Haya ndiyo majibu aliyoyapata Mtatiro facebook

Wakurya uwa hatutumiki kibwegebwege hivi, sijui mkurya wa wapi huyu? We endelea na chama cha wapemba tu shughuli yao utaijua baadae! By the way nakufaham sana tangu ukiwa chuo km waziri wa mikopo chini ya Magesa Mwita, ulikuwa mlopokaji sana na muasi mkubwa ktk mapambano. Hasa ulipokuwa ukilivaa lile pama lako ulikuwa unalopoka hovyo! KAFIE MBELE HUKO NA CHAMA MUOZO HILO. HATA HIVYO UKWELI NI KWAMBA HUNA MVUTO WA KISIASA BORA UKAFANYE KAZI KWENYE MIGAHAWA YA WAPEMBA. M4C NDO KIBOKO YA NYIE VIBARAKA, NA BADO
 
Mtatilo haeleweki.....lakini kwenye mjadala wa jana usiku itv alijitahidi sana kuzungumzia jinsi ya kupunguza madaraka ya raisi
 
Bububu nao walikuwa CDM? Mtatiro ni mmoja wa wanaokula mahali iliyotolewa na CCM ktk ndoa yao na CUF.
 
wakuu kila siku naona hapa V4C ya kafu

hivi kirefu chake ndo nini (vibaraka for change) nashawishika ni utan kutokana na kukosa kwao ubunifu.
 
mnafiki ni kama mchawi katika maisha ya kila siku bora kufa kijana kuliko kuishi miaka mingi katika unafiki
 
Wakurya uwa hatutumiki kibwegebwege hivi, sijui mkurya wa wapi huyu? We endelea na chama cha wapemba tu shughuli yao utaijua baadae! By the way nakufaham sana tangu ukiwa chuo km waziri wa mikopo chini ya Magesa Mwita, ulikuwa mlopokaji sana na muasi mkubwa ktk mapambano. Hasa ulipokuwa ukilivaa lile pama lako ulikuwa unalopoka hovyo! KAFIE MBELE HUKO NA CHAMA MUOZO HILO. HATA HIVYO UKWELI NI KWAMBA HUNA MVUTO WA KISIASA BORA UKAFANYE KAZI KWENYE MIGAHAWA YA WAPEMBA. M4C NDO KIBOKO YA NYIE VIBARAKA, NA BADO

wakurya huwa hatuna wivu kwa wenzetu hata siku moja, sijui wewe ni mkurya wa wapi. Naamini wewe bado utakuwa mtaani unakula bench na dhiki ndizo zinakupelekesha mpaka unadhihilisha HILA humu JF kwa kijana machachali kama Mtatiro.

Wewe ni nani wa kuchagua nani ana mvuto wa siasa au nani hana, unatoa hoja za kupumbavu kama hizi na unatarajia tutaamini kama umemfahamu Mtatiro toka akiwa chuo? au uli-disco nini? mbona unaonekana mtu mzembe mzembe sana na mtu wa kulalama lalama. Kumbe ndio aina ya mashabiki wa chadema mlivyo hivi?

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Mtatiro hana sauti yenye staha,km anavyotoa maneno yaliyojengwa na propaganda za kishenzi.
 
Tatizo CUF wanaboa matangazo yao ni a Majungu(kistori chao kidogo kuwa wamekuja eleza ukweli kuhusu CDM na mengine ya kufanana na wale wasemao kuwa wanajua ukweli kuhusu Biblia na Historia ya Ukombozi wa Nchi).Huku wakijua kuwa hawapendwi kihivyo wakajipitisha kwa machinga mbao kwao bila kuamka 11 na kuwahi ktk biashara,kwao bila kufanya kitu ni maisha yanakuwa liabilities.Ni km kumtongoza binti aliyebakwa.Kwa kipidni hicho watu hawakuwa na mood ya siasa.Wao walipoona wakajua kuwa ndipo pa kwenda daka kumbikumbi.
 
Back
Top Bottom