Haya ndiyo makubaliano yetu, je yanafuatwa katika "Jumuiya hii"

Hawa wageni wote wako illegally, regulation 7 hawafuati, neither do they fall under our schedule of offers we made to the other "partner states". Uhamiaji mko wapi muanze kuwakama ili watanzania wapate kazi? Je tunahitaji ma-teller, walinzi, wahasibu na mameneja masoko kutoka Kenya! Fukuzeni haraka! hawamo hata kwenye annexes zilizofuatia! Hata Waganda, wanyarwanda na warundi, fukuza wote ndiyo mwanzo wa kulowea na kutuibia ardhi yetu!
 
Back
Top Bottom