kujitetea hata kidogo, anasema ameenda nchi hizo kutafuta wawekezaji, wawekezaji gani na ameenda kutafuta wamiliki tu wa Dowans-Nastaafu kuitwa mtanzania kwa muda mpaka hapo baadaye.:A S-devil1::A S-devil1::A S-devil4: