Haya ndiyo Maendeleo (Picha)

hilarious!!

3566.jpg

the same shimo la maendeleo

Shimo la kinyesi!?
 
Fani yake ni nini...mashimo ya barabarani?

Ngabu, hili ni swali zuri sana. Nitakurudisha kwenye post ya Kibunango ambayo mwenyewe iliyosema hivi:

Kamanda hii ni fani, Shimo kama lile hatua ya kwanza kabla ya kufanya chochote ni kuweka tahadhali.

Hata hivyo, kamanda alitoa shule nzuri sana kwenye ile thread ya uchafu na bado nakumbuka ile shule yake toka huko. Ninamtoa tu kwenye spinning ili arudi tu kwenye fani maana inaonekana anatoa vitu bomba akiacha kusoma talking points za kingunge.
 
Haya waungwana nambieni swala kama hili lipo chini ya wizara gani?.. Miundombinu ama serikali za mitaa!
 
Mkuu uliyesema kuwa hii ni photoshop nakushauli urudi kwenu tanzania kwani alichoweka MKJ ni kidogo sana kulinganisha na matatizo yaliyomo kwenye barabara za dar es salaam.

Maan, you need a serious unprescribed-overdosed-chill-pill.
Unfortunately sijafika Tanzania kama miaka 15 hivi. Niling'atwa na mbu nikasema never again. Halafu the world is bigger than Tanzania, I am discovering other parts of the world (where people actually make changes to develop healthy lifestyle for everyone), tell me when you are ready to develop without too much bla bla and I will be happy to take part.

Nzokanhyilu,

Picha si za ku 'cut and paste; they are real'. Achana na hilo benzi kuwa na CD ante; si ajabu kwani yako meengi mno hapa Dar makubwa kuliko hilo. Nenda Luther House Parking Lot ushangae magari yenye maneno nyuma yasemayo "YESU NAMALA" ndipo utaelewa kuwa Tz magari ya kifahari ni mengi.

D'oh
elvis.gif
, No way? You kiddin me!!? Hebu weka ma picha ya vijijini tuone maajabu. Unajua mjasirimali anaweza kuanzisha biashara ya 'pot-holes Tour' - The Ultimate Incompetence of Africans.

Ulaya mashimo ni raha. Kwetu karaha...........
Picture_050.jpg
 
Ngabu, hili ni swali zuri sana. Nitakurudisha kwenye post ya Kibunango ambayo mwenyewe iliyosema hivi:

Hata hivyo, kamanda alitoa shule nzuri sana kwenye ile thread ya uchafu na bado nakumbuka ile shule yake toka huko. Ninamtoa tu kwenye spinning ili arudi tu kwenye fani maana inaonekana anatoa vitu bomba akiacha kusoma talking points za kingunge.

Kwa hiyo fani yake ni kuzoa taka?
 
Mimi nadhani waunde tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha mashimoz kwenye barabara zetu. Tume hiyo ipewe miezi sita kukamilisha kazi yake na kuja na mapendekezo yake ya jinsi ya kuhakikisha barabara zetu hazina mahandaki ya namna hiyo. Wajumbe wa tume hiyo wapewe uwezo pia wa kwenda nchi nyingine kujifunza wao wanafanya nini kunapotokea mashimo kama hayo hasa baada ya kuonekana katika baadhi ya sehemu zenye mashimoz nchini zinatumika kupanda miti ya vivuli.

Lazima tume hiyo ifikiri kwa kina kwanini barabara nyingi zinaharika kiurahisi na wanaweza kuomba utaalamu kutoka nchi zilizoendelea ili kufikiria mbinu na mkakati wa kuboresha barabara hizo ili siwe zinaharibika mapema na kuhitaji matengenezo karibu kila mwaka.
3419.jpg
 
Sijawahi kuwa Dar hali ikiwa hivi. Now, I dont give a shit how proud one is to be Tanzanian, but someone tell me, kwanini niwe na hamu ya kutembea na suruali imepandishwa juu ya magoti kama boxer-shorts?
Some smart-ass is gonna say, you are not patriotic. Now..........aargh. Sasa kama huu sio ujinga ni nini?
 
nzoka... kati ya majengo mazuri na yanayopendeza hapo nyuma na tatizo la maji nini watu wawekee kipaumbele...
 
nzoka... kati ya majengo mazuri na yanayopendeza hapo nyuma na tatizo la maji nini watu wawekee kipaumbele...

Maji ni resource. Ingawa hapo tunaona hayo maji kama usumbufu, ukweli ni kwamba ukitengeneza infrastructure nzuri, hayo maji ya mvua yangeweza kutumika kwa faida na si matatizo kama hapo juu.

Kutengeneza infrastructure ya maana ni muhimu zaidi (na inatatua matatizo mengi zaidi), na siamini kwamba hatuna watu wenye uwezo wa kufanya hivyo. Ishu ni kwamba hatujipendi tu. Tunajipenda na artificial screen tu...ndio hayo majengo na magari ya kifahari.

Tena muuza duka ukimwuliza, unaonaje hili tatizo? Anaweza kukwambia mapenzi ya Mungu.......Yeah, mapenzi ya Mungu for your lazy thinking behind.

Kazi ikifanyika nusu nusu, ina maana maharibiko yanaleta hasara kila mvua ikinyesha. Je, ukitengeneza infrastructure nzuri si inaamaana unapunguza future losses za watu kushindwa kufanya biashara na kupoteza mali zao. Pia infrastructure nzuri mpaka vijijini inasaidia hata biashara ifanyike vizuri na watu wa sehemu zingine. Inasaidia bia biashara na nchi za jirani.

Mwanakijiji kusema nini kinafaa zaidi kabla ya kingine wakati mwingine ni thin-line. Lakini mambo mengine ni common sense, which we seem to lack.
 
Hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa Kupindukapinduka popularly known as kipindu pindu.. je kuna uhusianno wowote na magari ya kifahari na majengo makubwa ya vioo vioo?
 
Mimi nadhani waunde tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha mashimoz kwenye barabara zetu. Tume hiyo ipewe miezi sita kukamilisha kazi yake na kuja na mapendekezo yake ya jinsi ya kuhakikisha barabara zetu hazina mahandaki ya namna hiyo. Wajumbe wa tume hiyo wapewe uwezo pia wa kwenda nchi nyingine kujifunza wao wanafanya nini kunapotokea mashimo kama hayo hasa baada ya kuonekana katika baadhi ya sehemu zenye mashimoz nchini zinatumika kupanda miti ya vivuli.

Lazima tume hiyo ifikiri kwa kina kwanini barabara nyingi zinaharika kiurahisi na wanaweza kuomba utaalamu kutoka nchi zilizoendelea ili kufikiria mbinu na mkakati wa kuboresha barabara hizo ili siwe zinaharibika mapema na kuhitaji matengenezo karibu kila mwaka.
3419.jpg

Hamna haja ya tume. Hizi barabara nyingine ziko chini ya serikali kuu na nyingine manispaa. Wawajibishwe wale wote waliokuwa responsible, kuanzia Fundi Mchundo, Mhandisi wa barabara, Mhandisi mkuu, Mkurugenzi wa jiji na kuendelea. Kuna ugumu gani katika kugawa barabara zote kwa wahandisi waliokuwepo? Kila mhandisi atatakiwa kuweka kumbukumbu zote za barabara zilizo chini yake, historia ya ujenzi na ukarabati, matatizo yanayojitokeza na ufumbuzi wake, na mipango ya baadae. Taarifa zao ndiyo ziunde bajeti ya manispaa na wizara. Taarifa zitolewe angalau kila wiki mbili kwa uongozi wa juu, zikiainisha mahali pa dharura! Hatuhitaji tume, Mkuu. Tuwabane hao tuliowapa dhamana.
 
Hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa Kupindukapinduka popularly known as kipindu pindu.. je kuna uhusianno wowote na magari ya kifahari na majengo makubwa ya vioo vioo?

Huu ugonjwa mbona uko tokea mimi niko mtoto mchanga.....yaani bado hawajapata tiba tu?
 
baada ya barabara kukauka na maji kutokomea je kuna haja ya kufanya utaratibu wowote wa kuhakikisha mwakani hali hii haijirudii au tumekubali kuwa "mvua za masika" ndivyo zilivyo na hatuna uwezo wa kutawala?

Nakumbuka kati ya vitu ambavyo Mwalimu alifunza na mimi kuamini ni kuwa lengo la watu kupata elimu ni kuweza kutawala mazingira yao na kufanya maisha yao kuwa rahisi. Hivi lengo la wale waliosoma fani zinazohusiana na miundo mbinu, utawala, uhasibu n.k lengo la elimu yao ni nini ajira, wapate kipato kizuri na waishi maisha mazuri?
 
Back
Top Bottom