Elections 2010 Haya ndiyo matokeo Halisi?: Kikwete: 44.56% Na Dr. Slaa 44.45%

Hizi data sio:nono::nono::nono::nono::nono::nono: nasibiri za chadema usalama wa taifa hawawezi kunidanganya na hizi data:nono::nono::nono::yield::yield::yield::yield:
 
Hata kama namba hizo zilikuwa sahihi, kwa hiyo tofauti baina ya 44.56% na 44.45% kulitakiwa kuwa ni run-off election katika taratibu za kidemokrasia. Hata hivyo iwapo wangetanza matokeo ya aina hiyo huenda Dr. Slaa asingesusia matokeo na huenda angesaini matokeo na kuhudhuria uapishwaji wa kikwete.
 
Mpaka hapo itakapothibitishwa vinginevyo, baado habari hii itabakia kama tetesi.

Mkuu Superman, nimesikitishwa na Dr. Slaa kutangazwa kushindwa. Hata hivyo habari uliyoleta hapa japo unaiita tetesi haina hadhi ya kuwa JF kwa kuwa hainna kura za Zanzibar na ina desimali katika idadi ya watu. Ni vizuri kupima angalau relevance (sizungumzii ukweli) ya tetesi yenyewe. Tetesii inayotaja watu desimali haina nafasi hata kuiwazia.
 
Mkuu Superman, hebu achana na hii habari mana imewekwa kwenye mizani hapa JF na kuonekana ni uzushi tena mwepesi sana..! Hivi si hizo percentage zinatakiwa kujumuisha mikoa yote ya Tanzania ili tupate picha kamili kwanini mikoa kadhaa imeachwa?? na umeona wapi dunia ya leo kuna kura maelfu kadhaa nukta kadhaa? Kwa upeo mdogo tu, mtu yeyote anawezajua kuwa hii habari si sahihi.
 
Kwa hiyo wakuu kwa mujibu wa "matokeo halisi" aliyo post mkuu Superman ni kwamba bado JK alishinda siyo? Kama ni kweli basi kwanza inaonyesha kwamba kuishinda CCM ina wezekana lakini pia inaonyesha kwamba Slaa alishindwa. He came close but not close enough.
 
Wamepika

Nimepost kwenye Excel na kuita Formula Column C inanipa kitu B*65%.
Tangu lini wapiga kura Halisi wote nchi nzima wakaobey Formula moja???
Haya ni mapishi kutoka HELL KITCHEN, wapishi ni NEC na UWT kwa maagizo maalumu ya Mafisadi wa CCM.
Wanajaribu kumwaga Uharo wao hapa ili wote tuugue gonjwa lao la Kihabithi.
Tatizo, wapishi wengi walo shiriki shule haipandi vizuri bila DESSA hawaendi kokote, na hii kitu haikuwa na DESSA.

K&%*%O Zenu na Mvi zenu wote mloshiriki upishi. Nendeni mkapike tena, hii ime abort.
 
Sio kwamba wangeenda raundi ya pili kwa kuwa hakuna aliyefikisha zaid ya nusu?
 
Wamepika

Nimepost kwenye Excel na kuita Formula Column C inanipa kitu B*65%.
Tangu lini wapiga kura Halisi wote nchi nzima wakaobey Formula moja???
Haya ni mapishi kutoka HELL KITCHEN, wapishi ni NEC na UWT kwa maagizo maalumu ya Mafisadi wa CCM.
Wanajaribu kumwaga Uharo wao hapa ili wote tuugue gonjwa lao la Kihabithi.
Tatizo, wapishi wengi walo shiriki shule haipandi vizuri bila DESSA hawaendi kokote, na hii kitu haikuwa na DESSA.

K&%*%O Zenu na Mvi zenu wote mloshiriki upishi. Nendeni mkapike tena, hii ime abort.

Kweli kabisa,

Namba hizo zote zile zimepikwa; tena zimepikwa kijinga sana eti kwa kutumia Excel. Hata zile official results za NEC ni za kupikwa, yaani zilikuwa zinakokotolewa pembeni halafu wana cut na kupaste, ndiyo maana zile percentages zote ni copied siyo computed; kwa mfano kwenye column ya percantages za Kikwete, utakuta kuwa kwenye jiji la Arusha ameandikiwa 40.728090806831% badala ya =I7/AB7. Huo ni ushahidi wazi kwa nini walitumia muda mrefu sana kupika namba hizo kwani walikuwa waki-cut na kupaste.
 
Haya matokeo feki yalipostiwa kwanza na tzjamani usiku wa kuamkia J'mosi fuatilia hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/85737-tathmini-ya-kina-uchaguzi-2010-kama-kweli.html nafikiri akaona thread yake haina market akampasia Superman kwa sababu zao labda kwa vile Superman amekuwa akipost mara kwa mara itapata wateja wengi sijui. Nilishawahi kusema awali kuwa huwa nina wasi wasi na watu wawili Superman na Pasco naweza kuhukumiwa kwa doubts zangu.

Mzee Quinine!

Haukuwa peke yako kwenye hili mzee hata mimi nilikuwepo lakini ingalau huyu mmoja nimehakikisha kutumiwa na mafisadi direct
 
wana jf;

nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo mgombe wa chadema dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa mgombea wa ccm kikwete alipata 44.56% wakati mgombea wa chadema alipata 44.45%.

Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.

Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.

Naomba kutoa hoja.

update:

matokeo halisi (original) yale ya majumuisho ya vituoni na yale ya nec yameambatanishwa sasa.

crap!
 
Mpaka hapo itakapothibitishwa vinginevyo, baado habari hii itabakia kama tetesi.

Unataka ushahidi gani kujua kama huu ni uongo? Hii siyo tetesi ni uongo ambao hata chekechea ataona. Column C inatumia formula B#row*65% kufanya turnout ya 65% kila mkoa. Hicho kitu hakipo. Waombe wanaJF samahani kwa kuwapotosha makusudi
 
wana jf;

nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo mgombe wa chadema dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa mgombea wa ccm kikwete alipata 44.56% wakati mgombea wa chadema alipata 44.45%.

Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.

Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.

Naomba kutoa hoja.

update:

matokeo halisi (original) yale ya majumuisho ya vituoni na yale ya nec yameambatanishwa sasa.

hii habari ina mapungufu mengi kama ifuatavyo kwanza haionyeshi kura za zanzibar ambapo lipumba na kikwete walipata kura nyingi na dr slaa kupta kura kidogo sana. Mimi binafisi nilisimamia upigaji kura sehemu fulani katika jiji la dar es slaam average turn out ilikuwa ni wapiga kura 150 katika ya watu 450 hadi 500 waliopangiwa kupiga kura katika kila kituo.

sasa hao wapiga kura milioni 13 hii taarifa imewatoa wapi. Nahisi mto a haoja kachukua makadirio na kuyaita kura halisi kwa sababu zake binafsi.
 
huuu ni upupu tuuu hakuna kitu hapo kunamapungufu mengi kweli hapo!!!
 
hii habari ina mapungufu mengi kama ifuatavyo kwanza haionyeshi kura za zanzibar ambapo lipumba na kikwete walipata kura nyingi na dr slaa kupta kura kidogo sana. Mimi binafisi nilisimamia upigaji kura sehemu fulani katika jiji la dar es slaam average turn out ilikuwa ni wapiga kura 150 katika ya watu 450 hadi 500 waliopangiwa kupiga kura katika kila kituo.

sasa hao wapiga kura milioni 13 hii taarifa imewatoa wapi. Nahisi mto a haoja kachukua makadirio na kuyaita kura halisi kwa sababu zake binafsi.
Ni kweli mkuu, hata mimi nilisimamia watu walio piga kura ni 157 kati ya 420 na nilijaribu kufatilia ninigundua hayo uliyo yasema hapo juu ni sehemu chache sana zilizo vuka nusu ya wapiga kura kupiga kura
 
Back
Top Bottom