Haya ndio mambo makubwa yanayoigharimu ccm

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Wanaccm msiposhughulikia mambo haya, hakika chama chenu kitashindwa vibaya 2015 na hata chaguzi zingine.
(1)Raisi kuwa mwenyekiti wa chama Taifa.
Hili ni tatizo kubwa sana, kwani inakuwa vigumu kwa chama kuisimamia serikali hata pale inapoboronga kwa mfano hali ilivyo sasa.
(2)Utaratibu kuwa raisi aliyepo lazima atumikie vipindi 2 vya miaka mitano mitano.
Hakika huu ni utaratibu mbovu sana kwani hata kama ataonekana kupwaya au kuvurunda ktk kipindi cha kwanza shariti apewe kipindi cha pili na ukimpinga chama kinakujia juu.Kigezo kiwe ni uwezo ni si kubebana na athari yake hata nyie sasa mnaiona.
(3)Individuals kuwa muhimu kuliko hata chama.
Inasikitisha sana ccm ya leo iko radhi kubeba watu wachache kwa gharama ya chama kizima.Mtu amefanya madhambi ya wazi ila atalindwa kwa nguvu zote bila kujali athari kwa chama.Kulindana ni cancer ianayotafuna taswira ya chama chenu mbele ya macho ya umma.
(4)CCM ya leo kutokujali na kupuuza shida za maskini walio wengi na kujali matajiri kuanzia kwenye chama chenyewe na nchi nzima kwa ujumla.
(5)Wanaccm wenyewe kushindwa kukemeana,kukosoana na kuelzena ukweli pale mnapokosea na badala yake mmewaachia wapinzani hakika watazidi kupanda chati.
(5)Ahadi za miaka nenda rudi zisizotekelezwa.
(6)Wanaccm kumuona raisi kama mungu mtu asiyestahili kukosolewa na badala yake kujipendekeza kwake mkitarajia kupewa vyeo.Mkosoeni siyo kujipendekeza anakiathiri chama.
(7)Viongozi na wanaccm kutokusoma alama za nyakati.
Athari yake mnashindwa kujua nini umma wa watanzania unataka kwa sasa na mmebaki kuhubiri siasa za kizamani za amani na utulivu.Watanzania wa leo wanajua hata wapinzani wanaamini na kuthamini uwepo wa amani na utulivu.
(8)Rushwa wakati wa uchaguzi.
Hii ni wakati wa uteuzi wa wagombea ndani ya chama na kwa wapiga kura kwa ujumla.Kumbukeni sasa hivi vyombo vya habari vinaendesha elimu ya uraia isiyo rasimi na watanzania wanaelimika na kujua athari ya rushwa hasa kwenye uchaguzi.
(9)Siasa za makundi na ufalume wa kupeana madaraka unaojipenyeza kwa kasi ndani ya chama chenu.
Hapa sihitaji kutoa ufafanuzi wenyewe mnayajua haya.
Huu ni ushauri wa bure kwenu.
 
Wanaccm msiposhughulikia mambo haya, hakika chama chenu kitashindwa vibaya 2015 na hata chaguzi zingine.
(1)Raisi kuwa mwenyekiti wa chama Taifa.
Hili ni tatizo kubwa sana, kwani inakuwa vigumu kwa chama kuisimamia serikali hata pale inapoboronga kwa mfano hali ilivyo sasa.
(2)Utaratibu kuwa raisi aliyepo lazima atumikie vipindi 2 vya miaka mitano mitano.
Hakika huu ni utaratibu mbovu sana kwani hata kama ataonekana kupwaya au kuvurunda ktk kipindi cha kwanza shariti apewe kipindi cha pili na ukimpinga chama kinakujia juu.Kigezo kiwe ni uwezo ni si kubebana na athari yake hata nyie sasa mnaiona.
(3)Individuals kuwa muhimu kuliko hata chama.
Inasikitisha sana ccm ya leo iko radhi kubeba watu wachache kwa gharama ya chama kizima.Mtu amefanya madhambi ya wazi ila atalindwa kwa nguvu zote bila kujali athari kwa chama.Kulindana ni cancer ianayotafuna taswira ya chama chenu mbele ya macho ya umma.
(4)CCM ya leo kutokujali na kupuuza shida za maskini walio wengi na kujali matajiri kuanzia kwenye chama chenyewe na nchi nzima kwa ujumla.
(5)Wanaccm wenyewe kushindwa kukemeana,kukosoana na kuelzena ukweli pale mnapokosea na badala yake mmewaachia wapinzani hakika watazidi kupanda chati.
(5)Ahadi za miaka nenda rudi zisizotekelezwa.
(6)Wanaccm kumuona raisi kama mungu mtu asiyestahili kukosolewa na badala yake kujipendekeza kwake mkitarajia kupewa vyeo.Mkosoeni siyo kujipendekeza anakiathiri chama.
(7)Viongozi na wanaccm kutokusoma alama za nyakati.
Athari yake mnashindwa kujua nini umma wa watanzania unataka kwa sasa na mmebaki kuhubiri siasa za kizamani za amani na utulivu.Watanzania wa leo wanajua hata wapinzani wanaamini na kuthamini amani.
Huu ni ushauri wa bure kwenu.

'mgeni' wa ukweli.

karibu jamvini.
 
Kwa maneno mengine CCM ni gumegume
 
Wanaccm
msiposhughulikia mambo haya, hakika chama chenu kitashindwa vibaya 2015
na hata chaguzi zingine.
(1)Raisi kuwa mwenyekiti wa chama Taifa.
Hili ni tatizo kubwa sana, kwani inakuwa vigumu kwa chama kuisimamia
serikali hata pale inapoboronga kwa mfano hali ilivyo sasa.
(2)Utaratibu kuwa raisi aliyepo lazima atumikie vipindi 2 vya miaka
mitano mitano.
Hakika huu ni utaratibu mbovu sana kwani hata kama ataonekana kupwaya au
kuvurunda ktk kipindi cha kwanza shariti apewe kipindi cha pili na
ukimpinga chama kinakujia juu.Kigezo kiwe ni uwezo ni si kubebana na
athari yake hata nyie sasa mnaiona.
(3)Individuals kuwa muhimu kuliko hata chama.
Inasikitisha sana ccm ya leo iko radhi kubeba watu wachache kwa gharama
ya chama kizima.Mtu amefanya madhambi ya wazi ila atalindwa kwa nguvu
zote bila kujali athari kwa chama.Kulindana ni cancer ianayotafuna
taswira ya chama chenu mbele ya macho ya umma.
(4)CCM ya leo kutokujali na kupuuza shida za maskini walio wengi na
kujali matajiri kuanzia kwenye chama chenyewe na nchi nzima kwa ujumla.
(5)Wanaccm wenyewe kushindwa kukemeana,kukosoana na kuelzena ukweli pale
mnapokosea na badala yake mmewaachia wapinzani hakika watazidi kupanda
chati.
(5)Ahadi za miaka nenda rudi zisizotekelezwa.
(6)Wanaccm kumuona raisi kama mungu mtu asiyestahili kukosolewa na
badala yake kujipendekeza kwake mkitarajia kupewa vyeo.Mkosoeni siyo
kujipendekeza anakiathiri chama.
(7)Viongozi na wanaccm kutokusoma alama za nyakati.
Athari yake mnashindwa kujua nini umma wa watanzania unataka kwa sasa na
mmebaki kuhubiri siasa za kizamani za amani na utulivu.Watanzania wa
leo wanajua hata wapinzani wanaamini na kuthamini amani.
Huu ni ushauri wa bure kwenu.

wayashughlikieje? kwa kubadili katiba? maana vikao vyote vya ccm ajenda huanzia sekretariat kisha cc huzibariki. sasa nani wa kumfunga paka kengele?
 
NI kweli kabisa ndugu unaona mbali na hilo na hayo yote CCM hawaoni ata moja kwa hiyo lazima chama kianguke kwenye uchanguzi ujao tena vibaya sana
 
Mkuu, tambua kwamba ukimwamsha aliyelala utaishia kulala wewe. Waache tu wasinzie na kuweweseka kwamba "wako imara na watatawala milele" - Nape.
 
....'don't interfere your enemy while he is making mistakes', are you for the sake of cCM's renaissance guy?no matter what this party has to go.
 
Mkuu Rweye,

Kwa hali ilivyo sasa hivi hakuna intervention ya aina yoyote itakayoisaidia CCM kuwa na nguvu kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Mwaka jana wamejaribu sana ku-introduce some changes na wakaenda mpaka kwenye kubadilisha Katiba hasa kwenye uchaguzi wa wajumbe wa NEC, bado ilipata upinzani wa kutosha na sioni hata namna ambavyo huo utaratibu mpya utawasaidia kukirekebisha chama.

CCM itakuja kuwa imara au kufa kabisa mara baada ya kupigwa benchi au kufanywa chama cha upinzani, lakini bahati mbaya wabunge wake wengi ni opportunists, once wakishaona jahazi linazama watahamia kwenye vyama vya upinzani, and that will be another KANU ambayo inaelekea kupotea kabisa kwenye masikio ya wananchi. Kwa kuwa viongozi wengi wa KANU walikuwa wapo kimaslahi zaidi na sio kuwatumikia wananchi na hawakuunganishwa na itikadi bali waliunganishwa na nia ya ulaji tu.

Kwa hiyo mkuu usiwe na wasiwasi.
 
Last edited by a moderator:
Sawasawa mkuu! Ila waache walalelale kwanza,siku wakiamka itakuwa tayari ni mchana wa jua kali! Hawana cha kudanganya tena,
 
Nadhani kuna kitu walikuudhi ndiyo maana ukajipa jina hili ila kumbuka kuwa sikio la kufa halisikii dawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom