tzjamani
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 995
- 30
CHADEMA were very strategic wameenda kwenye maeneo ambayo yana population
Siyo tu population ila ukiangalia hayo maeneo yana mwamko wa mabadiliko na uelewa.
CHADEMA were very strategic wameenda kwenye maeneo ambayo yana population
Naona kama ziko kinyume na za mleta hoja na hakuna kura za Zanzibar....Yote yote ni kwamba jamaa wametuchakachua sana tu.....
Wana JF;
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha kuwa Mgombea wa CCM Kikwete alipata 44.56% wakati Mgombea wa CHADEMA alipata 44.45%.
Matokeo haya ni pamoja na mchakachuo uliofanywa wa baadhi kupiga kura zaidi ya moja na kuweka katika ballot boxes bila kushtukiwa.
Chanzo changu cha habari kimenijulisha kuwa na faili lote la original results. Kama atanitumia basi bila ya shaka na mimi nitawabadikieni hapa.
Naomba kutoa hoja.
UPDATE:
Matokeo Halisi (Original) yale ya majumuisho ya vituoni na yale ya NEC yameambatanishwa sasa.
Hapa walichokifanya wamechukua wapiga kura wakazidisha na asilimia ambayo nahisi ndio wanaaasume kuwa walishinda ndio sababu za decimal places.Msikurupuke wakuu; waliopiga kura katika mkoa wa Iringa ni watu 390,089 tu; lakini huyo jamaa yeye anasema Slaa amepata 341,250.51, Kikwete 239,474.04, Lipumba 11,973.70 n.k; kwanza inapaswa ujiulize how come mgombea anapata jumla ya kura kura zilizo kwenye decimal places? 341,250.51??239,474.04??11,973.70?? hii inaonyesha hizo data zimezipikwa na mjinga mmoja akiwa nyumbani kwake.
Lakini ata tuki-assume kuwa kulikuwa na wapiga kura wenye kura zenye thamani ya "nusu", "robo" n.k; mkoa wa Iringa una jumla ya wapiga kura 784,740 na turn-out ilikuwa ni 50%, hawa wapiga kura 921,054 huyo jamaa aliwapata wapi?
please download open office, for free you can open this kind of file extensionCould someone open the files in office 2007 and save them in compatibility mode and upload them again?
Msikurupuke wakuu; waliopiga kura katika mkoa wa Iringa ni watu 390,089 tu; lakini huyo jamaa yeye anasema Slaa amepata 341,250.51, Kikwete 239,474.04, Lipumba 11,973.70 n.k; kwanza inapaswa ujiulize how come mgombea anapata jumla ya kura kura zilizo kwenye decimal places? 341,250.51??239,474.04??11,973.70?? hii inaonyesha hizo data zimezipikwa na mjinga mmoja akiwa nyumbani kwake.
Lakini ata tuki-assume kuwa kulikuwa na wapiga kura wenye kura zenye thamani ya "nusu", "robo" n.k; mkoa wa Iringa una jumla ya wapiga kura 784,740 na turn-out ilikuwa ni 50%, hawa wapiga kura 921,054 huyo jamaa aliwapata wapi?
"Akili za Kuambiwa, Changanya na Zako"
hiwezekani kuwan a kura ya .13 nadhani kunatatizo somewhereNimeshindwa kuelewa takwimu za faili hili..... je kuna kura zinazoishia nukta 13 na kadhalika. naomba muongozo na ufafanuzi!
hiwezekani kuwana kura ya .13 nadhani kuna tatizo somewhereNimeshindwa kuelewa takwimu za faili hili..... je kuna kura zinazoishia nukta 13 na kadhalika. naomba muongozo na ufafanuzi!
Kura za desimali hata mie sikubali. huo ni urongo tu.
Katika mambo ya statistics hasa zenye population kubwa kama hii (millions) decimal places ni kitu cha kawaida hata benki unaweza kuta akaunti yako ina sh. 1,500,987. 41, hata kwenye kiwanda cha magari unaweza kukuta estimate yao kwa miaka mitano ni kutengeneza magari 40,000.35. Lakini cha muhimu zaidi ukiwauliza NEC au Kiravu atakuelekeza kwanini wamepata hivyo nafikiri wakati huu atakuwa mpole.Mimi nashindwa kuelewa kuna wapiga kura nusu au sehemu ...... angalia takwimu hizi nimekata kwenye lile faili au sijaelewa? naomba muongozo na ufafanuzi.
REGIONAL # OF VOTERS VOTERS TO VOTE KIKWETE LIPUMBA SLAA DAR ES SALAAM 1,786,290.00 1,161,088.50 464,435.40 104,497.97 580,544.25