Elections 2010 Haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania?

Rugemeleza

JF-Expert Member
Oct 26, 2009
668
136
"Achana na Dr. Slaa haya ndiyo maisha bora na mkinichagua nitahakikisha kuwa mnajenga nyumba nyingi kama hizi zenye kubeba picha zangu ili mimi, mke wangu, na mwanangu Ridhiwani tuendelee kuwatawala milele yote"

tanzania_poverty.jpg


Moja ya nyumba ambazo mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amkeuwa kizizungumzia kuwa ndio kipimo kikuu cha umasikini wa mtanzania. Nyumba hii ambayo ipo katika kijiji cha Majalila jimbo la Mpanda Magharibi, wakionekana familia ikiwa nje ya nyuma hiyo, kama walivyokutwa

(Picha toka Mzee wa Matukio Daima kwa hisani ya Joseph Senga-Tanzania Daima)
 
Hiyo slogan ya Maisha bora kwa kila Mtanzania haitoki tena kinywani mwa Kikwete! Bila shaka ameona mabanda yanayohifadhi washabiki wake; ameona watoto wa Kitanzania wakitoka kamasi , vifua nje na "vitambi" vya utapia mlo. Fikiria thamani ya nyumba hiyo ukilinganisha na thamani ya picha iliyobandikwa ukutani! Na ukweli ni kwamba nyumba hiyo pichani ni bora kuliko hata baadhi ya vibanda vilivyoko polini jimboni kwa Kikwete. Jee wewe mwana JF ungekuwa Kikwete ungetamka tena Maisha bora kwa kila Mtz? Machozi yananilengalenga... Dr Slaa ukiingia Ikulu wakumbuke sana watu maskini ili uurithi ufalme wa Mungu.
 
Tanzania makumbusho wala hulipii, ukitoka makumbusho unaanza kuelekea mikoani ni vibanda vya makumbusho tu hadi utoboe nchi ingine...!!
 
Safi sana...jamaa kajenga KAAPOTI ya baiskeli yake hapo kushoto

mkuu you know what is more interesting?................Hiyo baiskeli ina thamani kubwa kuliko nyumba. Hakika ukistaajabu ya CHADEMA utaona ya CCM yatakayokuduwaza.
 
mkuu you know what is more interesting?................Hiyo baiskeli ina thamani kubwa kuliko nyumba. Hakika ukistaajabu ya CHADEMA utaona ya CCM yatakayokuduwaza.
ianasikitisha kwakweli!
 
Back
Top Bottom