Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,461
- 1,447
I rarery attack a personality of someone, it's wrong and uncivil; however, I subjectively excuse myself this time around.
Hivi huo u-smart na hiyo intelijensi kubwa ya Zitto ni upi? Watu wenye tongo tongo wanamwona Zitto bonge la intelligent guy (who is prbably closer to a super human). Well, that's their lot and choice of will
Zitto ni mtu wa kawaida sana. Kama angekuwa na smartness anayodhaniwa kuwa anayo hata 60% yake, basi asingekuwa anaingia kwenye skirmishes na silly controversies za aina yake, tena kwa kujirudia rudia. Na kama intelligence yake (kubwa) haimsadii kupambana na kuyashinda mazingira/changamoto zilizoko then anatofauti gani na mjomba wangu pale Iziba?
Ni afadhali ya JK dhaifu kuliko Zitto mnafiki. Kama ni kuchagua hata 2020 (suppose kapitishwa), siwezi mpa Zitto kura yangu ni afadhali iharibike; na kama NEC wakichakachua basi wampe JK.
The ego of Zitto is his undoing, it will never allow him to reach the potentials he once displayed. Ni individualist mkubwa, anashindwa kukubali kuwa sometime the best gain is to loose. Anavalue visakrifice mbuzi alivyotoa lakini wametoa damu na uhai wao na wala hawaitumii kama karata ya turufu kuhalalisha mapungufu yao.
With apology, that's my piece of mind.
apology accepted.....your piece of mind!