Haya ndiyo Maendeleo (Picha)

Msiwe na haraka jamani bali naamini kabla ya mvua barabara itatengenezwa vizuri tu kwani mmaru mwingi tumepewa na Kichaka, na Sullivan atatupatia mwezi wa sita, Na mtafurahia wakati Mzee Mikasi atakapofanya ufunguzi rasmi kabla ya mwisho wa mwaka
 
kweli kabisa Kite..

Serikali itajenga hizi barabara na kuziba haya mashimo muda si mrefu. Muda si mrefu wapingaji watakosa cha kupinga hapa.
 
bil 800!hheee, mheshimiwa natania, 800bn tanznian shilings zitajenga barabara kama kilometa 2600 za lami, kwa gharama za 300m kwa km, yaani zinatosha kujenga barabara toka dsm hadi mwanza, 133bn zilizoliwa EPA zinatosha km almost 500, that means from singida to moshi
 
Ukiacha wizi wa mifuniko, mahandaki aka mashimo kwenye barabara za mijini huchangiwa sana na mvua hii inatokea hata kwenye nchi zilizoendelea, Tumewahi kujadili kwa kina hapa JF juu ya matatizo ya misingi ya maji taka na nina hakika yale tuliojadili yanaweza kutoa suluhisho katika picha hii...

Aidha MKJJ amefanya unazi mkubwa kwa kuweka picha hiyo na kuzungumzia maendeleo, ilhali mvua haina msalie hata kama una maendeleo ya aina gani...

sijui kuna ulazima gani wa kutumia neno "unazi" kuelezea nilichofanya. Aidha huelewi uzito wa neno hilo au kwa makusudi unajaribu kunishambulia badala ya kuangalia nilichosema na kujenga hoja dhidi yake. Tafadhali, usinihusishe na falsafa hiyo ya kishetani.

Pengine kilichokosekana hapo ni alama za tahadhali kwa wenye magari na watembeao kwa miguu.

Sasa hili ndilo suluhisho la kuweka alama za tahadhari na kuacha shimo liwepo ili watu waweze kulikwepa. Great idea!
 
Msiwe na haraka jamani bali naamini kabla ya mvua barabara itatengenezwa vizuri tu kwani mmaru mwingi tumepewa na Kichaka, na Sullivan atatupatia mwezi wa sita, Na mtafurahia wakati Mzee Mikasi atakapofanya ufunguzi rasmi kabla ya mwisho wa mwaka

sidhani kama unaelewa malengo ya fedha za Kichaka!
 
kweli kabisa Kite..

Serikali itajenga hizi barabara na kuziba haya mashimo muda si mrefu. Muda si mrefu wapingaji watakosa cha kupinga hapa.

Mkuu Masaka, angalia kwa nini watu wanaongelea hizi barabara.... Sio kwamba hatuzizibi/kuzijenga, bali swali ni tunajenga kwa kiwango gani?? Pia tafadhali uelewe kuwa hakuna wa kupinga kitu bali ni kuchangia mawazo tu kutokana na uelewa mwa mtu na mtu na sio mashindano Mkuu.... Samahani lakini naona kidogo hapo umeweka maneno ambayo kidogo ndivyo sivyo Mkuu, samahani!!

bil 800!hheee, mheshimiwa natania, 800bn tanznian shilings zitajenga barabara kama kilometa 2600 za lami, kwa gharama za 300m kwa km, yaani zinatosha kujenga barabara toka dsm hadi mwanza, 133bn zilizoliwa EPA zinatosha km almost 500, that means from singida to moshi

Mkuu Mwiki...., hapo kidogo nadhani huna update za gharama za ujenzi wa kilomita moja ya kiwango cha lami (to apprciable standards).... Kwa haraka haraka bila kuangalia gharama za kodi (duty free ya materials) naomba nikuambie kuwa kipande cha kilomita 1 kinaweza kuchukua kuanzia 700M mpaka 1B za madafu kulingana na ukubwa wa kazi, condition ya barabara, design traffic na mengine meengi tu mkuu... Generalization sio kwenye barabara Mkuu manake barabara sio nyumba mkuu kwamba gharama za kujenga kilomita moja ni fixed for a project of even 2km Mkuu.... kuna factors mingi sana!! Hiyo mifano yako ya 300M per kilomita ilikuwa mwaka 2000/2001 Mkuu!!

sidhani kama unaelewa malengo ya fedha za Kichaka!

Mkuu thinkB...., need I say more?? Asante manake watu inabidi warudi kwenye ile MDTG pale MoF waone kuna miradi gani na sio kuziba viraka vya lipualipua zetu za ujenzi huku Jijini!!!
 
I am shua zisi izi paintshop job.

Nzokanhyilu,

Picha si za ku 'cut and paste; they are real'. Achana na hilo benzi kuwa na CD ante; si ajabu kwani yako meengi mno hapa Dar makubwa kuliko hilo. Nenda Luther House Parking Lot ushangae magari yenye maneno nyuma yasemayo "YESU NAMALA" ndipo utaelewa kuwa Tz magari ya kifahari ni mengi.

Msisitizo hapa ni kwa namna gani allocation of economic resources zinaelekezwa, kwenye magari ya bei mbaya au kutengeneza barabara yenye kuwa na viwango hafifu? Ina maana hata contarctor wa barabara zetu siyo qualified (naamini ni Kajima na Konoike)

Utashangaa hayo mashimo yalikuwa njia za maji taka ambayo zimeziba baada ya kutelekezwa bila kufanyiwa matengenezo kwa muda mrefu. Hivi inakuwaje kwenye bajeti huwa gharama za matengenezo zinatenwa halafu kazzi haifanyiki na hakuna mtu anahoji????
 
Wakuu, heshima mbele... M.M.M, hayo ndiyo mambo ya Jijini wakuu.... Kuna thread tuliongelea kuhusu mafuriko Jijini Dar inaitwa "Dar Mambo Tambarare" or something. Haya mahandaki wakuu sababu sio kama wengi ambavyo tungetegemea kuwa ni wizi wa mifuniko, la hasha, mahandaki yanatokana na colapse of underground storm water drains ambazo la kushangaza zaidi zimejengwa less than 3 years ago by our good ol' friends, Chinese Contractors!!.....

Naomba kuwalkilisha!!!

Nini nafasi ya consultant katika ujenzi, iwapo contractor anachemsha.. Inawekana kuwa kuna zaidi ya uzembe katika hili?
 
Kamanda hii ni fani, Shimo kama lile hatua ya kwanza kabla ya kufanya chochote ni kuweka tahadhali.

Mkuu Kibunango, hapo upo sawa kabisa lakini kumbuka kuwa hapa Bongo mtu wangu alama za barabarani ni starehe.... Uzuri ni kwamba hapa Jijini ni sawa na kule njia zetu za mikoani, kama kuna shimo kubwa, ajali, na vitu kama hivyo waTanzania ni watu wazuri sana wanajitahidi kutuwekea matawi ya miti, majani etc ili tuweze kuona na kuwa waangalifu, maisha yanakwenda!!!

Kaaz kweli kweli lakini ndio Bongo Mkuu!!!
 
Duh! na wewe kwa kupindisha mada hujambo.. Katika ujenzi list inaanza na Client, Consultant,Contractor,Architect, n.k

Katika yaliyotokea hapo....

Inaanza uzembe na kisha mengine yanafuata. Hilo shimo limekuwa hapo for a time long nuff kwa spinning zingine kupita hapa.
 
Kamanda hii ni fani, Shimo kama lile hatua ya kwanza kabla ya kufanya chochote ni kuweka tahadhali.

Sijui kama kwenye fani yako wanafundisha kuwa kukiwa na shimo kubwa barabarani kama hilo, unaweka tahadhari kwa mwezi mmoja na kuendelea bila kuhangaika kwa haraka sana iwezekanavyo kuziba hilo shimo.

Tahadhari ndiyo lakini for how long? au kuweka tu tahadhari basi inakuwa tayari umesolve tatizo?
 
Hivi inachukua ujiniasi kufukia hilo shimo? Kama jibu ni hapana tatizo liko wapi sasa? Kama mambo madogo madogo kama haya yanatushinda unadhani mambo ya kwenda Mars au mwezini tutayaweza.......nyie endeleeni kubisha (denial) tu lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Waafrika Ndivyo Tulivyo!!!!
 
lengo langu katika mada hii ni kujaribu kuangalia je vipaumbele vyetu ni wapi? gari hilo au barabara? Maanake wenye kutetea maendeleo ya vitu wanatukumbusha sana kuwa wakati wa Mwalimu hatukuweza kumiliki TV, magari ya fahari nk nk... sasa hivi tunavimiliki vitu hivi tena kwa ubwelele, je tumeendelea sana kuliko miaka ile?
 
Hivi inachukua ujiniasi kufukia hilo shimo? Kama jibu ni hapana tatizo liko wapi sasa? Kama mambo madogo madogo kama haya yanatushinda unadhani mambo ya kwenda Mars au mwezini tutayaweza.......nyie endeleeni kubisha (denial) tu lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Waafrika Ndivyo Tulivyo!!!!

I hate to agree with hili neno Waafrika Ndivyo Tulivyo Lakini kuna wakati mtu huna budi.

Cha ajabu ni kuwa haya mashimo siku mkulu JK ana ziara au mgeni anakuja na atapita hiyo barabara basi yatazibwa.......swali, hivi hizi barabara zetu ni kwa ajili ya rais na wageni waheshimiwa?
 
kweli kabisa Kite..

Serikali itajenga hizi barabara na kuziba haya mashimo muda si mrefu. Muda si mrefu wapingaji watakosa cha kupinga hapa.

Hiyo siku itakuja lini? Wakati wewe unapanga mipango isiyotekelezeka huko ccm, hii dunia inasonga mbele kwa mwendo wa kasi sana na technolojia mpya na vitu vipya.
 
Forget about barabara and mashimo for a second....Still to this date, there are many primary school pupils and secondary school students who still sit on the floor. We can't even make simple chairs and desks for our kids to sit on while learning. You have many patients who sleep on hard floors in our hospitals, you have.....man let me just stop coz I'm getting pissed off......but I can go on and on in highlighting things that are within our capabilities but for some weird reason we seem not able to do them....
 
Ngabu afadhali wewe useme, mimi nimesema, Kibunango akajibu hivi:

Duh! na wewe kwa kupindisha mada hujambo.. Katika ujenzi list inaanza na Client, Consultant,Contractor,Architect, n.k
 
Back
Top Bottom